Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

alafu uache unafiki na kushabikia udini bila sababu yoyote unamuharibu mkeo bure ----- ww...watu wangapi wanachomwa moto mtaani kwako hapo kwa kuiba kuku au bata mbona ukuja na post ndeeeefu kama hii ukiwa na huzuni namna hii au hayo yanakufurahisha ila mambo yanatokea huko nchi za watu yanakukera!?
Eboooo
 
Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mkristu. Baba yangu kabla hajasitaafu aliwahi kufundisha shule moja huko Kigoma ujiji shule iitwayo Bugamba.

Wenyeji wa kule asilimia kubwa ni waislam, waislamu wa Kigoma ni wakarimu sana hakika nilijumuika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kuamsha waumini wa kiislamu kula daku usiku kwa ngoma baada ya kupitiwa na rafiki yangu muislamu kwa jina la Migezo pamoja na marehemu Pili watoto wa mwalimu Babu.

Baadae miaka ya 2004 nilienda kutafuta maisha Zanzibar na sehemu ya kwanza kuishi ilikuwa Mwembemchomeke kabla sijahamia Melisita ukivuka Kwerekwe kuelekea Fuoni. Ndg zangu ukisikia watu wema basi ni Wazanzibar japo wapo wachache wenye chuki zao binafsi na wabara.

Nilitafutiwa kazi na marafki zangu wa kiislamu nikaanza kazi huko Bwejuu (hotel sitaitaja). Niliamua kurudi bara nikiwa tayari na mtaji wangu wa kuanzia biashara.

Mwezi uliopita nikiwa naangalia Aljazira na mke wangu niliona rubani wa Jordan akikamatwa na kundi la wanajeshi wa ISIL lakini nikajipa moyo kuwa watamuachia kwa vile ile ni kazi yake, pili ni ndugu yao (mwarabu), tatu ni muislamu mwenzao. Nimetoka dukani usiku huu na kukuta Breaking news Aljazeera wakiwa wamemuua kwa kumubanika kwa moto.

Mara ya mwisho nilimuonyesha mke wangu video kupitia youtube jinsi walivyomkamata. Mke wangu amelia kabisa kwa ukatili wa hawa jamaa zetu waarabu waislamu wa ISIL. Hakika sitawasahau waarabu wa ISIL.
Eti mkuu ,wale wanaochomwa mtaani kwa kuiba kuku awapelekee wanae wakale wasife kwa njaa,wanapochomwa moto,unakuwaga wapi kutuletea thread ya masikitiko?.
au una undugu labda na huyo pilot?.
 
Mrangi,kwani udini maana yake ni mtu anaekashfu dini?.
na kwa mjibu wako kukashfu maana yake nini labda?

Mdini ni mtu Ambaye anaipinga dini ya mwenzake
Kwa nini Kila mtu asibaki na ku deal na imani na dhehebu lake
 
Asee..!!,KUPINGA!!
Hebu kama una kamusi tupe maana ya kupinga kwanza.
mi nijuavyo kuwa na tofauti ya mtizamo fulani haina maana kuwa unapinga.
kupinga si kama kuzuia hivi ama?
 
Tunatofautiana ndugu yangu,binadamu ana hadhi yake hata kama amehukumiwa kunyogwa lakini si kumubanika kama nyama choma.

Mnh! Kabanikwa ka nyama choma!
Hapana adhabu aina hii katika uislam hakuna, kwa hakika nina mashaka sana kama hawa jamaa wanautumikia uislam maana matendo yao mengi ni tofauti na sheria za uislam
 
Faiza
Wanao laumu hawana kumbukumbu kwamba mtume alianza hii dini kwa upanga (jihad). Kwa hiyo tusistaajabie ya Musa......

..............hata huyo Musa alipigana Vita wakati yuko na Bani Israel, au hizo habari za 'Taurat hamzisomi siku hizi !?? ! Kahinda
 
Tunatofautiana ndugu yangu,binadamu ana hadhi yake hata kama amehukumiwa kunyogwa lakini si kumubanika kama nyama choma.

Hizo ni style tu za kuua !.........unaonaje yale makombora ya Drone (Ndege zisizo na rubani) inapopiga kombora katikati ya soko na ikasambaratisha dozeni ya watu kwa ajili ya adui mmoja !?
Hiyo shughuli ya kumchuma jamaa 'live' imelipa....mana UAE wametangaza wanajitoa katika 'kampeni' ya kuwamaliza ISIS kwa njia ya anga !. Yaani UAE haishiriki tena kwa njia yeyote katika kupigana na ISIS. kambagasa
 
Last edited by a moderator:
....Wakubwa kuna Moderator yuko bize ku delete post zangu na nyingine kuzi -hide !
Kasi yake ni ya ajabu, naomba mnijuza utaratibu wa kufikisha ujumbe wangu kwa mwenye JF ! Elungata, kahtaan, Mahmood, nduki, FaizaFoxy,
Kama ikiwezekana mni-pm !
 
View attachment 224443
SAUTI YAKO Wewe na wenzako akina kambagasa ungetusaidia kuwakemea wanao wapa silaha na 'manpower' ! :A S-frusty2:

mkuu ningekuwa na uwezo wa kukuelekeza upite mtandao mmoja wa kijamii,ni jana tu nilitoka kuwashambulia hao wanaowapa silaha nzitonzito hawa watu.Mkuu sisi tunakemea tunayajua mataifa bepari tunayaambia ukweli,ugomvi wangu na nyie ni kushindwa kuwaambia ukweli hawa kaka zenu Waache kutumia jina la Mungu kufanya ukatili,utekaji,ubakaji,uporaji.
 
SAUTI YAKO

Hao watu wametengenezwa nao hao walio wapa silaha !.........kuna taarifa wanazitoa wao wenyewe kuwa vijana wao wana miminika maelfu kwenda kuungana nao !. Hawa haja na Uislaam, ndio maana hujasikia wakitoa mahubiri ya 'kulingania Uislaam' (yaani kuwaingiza watu katika Uislaam) bali wao wametumwa kufanaya vurugu katika kila mahali palipo na mafuta. Na sasa bei ya mafuta imeanguka Duniani.
Boko Haram- wapo eneo lenye Mafuta (upande mmoja ni Cameroun kwenye rasi ya bakasi) upande mwingine ni nchi ya Chad kwa Idris Derby (Idris Derby alipigana mda mure sana miaka ya 80-90 na kina Goukon Wadeye) napo kuna mafuta mengi sana. Na mwisho ni Nigeria yenyewe !
Libya imesambaratishwa na watu waliosaidiwa na NATO na Marekani. Leo mafuta ya Libya yanauzwa bila 'risiti' !
Syria wakati walipoanza ***** ***** za kumpinga Assad, Marekani na washirika wake, wakawapeleka wazoefu wao kutoka Al Qaida kuendesha mapambano. Wakawapa pesa na silaha. Leo Syria imevurugwa na ingekwisha anguka kama si support ya Mrusi.
Iraq inajulikana ilivyo vurugwa na Marekani. Hao ISIS wameteka eneo la kutosha kutoka Syria na Iraq na wana visima vya mafuta wanavisimamia.
Leo Marekani imetangaza kuwa Talibani si magaidi !
Somalia inajulikana jinsi Mmrekani anavyotoa mchnango wakuisambaratisha.
Huwezi kuwa unalingania Dini huku unabaka kuua na uporaji !.....anayepigania Dini kazi yake ni kuwaingiza makundi kwa makundi katika Uislaam !
Kwa hiyo wenye Dini yetu tunajua kinachoendelea !
:juggle::A S-frusty2:
 
Last edited by a moderator:
Faiza
Wanao laumu hawana kumbukumbu kwamba mtume alianza hii dini kwa upanga (jihad). Kwa hiyo tusistaajabie ya Musa......

[h=1]Luka 22:36Neno: Bibilia Takatifu (SNT)[/h] [SUP]36 [/SUP]Akawaambia, “Lakini sasa, aliye na mfuko au mkoba auchukue. Asiye na upanga, auze koti lake anunue upanga.
 
Dini ndio chanzo cha maasi duniani. Endeleeni kuzipigania dini zilizopanda majahazi.
 
Mnh! Kabanikwa ka nyama choma!
Hapana adhabu aina hii katika uislam hakuna, kwa hakika nina mashaka sana kama hawa jamaa wanautumikia uislam maana matendo yao mengi ni tofauti na sheria za uislam

huo ndiyo uislam kamili! Mtume Mwamedi aliwahi sema, "mimi ndiyo mtume wa allah ninaye smile nikiua"
 
mpinga KRISTO una kazi kweli!
[h=1]Luka 22:36Neno: Bibilia Takatifu (SNT)[/h] [SUP]36 [/SUP]Akawaambia, “Lakini sasa, aliye na mfuko au mkoba auchukue. Asiye na upanga, auze koti lake anunue upanga.

nukuu ya maneno ya marehemu mwamedi, mtume wako, "am the only prophet who smiles whenever i kill"
 
Luka 22:36Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

[SUP]36 [/SUP]Akawaambia, "Lakini sasa, aliye na mfuko au mkoba auchukue. Asiye na upanga, auze koti lake anunue upanga.
Got it FAIZA, ISHMAEL anasema huo ni upanga wa KIROHO na si huu tuujuao sisi teh teeeeheeeee.......!
 
Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mkristu. Baba yangu kabla hajasitaafu aliwahi kufundisha shule moja huko Kigoma ujiji shule iitwayo Bugamba.

Wenyeji wa kule asilimia kubwa ni waislam, waislamu wa Kigoma ni wakarimu sana hakika nilijumuika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kuamsha waumini wa kiislamu kula daku usiku kwa ngoma baada ya kupitiwa na rafiki yangu muislamu kwa jina la Migezo pamoja na marehemu Pili watoto wa mwalimu Babu.

Baadae miaka ya 2004 nilienda kutafuta maisha Zanzibar na sehemu ya kwanza kuishi ilikuwa Mwembemchomeke kabla sijahamia Melisita ukivuka Kwerekwe kuelekea Fuoni. Ndg zangu ukisikia watu wema basi ni Wazanzibar japo wapo wachache wenye chuki zao binafsi na wabara.

Nilitafutiwa kazi na marafki zangu wa kiislamu nikaanza kazi huko Bwejuu (hotel sitaitaja). Niliamua kurudi bara nikiwa tayari na mtaji wangu wa kuanzia biashara.

Mwezi uliopita nikiwa naangalia Aljazira na mke wangu niliona rubani wa Jordan akikamatwa na kundi la wanajeshi wa ISIL lakini nikajipa moyo kuwa watamuachia kwa vile ile ni kazi yake, pili ni ndugu yao (mwarabu), tatu ni muislamu mwenzao. Nimetoka dukani usiku huu na kukuta Breaking news Aljazeera wakiwa wamemuua kwa kumubanika kwa moto.

Mara ya mwisho nilimuonyesha mke wangu video kupitia youtube jinsi walivyomkamata. Mke wangu amelia kabisa kwa ukatili wa hawa jamaa zetu waarabu waislamu wa ISIL. Hakika sitawasahau waarabu wa ISIL.
Wewe jamaa ni MNAFIKI, labda ungelituambia kwamba huyo rubani alikuwa anatalii juu ya anga la IRAQ hapo ungelieweka otherwise not, kwa nini msikemee hao wanaotoka makwao na kwenda kuua watu wasio na hatia katikka nchi za wenzao, Jee waweza kutuambia aliua watu wangapi kabla ya yeye kukamatwA, watoto wangapi wameachwa yatima kwa kuawa baba zao na huyo rubani, bila ya shaka atakuwa pia ameongeza idadi ya wajane kwa kuua waume za hao wanawake ,vp kuhusu wale aliowaacha na majeraha pamoja na vilema vya maisha......!!!?
Haya yote hukuyaona ila hilo tu la yeye kuawa ndio limekusikitsha sana sio, hao wengine aliowaua yeye kuku au mbuzi ndio hawapaswi kuonewa huruma etii.....?
SIUNGI KWA KITENDO CHAO CHA KUMBANIKA KAMA MSHIKAKI ila KUMUUA nii sawa as LONg aS na yeye ameua watu, si alikuwa vitani au alitegemea aue tu yeye asife,eboooh.....!!! tangu lini mwanajeshi kufia vitani ikawa ajabu.
 
Kwa mtazamo wangu wote hao ni mchezo wa kuigizwa unaochezwa na mabwana wakubwa kupiga vita Uislam, walishasema siku nyingi, baada ya ukomunisti sasa ni Uislam. Lakini wapi, Uislam si ideology uislam ni mfumo pekee wa kuishi duniani.

Hakuna atakae utazama Uislam kwa mafundisho yake ambae ataukana Uislam kuwa ni mfumo bora na wa pekee wa kuishi duniani.

Huo mfumo wa maisha unaousema tayari waislam wa middle east wanaukimbia, wanakimbilia Ulaya kila kukicha, nani atakubali mfumo primitive enzi hizi?
 
Ajabu wanaopinga na kuchukia ni makafiri kama Kakende bin kipmbu
 
Last edited by a moderator:
Wewe jamaa ni MNAFIKI, labda ungelituambia kwamba huyo rubani alikuwa anatalii juu ya anga la IRAQ hapo ungelieweka otherwise not, kwa nini msikemee hao wanaotoka makwao na kwenda kuua watu wasio na hatia katikka nchi za wenzao, Jee waweza kutuambia aliua watu wangapi kabla ya yeye kukamatwA, watoto wangapi wameachwa yatima kwa kuawa baba zao na huyo rubani, bila ya shaka atakuwa pia ameongeza idadi ya wajane kwa kuua waume za hao wanawake ,vp kuhusu wale aliowaacha na majeraha pamoja na vilema vya maisha......!!!?
Haya yote hukuyaona ila hilo tu la yeye kuawa ndio limekusikitsha sana sio, hao wengine aliowaua yeye kuku au mbuzi ndio hawapaswi kuonewa huruma etii.....?
SIUNGI KWA KITENDO CHAO CHA KUMBANIKA KAMA MSHIKAKI ila KUMUUA nii sawa as LONg aS na yeye ameua watu, si alikuwa vitani au alitegemea aue tu yeye asife,eboooh.....!!! tangu lini mwanajeshi kufia vitani ikawa ajabu.

Walitaka apewe biscuit na nyama za kopo !
Mkwara wa ISIS umesaidia UAE kujitoa ! wamesema wao basi tena hawatumi ndege wala njiwa eneo la ISIS
 
Back
Top Bottom