Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

kambagasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
2,271
Reaction score
1,810
Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mkristu. Baba yangu kabla hajasitaafu aliwahi kufundisha shule moja huko Kigoma ujiji shule iitwayo Bugamba.

Wenyeji wa kule asilimia kubwa ni waislam, waislamu wa Kigoma ni wakarimu sana hakika nilijumuika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kuamsha waumini wa kiislamu kula daku usiku kwa ngoma baada ya kupitiwa na rafiki yangu muislamu kwa jina la Migezo pamoja na marehemu Pili watoto wa mwalimu Babu.

Baadae miaka ya 2004 nilienda kutafuta maisha Zanzibar na sehemu ya kwanza kuishi ilikuwa Mwembemchomeke kabla sijahamia Melisita ukivuka Kwerekwe kuelekea Fuoni. Ndg zangu ukisikia watu wema basi ni Wazanzibar japo wapo wachache wenye chuki zao binafsi na wabara.

Nilitafutiwa kazi na marafki zangu wa kiislamu nikaanza kazi huko Bwejuu (hotel sitaitaja). Niliamua kurudi bara nikiwa tayari na mtaji wangu wa kuanzia biashara.

Mwezi uliopita nikiwa naangalia Aljazira na mke wangu niliona rubani wa Jordan akikamatwa na kundi la wanajeshi wa ISIL lakini nikajipa moyo kuwa watamuachia kwa vile ile ni kazi yake, pili ni ndugu yao (mwarabu), tatu ni muislamu mwenzao. Nimetoka dukani usiku huu na kukuta Breaking news Aljazeera wakiwa wamemuua kwa kumubanika kwa moto.

Mara ya mwisho nilimuonyesha mke wangu video kupitia youtube jinsi walivyomkamata. Mke wangu amelia kabisa kwa ukatili wa hawa jamaa zetu waarabu waislamu wa ISIL. Hakika sitawasahau waarabu wa ISIL.
 
And this is life.... sometime we should not take it seriously as these things have happened since the creation. Man in human against man, war, hunger, cataclysm, etc etc Haya yapo tu yataendelea kuwepo. What to do, grasp the information about them dont go deep in thinking about them. Fanya yako keep moving forward...!! over
 
Cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyelaani mauaji ya kimbari yaliyofanywa na USA na NATO yakishirikisha silaha nzito nzito kuwaua wa Iraq wa Syria na wengineo.

Mtoto anaona wazee wake wameuliwa mbele yake halafu akikuwa unategemea atampenda aliowaua wazee wake?

Unyama wa kuuwana kwa mamilioni uliofanywa kwa kuuwana Wakristo kwa Wakristo vita ya kwanza na ya pili ya Dunia sijasikia mtu akiushutumu Ukristo kuwa ndiyo uliofanya mauaji hayo.

Mauaji ya kutisha yaliofanyika Ireland ya kuuwana Wakristo kwa Wakristo sijasikia mtu akilalamikia Ukristo.

Mauaji waliouna Rwanda Wakristo kwa Wakristo ki unyama kabisa sijasikia mtu anaulaumu Ukristo.

Mauaji yanayofanywa leo hii na anti balaka ya kusafisha kabisa kila Muislam anaekutwa sijasikia ukilaumiwa Ukristo.

Leo mtu anakuja na daku zake halafu anaulaumu Uislam kwa mambo ambao hatuyajui na nna wasiwasi mkubwa sana kuwa wanayoyafanya hayo ni hao hao adui za Uislam ili kuupaka matope Uislam.
 
Daaaaaa kwa hiyo kwa mtazamo wako ni sawa ISIS, Boko Haram na Al shababu kufanya wanaofanya??!!?? Unadhani wanaowaua ni akina kama sio waislamu wenzao???
 
Jana kuna mateka mwingine katupwa kutoka ghorofani huku kazibwa macho na kufungwa miguu na mikono.
Walivyoona hajafa, wakammalizia kwa kumponda kwa mawe mpaka kufa kutimiza sheria ya kadhi.
Kisa: Kisa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Sos: bbctv.
 
Ni tendo baya. hapa TZ wanachomwa moto walioiba vijiko na kuku, wanauwawa albino,wanachuna ngozi, huo ndio utanzania?
 
Cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyelaani mauaji ya kimbari yaliyofanywa na USA na NATO yakishirikisha silaha nzito nzito kuwaua wa Iraq wa Syria na wengineo.

Mtoto anaona wazee wake wameuliwa mbele yake halafu akikuwa unategemea atampenda aliowaua wazee wake?

Unyama wa kuuwana kwa mamilioni uliofanywa kwa kuuwana Wakristo kwa Wakristo vita ya kwanza na ya pili ya Dunia sijasikia mtu akiushutumu Ukristo kuwa ndiyo uliofanya mauaji hayo.

Mauaji ya kutisha yaliofanyika Ireland ya kuuwana Wakristo kwa Wakristo sijasikia mtu akilalamikia Ukristo.

Mauaji waliouna Rwanda Wakristo kwa Wakristo ki unyama kabisa sijasikia mtu anaulaumu Ukristo.

Mauaji yanayofanywa leo hii na anti balaka ya kusafisha kabisa kila Muislam anaekutwa sijasikia ukilaumiwa Ukristo.

Leo mtu anakuja na daku zake halafu anaulaumu Uislam kwa mambo ambao hatuyajui na nna wasiwasi mkubwa sana kuwa wanayoyafanya hayo ni hao hao adui za Uislam ili kuupaka matope Uislam.
Mtu akiwa mkristo au wa dini yoyote akifanya mauaji au maovu kwa sababu au malengo yake binafsi hatuwezi kulaumu dini yake, mambo wanayofanya wamarekani na nchi nyingine za magharibi hayafanywi katika jina la ukristo bali kwa sababu na malengo yao ya kisiasa, hawasemi kwamba imani yao ya kikristo ndio inawatuma kufanya hivyo la hasha!

Na hata inapotokea mkristo au kikundi cha kikristo kinafanya maovu kwa kisingizio cha ukristo kamwe hutaona wakristo wakishabikia uovu huo kwa sababu wakristo wanalijua neno lao vizuri, ni nani umemsikia akimshabikia Joseph Kony wa LORD'S RESISTANCE ARMY ya Uganda!? pamoja na kwamba anataka nchi ya Uganda iongozwe kikristo kwa kufuata amri kumi za Mungu, ni wapi kwenye biblia imeandikwa hivyo kama sio uhuni na ushenzi wake!

Ila nashangaa sana baadhi ya waislam kama wewe ambao mnashabikia maovu yanaofanywa na makundi kama boko haram, al qaeda, isis n.k tena wanasema wanafanya katika jina la allah! halafu mnaona ni haki! sasa matokeo yake haya makundi yanaanza kuwadhuru na waislam wenzao, isis wanafanya hivyo, boko haram ndo usiseme wengi wanaodhurika ni waislam wenzao halafu unatetea upuuzi huu, ngoja yakukute ndipo utakapojuta!

Mimi siwezi kutetea uovu wa mkristo mwenzangu eti kwa sababu ni mkristo, never!
Na kuhusu anti-balaka na seleka kule central africa hebu soma vizuri ujue chanzo chake, kwa kifupi rais bozize(mkristo) alipinduliwa na kikundi cha kiislam cha seleka na kumsimika rais wao djotodia ambae aliwaahidi saudi arabia kuwa ata implement sharia law katika central africa na ikapelekea wakristo na waumini wa dini za asili kujiunga pamoja kutengeneza kundi lao la anti balaka ili kupinga nchi kutawaliwa kwa sharia law!hivyo kundi la anti balaka(anti-sword) sio kundi la kikristo only bali wapo na waumini wa dini za asili za kiafrika wengi tu!
 
Cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyelaani mauaji ya kimbari yaliyofanywa na USA na NATO yakishirikisha silaha nzito nzito kuwaua wa Iraq wa Syria na wengineo.

Mtoto anaona wazee wake wameuliwa mbele yake halafu akikuwa unategemea atampenda aliowaua wazee wake?

Unyama wa kuuwana kwa mamilioni uliofanywa kwa kuuwana Wakristo kwa Wakristo vita ya kwanza na ya pili ya Dunia sijasikia mtu akiushutumu Ukristo kuwa ndiyo uliofanya mauaji hayo.

Mauaji ya kutisha yaliofanyika Ireland ya kuuwana Wakristo kwa Wakristo sijasikia mtu akilalamikia Ukristo.

Mauaji waliouna Rwanda Wakristo kwa Wakristo ki unyama kabisa sijasikia mtu anaulaumu Ukristo.

Mauaji yanayofanywa leo hii na anti balaka ya kusafisha kabisa kila Muislam anaekutwa sijasikia ukilaumiwa Ukristo.

Leo mtu anakuja na daku zake halafu anaulaumu Uislam kwa mambo ambao hatuyajui na nna wasiwasi mkubwa sana kuwa wanayoyafanya hayo ni hao hao adui za Uislam ili kuupaka matope Uislam.

Haoa ndo huwaunichisha hivi kweli unaona kinacho fanywa na hao jamaa ni sawa,kwamfano hao watoto walotekwa Nigeria tena washule 200 walikua nakosa gani:what:tena waisilamu .Sasa ndo ujue kanini tunapinga mahakama ya kadhi make ikipita naonautakua wakwanza kuchinja wenzako kama unashabikia vitukama hivi😕
 
Cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyelaani mauaji ya kimbari yaliyofanywa na USA na NATO yakishirikisha silaha nzito nzito kuwaua wa Iraq wa Syria na wengineo.

Mtoto anaona wazee wake wameuliwa mbele yake halafu akikuwa unategemea atampenda aliowaua wazee wake?

Unyama wa kuuwana kwa mamilioni uliofanywa kwa kuuwana Wakristo kwa Wakristo vita ya kwanza na ya pili ya Dunia sijasikia mtu akiushutumu Ukristo kuwa ndiyo uliofanya mauaji hayo.

Mauaji ya kutisha yaliofanyika Ireland ya kuuwana Wakristo kwa Wakristo sijasikia mtu akilalamikia Ukristo.

Mauaji waliouna Rwanda Wakristo kwa Wakristo ki unyama kabisa sijasikia mtu anaulaumu Ukristo.

Mauaji yanayofanywa leo hii na anti balaka ya kusafisha kabisa kila Muislam anaekutwa sijasikia ukilaumiwa Ukristo.

Leo mtu anakuja na daku zake halafu anaulaumu Uislam kwa mambo ambao hatuyajui na nna wasiwasi mkubwa sana kuwa wanayoyafanya hayo ni hao hao adui za Uislam ili kuupaka matope Uislam.

Hayo mengine laumu wewe
 
Mtu akiwa mkristo au wa dini yoyote akifanya mauaji au maovu kwa sababu au malengo yake binafsi hatuwezi kulaumu dini yake, mambo wanayofanya wamarekani na nchi nyingine za magharibi hayafanywi katika jina la ukristo bali kwa sababu na malengo yao ya kisiasa, hawasemi kwamba imani yao ya kikristo ndio inawatuma kufanya hivyo la hasha!

Na hata inapotokea mkristo au kikundi cha kikristo kinafanya maovu kwa kisingizio cha ukristo kamwe hutaona wakristo wakishabikia uovu huo kwa sababu wakristo wanalijua neno lao vizuri, ni nani umemsikia akimshabikia Joseph Kony wa LORD'S RESISTANCE ARMY ya Uganda!? pamoja na kwamba anataka nchi ya Uganda iongozwe kikristo kwa kufuata amri kumi za Mungu, ni wapi kwenye biblia imeandikwa hivyo kama sio uhuni na ushenzi wake!

Ila nashangaa sana baadhi ya waislam kama wewe ambao mnashabikia maovu yanaofanywa na makundi kama boko haram, al qaeda, isis n.k tena wanasema wanafanya katika jina la allah! halafu mnaona ni haki! sasa matokeo yake haya makundi yanaanza kuwadhuru na waislam wenzao, isis wanafanya hivyo, boko haram ndo usiseme wengi wanaodhurika ni waislam wenzao halafu unatetea upuuzi huu, ngoja yakukute ndipo utakapojuta!

Mimi siwezi kutetea uovu wa mkristo mwenzangu eti kwa sababu ni mkristo, never!

Well said comrade. Imewaingia kina FaizaFoxy...
 
Cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyelaani mauaji ya kimbari yaliyofanywa na USA na NATO yakishirikisha silaha nzito nzito kuwaua wa Iraq wa Syria na wengineo.

Mtoto anaona wazee wake wameuliwa mbele yake halafu akikuwa unategemea atampenda aliowaua wazee wake?

Unyama wa kuuwana kwa mamilioni uliofanywa kwa kuuwana Wakristo kwa Wakristo vita ya kwanza na ya pili ya Dunia sijasikia mtu akiushutumu Ukristo kuwa ndiyo uliofanya mauaji hayo.

Mauaji ya kutisha yaliofanyika Ireland ya kuuwana Wakristo kwa Wakristo sijasikia mtu akilalamikia Ukristo.

Mauaji waliouna Rwanda Wakristo kwa Wakristo ki unyama kabisa sijasikia mtu anaulaumu Ukristo.

Mauaji yanayofanywa leo hii na anti balaka ya kusafisha kabisa kila Muislam anaekutwa sijasikia ukilaumiwa Ukristo.

Leo mtu anakuja na daku zake halafu anaulaumu Uislam kwa mambo ambao hatuyajui na nna wasiwasi mkubwa sana kuwa wanayoyafanya hayo ni hao hao adui za Uislam ili kuupaka matope Uislam.

Duuuu!!

Kuanzia leo hakika nimejifunza kitu mhimu sana toka kwako!! We ni mtu hatari sana na mwenye chuki zilizovuka mpaka hasa kwa dini isiyokuwa yako! Naamini wewe si muislamu kama baadhi ya waislamu wastaarabu ninaoishi nao.

Hivi hiyo miaka palikuwa na uwazi au wingi wa vyombo vya habari kama leo kuhusu hizo vita vya wakristu na vita hizo za Burundi na Rwanda?

Hivi huwezi tu kuchangia bila kugusa udini?
 
Huyo rubani aliyeshikwa unasema alikuwa kazini, hivi ni kazi ipi? Kuiendesha ndege ya kivita akizurura tu?

Unastaajabisha sana,nina mashaka makubwa kama unakielewa unachokiamini,kwa kuwa ni home of great thinkers kila kitu unataka uki reason..punguza basi na uwe na haiba flan hivi,ukitaka ntaku pm
 
And this is life.... sometime we should not take it seriously as these things have happened since the creation. Man in human against man, war, hunger, cataclysm, etc etc Haya yapo tu yataendelea kuwepo. What to do, grasp the information about them dont go deep in thinking about them. Fanya yako keep moving forward...!! over

Tunatofautiana ndugu yangu,binadamu ana hadhi yake hata kama amehukumiwa kunyogwa lakini si kumubanika kama nyama choma.
 
Back
Top Bottom