Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

Sikutegemea kabisa raia wa Tanzania nchi yenye upendo kuwa na watu makatili (mwanamke mwenye kila sifa ya ugaidi) kama Faizyfox! Mungu mpumzishe kwa amani kijana mdogo kabisa miaka 26 kwa kifo ambacho sijawahi fikri binadamu anaweza uawa hivi na binadamu wezake tena wapiganaji wanaofahamu haki za mateka.

Mbona wanauwawa Tanzania kila wakati kwa wizi wa yeboyebo au huishi Tanzania huyo kijana alikuwa akitegemea kurudi base yake na kusema mission accomplished, baada ya kuuwa ndugu zake wakiwemo watoto na wazee ambao mabomu aliyoangusha yaliunguza nyumba za wananchi wakiwemo humo na kuungua think about it
 
Wewe ni mtu wa ajabu, yaani unafurahia binadamu mwenzako akiuwa? awe mwisilamu au mkristo siyo sahihi kumwondolea uhai. jamaa si mwisilamu wala mwarabu lkn ameumia binadamu kuuawa kwa kuchomwa moto, wewe unaona ni poa, sijui una roho gani, nina wasi wasi na uraia wako. Angalia wanavyuua watu kisa dini.

View attachment 224231

Hivi unafikiri huko kuna amani? ni nani aliyeingia kuishambulia Iraq kwa uongo wa silaha maangamizi akaweka Serikali ya vikaragosi vyake? jibbu ukweli.

Jee, hujuwi ppia kuwa hao ISIS ni taasisi ya Kimerekani? ambayo inahakikisha Iraq haikaliki kwa amani? wao wajichotee tu mafuta na kuiweka tense Iran?

Hivi nyinyi ni watu wa aina gani? watoto, wazee kwa vijana wanawake kwa wanaume awaliouliwa Iraq hajaona?

Uislam unakataza kabisa mauaji ya aina yoyote ile.
 
hakuna anae yalaani kwa sababu hayafanyiki kupitia mgongo wa dini wala jina la yesu wala mungu , wanauana wakristo kwa wakristo sio kwa sababu ya dini ya kikristo , bali kwasababu nyingine tofauti kabisa kubwa ikiwa siasa za ndani ya nchi husika na chanzo cha ugomvi hua kipo wazi , tofauti na hawa waislamu, wanapigana kupitia jina la dini , vita vyao vina macho vinawaangamiza wasio wa kwao , vita vyao havina chanzo , mtu akijisikia anaunda kundi wanaanza kujilipua hovyo hovyo tu kwa kisingizio cha dini

Ireland waliuana kwa ajili ya nini? Hitler aliuwa kwa ajili ya nini? anti balaka wanaua kwa ajili ya nini?

Au hata hao Iraq wanauana kwa ajili ya nini na nani aliyelianzisha hilo balaa huko Iraq? Fikiri.
 
Hivi unafikiri huko kuna amani? ni nani aliyeingia kuishambulia Iraq kwa uongo wa silaha maangamizi akaweka Serikali ya vikaragosi vyake? jibbu ukweli.

Jee, hujuwi ppia kuwa hao ISIS ni taasisi ya Kimerekani? ambayo inahakikisha Iraq haikaliki kwa amani? wao wajichotee tu mafuta na kuiweka tense Iran?

Hivi nyinyi ni watu wa aina gani? watoto, wazee kwa vijana wanawake kwa wanaume awaliouliwa Iraq hajaona?

Uislam unakataza kabisa mauaji ya aina yoyote ile.


Umenena vyema kuwa IS siyo vita ya kwao bali ni wa marekani? wewe km mwisilamu umetambua hivyo na waislamu wengine duniani basi adui siyo waislamu bali ni US, why wanauana wao kwa wao? kwa nini wasitambue audi siyo shia wala suni bali adui yuko nje, wapambane na adui lkn siyo kuuana huku unedai ni adau anapeta. hapo ndiyo kwenye upopo kwa waarabu, haya huyo kijana wa jordan amuawa je marekeni anapata hasara gani? mwarabu anajilipua kuua nduguzake eti anapammbana na marekani are they stupidy? angalia wazungu walitamani kummaliza gadhafi kwa sababu ya akili ndogo za waarabu wakakubali kumuua huku alikuwa ana wapa asali, je baada ya kumuua wako salama? kwa nini wakubali kutumiwa na marekani? huu ndiyo ujinga wa mwarabu, wanauana wao kwa wao, rasilimali walizo nazo wangeweza kuitawala dunia kutumia uchumi wao. wangeungana km marekeni alivyofanya wangekuwa na dora imara kuliko lolote duniani kwaani wana kila kitu. anyway acha nkae kimya coz nahisi hasira.
 
Hakuna kitu kama hicho ktk historia ya uislam kuwa mtume wetu aliwaua wezi wa ngamia. Wale walikuwa ni wageni walikuwa wagonjwa wakapewa hifadhi, walipopona walimuua mlinzi wa ngamia na kuiba ngamia hao wote. Sheria hao watu ni jambazi na jambazi ni kuuliwa.
umeongeza kisa kingine! Hao aliowakata miguu na mikono na kuwang'oa macho kwa vyuma vya moto nenda kasome.Abu dawud.38:4357! Halafu hichi kisa cha kumuua mmewe na baba yake Safiyyah kisha kumuingilia huyo mjane bila edah yake kwisha wala kumlipia mahari kitendo ambacho hata panya road sijawahi kusikia wamefanya..Ibnsad-tabaqat.Vol2.P.145! Tetea na hapo dogo...
 
Umenena vyema kuwa IS siyo vita ya kwao bali ni wa marekani? wewe km mwisilamu umetambua hivyo na waislamu wengine duniani basi adui siyo waislamu bali ni US, why wanauana wao kwa wao? kwa nini wasitambue audi siyo shia wala suni bali adui yuko nje, wapambane na adui lkn siyo kuuana huku unedai ni adau anapeta. hapo ndiyo kwenye upopo kwa waarabu, haya huyo kijana wa jordan amuawa je marekeni anapata hasara gani? mwarabu anajilipua kuua nduguzake eti anapammbana na marekani are they stupidy? angalia wazungu walitamani kummaliza gadhafi kwa sababu ya akili ndogo za waarabu wakakubali kumuua huku alikuwa ana wapa asali, je baada ya kumuua wako salama? kwa nini wakubali kutumiwa na marekani? huu ndiyo ujinga wa mwarabu, wanauana wao kwa wao, rasilimali walizo nazo wangeweza kuitawala dunia kutumia uchumi wao. wangeungana km marekeni alivyofanya wangekuwa na dora imara kuliko lolote duniani kwaani wana kila kitu. anyway acha nkae kimya coz nahisi hasira.
Elewa kuwa hao waarabu nao ni watu sio malaika,na wana uwezo wa kushawishika kama watu wowote na wakatumika kama proxy.
ukifuatilia mwanzilishi wa isis,al baghdad alikua ni mateka wa wamarekani baada ya vile vita vya algaida in irag na occupied force,yaani marekani.
marekani wana system ya kuwaturn ama kuwabadili wafungwa wao wa al gaida ili watoke jail kwa makubaliano ya kufanya kazi chafu za marekani ama ku inftraite maadui zao.
hicho ndo walifanya marekani kumgeuza baghdad afanye kazi zao,na hii ilikua ni baada ya serikali ya irag chini ya malik kuwa imeegemea sana iran.
ikaonekana marekani wamepoteza matrilion kumtoa saddamu then irag imeangukia kwa iran.
ndo wakamwachia baghdad afanye kazi maalumu.
kumbuka mwaka 2012 hapakuwepo na kitu kinaitwa isis.
imezuka ghafla na kwa kasi ya ajabu sana,hasa baada ya mkutano wa putin na bandar bush,alipokua akimshikiniza putin aachane na assad,na baada ya putin kukataa,ndo hasa kivumbi cha isis kilianza,waliamua kutumia njia ndefu kumng'oa assad,kwa kuanza na kuikamata baghdad kwani assad anapata silaha zote toka iran na russia kupitia irag.
baada ya kushindikana ndo isis ika degenerate na sasa wanataka kutwanga kotekote,si saud,jordan,lebanon etc kasoro tu israel.
 
Usome kwanza uislam na mafundisho yake na hukumu zake kisha uongee!! Usikurupuke kaka kwa makosa ya baadhi ya waislam. Raiti hukumu za kiislam zingefuatwa pasingekuwapo na uharibifu ktk dunia hii.

Ikiwa uharibifu usingekuwepo hapa duniani, then dhana nzima ya binadamu kuwa hapa duniani isingekuwa na maana.
Kwani kule kwenye Islamic states pamoja na kufuata Sharia, maovu mbona yanazidi kutamaraki?
 
Amejaribu kuchora picha jinsi alivyoishi na Waislam vizuri,halafu analinganisha na ukatili wa genge la wanaojiita waislamu wa ISLAMIC STATE

asante kwa kumpa ufahamu.
 
Ireland waliuana kwa ajili ya nini? Hitler aliuwa kwa ajili ya nini? anti balaka wanaua kwa ajili ya nini?

Au hata hao Iraq wanauana kwa ajili ya nini na nani aliyelianzisha hilo balaa huko Iraq? Fikiri.

Hilter aliua akisambaza u kristo? au bendera zimeandikwa Yesu? Iraq n ya wakristo au waislam?

ongea mifano hai sio ya kutungwa au kufikirika , Tunawaona ISIS , boko haram , alshabab , el qaida na wenzao , Wanateka watu na kuwakata vichwa bila sababu ya msingi kupitia mgongo wa dini

Kipind cha Hitler ilipigana nch vs nch hakukua na maswala ya Dini, dini haikuhusika kabisa , wala uaihusishe ,
 
Hakuna tatizo hapo Mtume Muhammad (SAW) aliruhusu jihad za namna hiyo. Huo ndiyo Uislamu wenyewe
 
Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mkristu. Baba yangu kabla hajasitaafu aliwahi kufundisha shule moja huko Kigoma ujiji shule iitwayo Bugamba.

Wenyeji wa kule asilimia kubwa ni waislam, waislamu wa Kigoma ni wakarimu sana hakika nilijumuika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kuamsha waumini wa kiislamu kula daku usiku kwa ngoma baada ya kupitiwa na rafiki yangu muislamu kwa jina la Migezo pamoja na marehemu Pili watoto wa mwalimu Babu.

Baadae miaka ya 2004 nilienda kutafuta maisha Zanzibar na sehemu ya kwanza kuishi ilikuwa Mwembemchomeke kabla sijahamia Melisita ukivuka Kwerekwe kuelekea Fuoni. Ndg zangu ukisikia watu wema basi ni Wazanzibar japo wapo wachache wenye chuki zao binafsi na wabara.

Nilitafutiwa kazi na marafki zangu wa kiislamu nikaanza kazi huko Bwejuu (hotel sitaitaja). Niliamua kurudi bara nikiwa tayari na mtaji wangu wa kuanzia biashara.

Mwezi uliopita nikiwa naangalia Aljazira na mke wangu niliona rubani wa Jordan akikamatwa na kundi la wanajeshi wa ISIL lakini nikajipa moyo kuwa watamuachia kwa vile ile ni kazi yake, pili ni ndugu yao (mwarabu), tatu ni muislamu mwenzao. Nimetoka dukani usiku huu na kukuta Breaking news Aljazeera wakiwa wamemuua kwa kumubanika kwa moto.

Mara ya mwisho nilimuonyesha mke wangu video kupitia youtube jinsi walivyomkamata. Mke wangu amelia kabisa kwa ukatili wa hawa jamaa zetu waarabu waislamu wa ISIL. Hakika sitawasahau waarabu wa ISIL.

....usiogope ndugu hiyo ndio Vita !.......ulitaka wampe juice !?:A S-frusty2: Umesahau Yeye alikuwa na ndege na alikuwa anawakunguta na makombora na si kuwatupia biscuit !
Acheni unafiki, amepata alichostahili, kwani na yeye alikuwa kwenye 'mission' ya kuua wenziwe. Style tu za mauaji zinatofautiana.
Hao ISIS wanapigwa na ndege za mataifa yote makubwa akiwamo Mmarekani.

Hivi umewahi kujiuliza 'supplies' (silaha na madawa) hawa jamaa wanapata kutoka wapi !?
:noidea: kambagasa
 
Last edited by a moderator:
Hakuna tatizo hapo Mtume Muhammad (SAW) aliruhusu jihad za namna hiyo. Huo ndiyo Uislamu wenyewe

Yeye alikua anaendesha ndege ya kivita na alikuwa akiwapiga makombora ya biscuiti kabla ndege yake haijadunguliwa ! @Bubu Msemaovyo
 
Hivi unafikiri huko kuna amani? ni nani aliyeingia kuishambulia Iraq kwa uongo wa silaha maangamizi akaweka Serikali ya vikaragosi vyake? jibbu ukweli.

Jee, hujuwi ppia kuwa hao ISIS ni taasisi ya Kimerekani? ambayo inahakikisha Iraq haikaliki kwa amani? wao wajichotee tu mafuta na kuiweka tense Iran?

Hivi nyinyi ni watu wa aina gani? watoto, wazee kwa vijana wanawake kwa wanaume awaliouliwa Iraq hajaona?

Uislam unakataza kabisa mauaji ya aina yoyote ile.

hahaha jafarii
 
"I am now as before aCatholicand will always remain so" -- AdolfHitler
"Hitler was also ready to discuss with the Bishop his views on the Jewish question:"As for the Jews, I am just carrying on with the same policy which theCatholic church has adopted for fifteen hundred years
, when it has regarded the Jews as dangerousand pushed them into ghettos etc., because it knew what the Jews were like. I don't put race above religion, but
I do see the danger in the representatives of this race for Churchand State,and perhapsI am doing Christianity a great service." -"The Nazi Persecution of the Churches" by J.S. Conway, Pgs. 25, 26& 162.0„2
NOTICE:
The only Nazi ever excommunicated by the church of Rome, even after all the war crime tribunals was Joseph Goebbels. His crime?He married a Protestant,
On EWTN's show the"Apologetics" it was stated on 06-18-10 @ 4:07pm EST the following.
"The pope didn't publicly denounceHitler because if he did it would have drivenHitler to madness."
Truth is, the man was already mad. This much we already know. This was merely an excuse to rebuke all the proof thatHitlerand the Pope were working together to kill the Jewsand non-Catholics that kept the Sabbath holy. Need proof?Click here for more strange facts about EWTN (Catholic TV
 
Wewe ni mtu wa ajabu, yaani unafurahia binadamu mwenzako akiuwa? awe mwisilamu au mkristo siyo sahihi kumwondolea uhai. jamaa si mwisilamu wala mwarabu lkn ameumia binadamu kuuawa kwa kuchomwa moto, wewe unaona ni poa, sijui una roho gani, nina wasi wasi na uraia wako. Angalia wanavyuua watu kisa dini.

View attachment 224231

Mwizi - Bongo.JPG


'Huyu aliiba nokia kitochi' pale Manzese ! MSHINO
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom