Hayo mkuu sikuyafahamu.
Huyu jamaa ndio katika watu wasiojua wanaloliongea
Hayo mkuu sikuyafahamu.
Hata mimi nahisi king alikwenda haraka whitehouse kumwambia obama kuwa anabwaga manyaga kwani mchezo hausomeki sawasawa na badala ya kufikia malengo,mambo yanawageuka.Ameenda kumwambia huu mchezo mchafu siuwezi tafuta nchi nyingine ifanye usanii huu, kuwa mkijuwa kwamba hakuna nchi yenye amani kama Jordan ni jirani kabisa na Israel yaani ukiogelea unafika lakini heshima ipo hapo ila wabaya wanaoichafua uislam ndio hawa wamarekani lkn hawatafanikiwa walikuwepo kina firauni waliojiita mungu hawakufua dafu. Nawaomba ndugu zangu sio kila mlisikialo ni kweli think about it
Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mkristu. Baba yangu kabla hajasitaafu aliwahi kufundisha shule moja huko Kigoma ujiji shule iitwayo Bugamba.
Wenyeji wa kule asilimia kubwa ni waislam, waislamu wa Kigoma ni wakarimu sana hakika nilijumuika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kuamsha waumini wa kiislamu kula daku usiku kwa ngoma baada ya kupitiwa na rafiki yangu muislamu kwa jina la Migezo pamoja na marehemu Pili watoto wa mwalimu Babu.
Baadae miaka ya 2004 nilienda kutafuta maisha Zanzibar na sehemu ya kwanza kuishi ilikuwa Mwembemchomeke kabla sijahamia Melisita ukivuka Kwerekwe kuelekea Fuoni. Ndg zangu ukisikia watu wema basi ni Wazanzibar japo wapo wachache wenye chuki zao binafsi na wabara.
Nilitafutiwa kazi na marafki zangu wa kiislamu nikaanza kazi huko Bwejuu (hotel sitaitaja). Niliamua kurudi bara nikiwa tayari na mtaji wangu wa kuanzia biashara.
Mwezi uliopita nikiwa naangalia Aljazira na mke wangu niliona rubani wa Jordan akikamatwa na kundi la wanajeshi wa ISIL lakini nikajipa moyo kuwa watamuachia kwa vile ile ni kazi yake, pili ni ndugu yao (mwarabu), tatu ni muislamu mwenzao. Nimetoka dukani usiku huu na kukuta Breaking news Aljazeera wakiwa wamemuua kwa kumubanika kwa moto.
Mara ya mwisho nilimuonyesha mke wangu video kupitia youtube jinsi walivyomkamata. Mke wangu amelia kabisa kwa ukatili wa hawa jamaa zetu waarabu waislamu wa ISIL. Hakika sitawasahau waarabu wa ISIL.

Sasa ndugu yangu kwani US wamekwambia wanalazimisha watu wazifate hizo sheria?? afu hujui kua sheria kama za ushonga sio serikali ya US iliyoinfluence bali mashoga wamejaa sana US wakapigia serikali kelele hadi serikali ikaamua kukubali kupitisha hiyo sheria, afu kama ndoa zenyewe za jinsia moja zinaruhusiwa states chache sana marekani... Afu wao kupigana sana na mataifa ya middle east haimaanishi wanataka waanzishe sheria zao huko, hai-make sense kabisa
Haswa ndo mpango mzima uko hivyo.Sikuzamwishojipangeni
mimi sina dinihuyo rubani aliyeshikwa unasema alikuwa kazini, hivi ni kazi ipi? Kuiendesha ndege ya kivita akizurura tu?
Hivi USA amefata nini pale middle east? Mbona American ni mbali sana na hapo? Kama sio uchokozi ni kitu gani?
Mkuu marekani ni kama world police, jamaa hawawezi kaa wakaona kundi kama hili lina-grow strong simply because likikua sana, mfano likachukua nchi moja, mbili na kuzidi kukua, hii ni potential threat kwa nchi kama US, hivi unajua hamna nchi inachukiwa duniani kama US, tayari jamaa wana enemies wengi hawako tayari kuongeza enemies wengine.. mara mia mtu kushindana na nchi kama north korea kuliko hawa magaidi... Hata boko haram wanaangaliwa tu, ila wakiwa very strong africa tukiwashindwa marekani itaingilia tu... Toka 9/11 jamaa wamechachamaa sana
Kama unaamini mawazo yako sawa, toka ameingia middle east kaongeza au kapunguza enemies?
Hata mimi nahisi king alikwenda haraka whitehouse kumwambia obama kuwa anabwaga manyaga kwani mchezo hausomeki sawasawa na badala ya kufikia malengo,mambo yanawageuka.
ASICHOJUA huyu king ni kuwa marekani walicalculate kuwa hata kama itabackfire bado itakua ni kwa advantage yao wamarekani na israel.
sasa isis si tu inatishia irag na syria,bali pia jordan.,saudia etc.
tayari walishaanza mashambulizi saudia,mpaka wameamua kujenga ukuta wa km 600 mpakani kuzuia hao isis.
israel ananufaika na isis kwani waarabu watakua busy kupambana na isis na kutopata mda wa kushughulika na israel,ndo kama ilivyo syria iko busy na civil war,mpaka hawana hata mda wa kujibu mashambulizi ya israel nchini mwao.
hali kama hiyo ndo inaijongelea jordan,sasa sijui kama king ameshitukia mpango mzima ama bado kalala.
Yeah,obama alifeli na arab spring yake ndo wakaja na huu mpango wa ISIS.Ikumbukwe kuwa King Abdallah ni chotara kwa hiyo walimweka hapo kwa makusudi baada ya baba yake kufariki na kutimiza malengo lakini machafuko walioyakosa wakati wa Arab spring sasa utawanyatia vizuri asipocheza karata vizuri, angalia Egypt pamoja na kumuweka Al sisi myahudi lakini bado ngoma nzito
Hivi USA amefata nini pale middle east? Mbona American ni mbali sana na hapo? Kama sio uchokozi ni kitu gani?
hakuna watu wenye roho mbaya kama waarabu
_nimesikia bcc leo asubuhi kuna mama mkenya alienda kufanya kazi huko wakanyonga
Sasa kama wanataka ndoa ya jinsia moja tuwaelewe vipi sio wapinga kristo hao kama wanasimamia mauaji duniani na kuyafanya yaonekane matakatifu kama wanaifanya dunia isiwe mahala salama pa kuishi tuwaelewe vipi.Dhulma inayofanywa dhidi ya mataifa mangine kweli ni utaratibu huu mungu aliotuwekea?
Yeah,obama alifeli na arab spring yake ndo wakaja na huu mpango wa ISIS.
Kumbuka arab spring iligota mwamba syria ,na hata hapo libya haukuleta matokeo waliyoyataka.
huu mpango wa isis nao unaelekea kugonga mwamba baada ya mataifa kama iran kushituka,sasa iran ina train militias wa irag na syria kuunda hezbullah mpya hapo syria ku counter na hata yule general alieuawa na israel ndo alikua katika misheni hiyo ya kupambana na isis.
na wakati huohuo iran imeikamata yemen kupitia kundi la houthi ambao wamemwondoa kibaraka wa marekani yemeni.
pia nao uturuki wanajaribu kuitumia isis kurudisha empire yao ya ottoman.
ni kizungumkuti.