Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

Jazaaka Allahu khaira dada yangu ama kwa hakika wewe ni muumini wa kweli
 
Tumeagizwa upendo.

Hata maadui zako wakutazamapo kwa chuki na jeuri si vyema kuwalipiza vivyo hivyo, bali wajibu kwa upendo na moyo safi.

Tubadilike Foxy. Tuache roho mbaya. Una roho mbaya sana dadangu. I'm sorry to say that.

yaani huyu mama ni mshenz kuliko member yoyote humu jf,kila topic inayozungumzia mauaji ya kikatili,au unyanyasaji wa serikali ya ccm kwa raia wake huyu mama anakuwa against,mleta mada amesema vizuri mno ameanza kwa kuusifu uislamu na kisha kuwashangaa waarabu wa ISIL kwa unyama wao,linakuja hili malaya shombe na kuanza kuandika uharo tupu eti mara NATO imeua watoto,stupid faizafoxy,kweli wewe ni mbweha kabisa huna hata hadhi ya kuwemo jf wala fb rudi mtaani ukaungane na wajinga wenzako ccm,unaleta udini kwenye topic isiyobeba udini.
 
mm naomba kuuliza hivi hawa wazungu wanafuata nn kule iraq na syria? je huyu rubani si alkua ktk kazi ya kuua wenzake wa isil? au alikua ana jifurahisha tu?? kwa maana kama alikua kuwaangamiza wenzake hv ni adhabu gani alipaswa kupewa?? maana tusiangalie upande mmoja.
hv kama mtu amrkuja kwako akabomoa nyumba yako kisha akaua familia yako yaani watoto.endapo mtu huyu ukimkamata utamtamfanya nn?
 
Ukimkamata mtengenezee juice ya embe, mpe na pilau ndio sifa wanazotaka kusikia wanafiki vibaraka wa kizungu, mtu katoka Jordan kakamatiwa Syria na ndege ya kivita, kishaingia mara ngapi Syria mara ngapi kuuwa na kutoka? Hiyo adhabu alistahiki hata kama ingekuwapo zaidi ya hiyo alistahiki pia
 
Ivi we ndugu upo dunia ipi umesahau isil ilivyoanza marekani aliisapoti ili aondoke al asad madarakani.Halafu ujue uislam ni mfumo kama unavyoona ukomunist,ubepari nk sasa huu mfumo dhida yao uondoke kama mifumo mingine walivyo ing'oa ili ibaki sheria moja tu duniani ya mpinga kristo.

Na hiyo sheria ya mpinga kristo ndo USA au? haha! utakua unatania..
Subiri siku ISIL ikianguka ndo tuone mtakuja na theory zipi nyingine!
 
hakuna watu wenye roho mbaya kama waarabu
_nimesikia bcc leo asubuhi kuna mama mkenya alienda kufanya kazi huko wakanyonga
 
Huyu dada anasema unasema uislam ni mfumo bora diniani??
Duh kweli huu mfumo bora!!
Mfumo unaotoa hukumu ya kukatwa kichwa yoyote anaeuacha uislam kama yule mwanamke wa Sudan
Mfumo unaotoa hukumu ya kupigwa mawe mwanamke mzinifu mpaka kufa!!
Na hukumu nyingine nyingi za kishenzi
Huu mfumo hatari sana.
 
Kwa mtazamo wangu wote hao ni mchezo wa kuigizwa unaochezwa na mabwana wakubwa kupiga vita Uislam, walishasema siku nyingi, baada ya ukomunisti sasa ni Uislam. Lakini wapi, Uislam si ideology uislam ni mfumo pekee wa kuishi duniani.

Hakuna atakae utazama Uislam kwa mafundisho yake ambae ataukana Uislam kuwa ni mfumo bora na wa pekee wa kuishi duniani.

mpendwa ,
there is somethingi hiden ,one will not reveal it all the days he liveth.
"THE KINGDOM OF THE LIVING GOD DOESINT NEED TOO MANY PEOPLE TO ENTER INTO IT" it is for very few people, unfortunately God isnt shaken on this ,,.he is always standing on his words that arleady went forth through himself..
better one is straiving for himself to enter there than traying to strive/ convincing the sosiety by force because the kingdom is for few and not for the world .
killing people will always be ones sin
 
Ukimkamata mtengenezee juice ya embe, mpe na pilau ndio sifa wanazotaka kusikia wanafiki vibaraka wa kizungu, mtu katoka Jordan kakamatiwa Syria na ndege ya kivita, kishaingia mara ngapi Syria mara ngapi kuuwa na kutoka? Hiyo adhabu alistahiki hata kama ingekuwapo zaidi ya hiyo alistahiki pia

Hapana kaka pamoja na hayo kuna mipaka ya binaadam kuhukumu ikiwa umemwamini Muumba wako. Mfano Adhabu ya moto hapaswi binadam yyt kuitumia ispokuwa ni Muumba peke yake Unatakiwa kushinda Hasira zako kwa kulinda heshima ya dini yako.
 
Huyu dada anasema unasema uislam ni mfumo bora diniani??
Duh kweli huu mfumo bora!!
Mfumo unaotoa hukumu ya kukatwa kichwa yoyote anaeuacha uislam kama yule mwanamke wa Sudan
Mfumo unaotoa hukumu ya kupigwa mawe mwanamke mzinifu mpaka kufa!!
Na hukumu nyingine nyingi za kishenzi
Huu mfumo hatari sana.

Usome kwanza uislam na mafundisho yake na hukumu zake kisha uongee!! Usikurupuke kaka kwa makosa ya baadhi ya waislam. Raiti hukumu za kiislam zingefuatwa pasingekuwapo na uharibifu ktk dunia hii.
 
Na hiyo sheria ya mpinga kristo ndo USA au? haha! utakua unatania..
Subiri siku ISIL ikianguka ndo tuone mtakuja na theory zipi nyingine!

Sasa kama wanataka ndoa ya jinsia moja tuwaelewe vipi sio wapinga kristo hao kama wanasimamia mauaji duniani na kuyafanya yaonekane matakatifu kama wanaifanya dunia isiwe mahala salama pa kuishi tuwaelewe vipi.Dhulma inayofanywa dhidi ya mataifa mangine kweli ni utaratibu huu mungu aliotuwekea?
 
Mshenzi ni mama yako mzazi, mataptap wewe

Adhabu za fair ndizo zinazopelekea mpaka leo albino anauawa na muuaji anadunda street!..hukumu ya muuaji ni kuuawa tu na mwizi akatwe mkono..mzinifu ikiwa ameoa/kuolewa atapigwa mawe mpaka kufa na ikiwa hajaoa/kuolewa ni viboko 100. Hizo ni adhabu kali na chungu vp wewe ungejaribu kufanya uchafu?!!....ingekuwa dunia ya utulivu ndg na hiyo ni hukumu ya haki toka kwa Mola wako ambayo inaifanyia shaka.
 
Nyie kweli vilaza huyo rubani kakamatwa akiwa na ndege ya kivita alikwenda kupiga picha? Mpaka wanamkamata kishauwa wangapi? Mlitaka wakishamkamata wampe juice ya azam au ubwabwa? Hiyo ndio faida aliyotaka
Kuhusu kaua wangapi?, hilo sio jukumu la mwanadamu. Nijukumu la Mungu.
Hivyo uaifurahie mauaji kwani kwa kufanya hivyo unayakaribisha na hapa tz.
 
Cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyelaani mauaji ya kimbari yaliyofanywa na USA na NATO yakishirikisha silaha nzito nzito kuwaua wa Iraq wa Syria na wengineo.

Mtoto anaona wazee wake wameuliwa mbele yake halafu akikuwa unategemea atampenda aliowaua wazee wake?

Unyama wa kuuwana kwa mamilioni uliofanywa kwa kuuwana Wakristo kwa Wakristo vita ya kwanza na ya pili ya Dunia sijasikia mtu akiushutumu Ukristo kuwa ndiyo uliofanya mauaji hayo.

Mauaji ya kutisha yaliofanyika Ireland ya kuuwana Wakristo kwa Wakristo sijasikia mtu akilalamikia Ukristo.

Mauaji waliouna Rwanda Wakristo kwa Wakristo ki unyama kabisa sijasikia mtu anaulaumu Ukristo.

Mauaji yanayofanywa leo hii na anti balaka ya kusafisha kabisa kila Muislam anaekutwa sijasikia ukilaumiwa Ukristo.

Leo mtu anakuja na daku zake halafu anaulaumu Uislam kwa mambo ambao hatuyajui na nna wasiwasi mkubwa sana kuwa wanayoyafanya hayo ni hao hao adui za Uislam ili kuupaka matope Uislam.

Rwanda wala wapi hakuna aliyekuwa anasema allah akbar wala takbir, ilikuwa ni personal na sababu haikuwa ya kidini. Lakini waislam popote tu lazima wahusishe dini yao. waislam wanaua kwasababu ya dini yao , darfur massacre? waislam popote walipo mnataka kujifanya nyie dunia ya kwenu ugomvi tuu, antibalaka nawakubali , mkome ,mmezidi. mnatakiwa mchezee kichapo msidhani kila siku mtavumiliwa tu kwa kuwa nyie pekee ndio wababe.
 
Iwe taarifa kwenu ISIL si waislam kama wanavyojiita sababu hao ni kundi la kigaidi lenye kujipa jina la kiislam. Ktk uislam hakuna hukumu ya kumchoma mtu moto hata iwe vp.
 
Cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyelaani mauaji ya kimbari yaliyofanywa na USA na NATO yakishirikisha silaha nzito nzito kuwaua wa Iraq wa Syria na wengineo.Mtoto anaona wazee wake wameuliwa mbele yake halafu akikuwa unategemea atampenda aliowaua wazee wake?Unyama wa kuuwana kwa mamilioni uliofanywa kwa kuuwana Wakristo kwa Wakristo vita ya kwanza na ya pili ya Dunia sijasikia mtu akiushutumu Ukristo kuwa ndiyo uliofanya mauaji hayo.Mauaji ya kutisha yaliofanyika Ireland ya kuuwana Wakristo kwa Wakristo sijasikia mtu akilalamikia Ukristo.Mauaji waliouna Rwanda Wakristo kwa Wakristo ki unyama kabisa sijasikia mtu anaulaumu Ukristo.Mauaji yanayofanywa leo hii na anti balaka ya kusafisha kabisa kila Muislam anaekutwa sijasikia ukilaumiwa Ukristo.Leo mtu anakuja na daku zake halafu anaulaumu Uislam kwa mambo ambao hatuyajui na nna wasiwasi mkubwa sana kuwa wanayoyafanya hayo ni hao hao adui za Uislam ili kuupaka matope Uislam.
mbuguma unalia mbwata tu! Kwani ulaumu ukristo Yesu kafundisha wapi maangamizi ya kimbari? Yesu kafundisha Upendo na Msamaha hata kwa adui zako! Aliye fundisha mauaji ya kimbari na jino kwa jino ni muham mad, hujui! au mahaba kwa deen yako? muhammad aliibiwa ngamia, akaamrisha wezi wasakwe na walipo kamatwa akaamuru wakatwe miguu na mikono yote kisha wang'olewe macho yote waachwe juani mpaka wafe.Abu duwud.38:4350! Na mmeamrishwa na allah mumgeze! Kwa mujibu wa ilimu islamu hao isis wamepata thawab mbele ya allah! Qaraa ipigwe BAN duniani kitabu hiki ni majanga kama ebola ima boda boda!
 
Cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyelaani mauaji ya kimbari yaliyofanywa na USA na NATO yakishirikisha silaha nzito nzito kuwaua wa Iraq wa Syria na wengineo.

Mtoto anaona wazee wake wameuliwa mbele yake halafu akikuwa unategemea atampenda aliowaua wazee wake?

Unyama wa kuuwana kwa mamilioni uliofanywa kwa kuuwana Wakristo kwa Wakristo vita ya kwanza na ya pili ya Dunia sijasikia mtu akiushutumu Ukristo kuwa ndiyo uliofanya mauaji hayo.

Mauaji ya kutisha yaliofanyika Ireland ya kuuwana Wakristo kwa Wakristo sijasikia mtu akilalamikia Ukristo.

Mauaji waliouna Rwanda Wakristo kwa Wakristo ki unyama kabisa sijasikia mtu anaulaumu Ukristo.

Mauaji yanayofanywa leo hii na anti balaka ya kusafisha kabisa kila Muislam anaekutwa sijasikia ukilaumiwa Ukristo.

Leo mtu anakuja na daku zake halafu anaulaumu Uislam kwa mambo ambao hatuyajui na nna wasiwasi mkubwa sana kuwa wanayoyafanya hayo ni hao hao adui za Uislam ili kuupaka matope Uislam.

[MENTION]FaizaFoxy [/MENTION]

Kwa binadamu ambaye kweli amezaliwa akiwa Binadamu hawezi kufurahia kuona Binadamu mwezie akiuawa kinyama.

Katika matukio uliyoyataja hakuna hata moja ambalo Binadamu wa kweli alikaa kimya bila kulalamika kwani ni roho za watu wasio na hatia zinaangamia.

Vita vya 1 & 2 vya Dunia, bado tunavilaani haa leo na ndio maana katika masomo shuleni wanafunzi bado wanajifunza athari zilizotokana na vita hivi.

Mauaji ya Kimbali yamelaaniwa na watu wa mataifa mengi na athari zake tumeziona kwa baadhi ya watuhumiwa kufikishwa katika vyombo vya sheria na kuhukumiwa.

Na kadharika.

Hivyo si kweli kuwa Binadamu aliyezaliwa Bindamu ana furahia mauaji. Ni shtani tu ndiye ana furahia mauaji kwa manufaa yake.

Huenda wewe na dizaini yako mkawa wa kwanza.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom