Mniache kasie mie

Mniache kasie mie

Hivi kila mtu akiweka hapa masahibu anayopambana nayo mtaani patatosha kweli? Huwezi kuwazuia watu kusema au kuwaza vyovyote wanavyotaka wao!

Aliyekwamnia JF ni ndoo ya maji kuwa itajaa nani? we kama unasera mwaga huna wacha Kasie amwage yaliyomjkaa moyoni. Sina shoga wala shosti humu ndo namwaga yote yanayonitokea.
 
''Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate'':jf member

Hahahahahaaaa muulize babu Asprin atakwambia, nilikutana na jamaa akawa anajaribu kujaza kishimo cha kati kijae basi kumwaga mara 5 jasholinamtoka, macho pima, anahemea mdomoni kama alikuwa anafukuzwa na simba hahahahahahahaaaa, halafu Kasie yuko gado anasubiria kichupa kijae, nusura jamaa roho imtoke hehehehheheheee
akabakia tuu water... water... water!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kasi Unajiuza Humu Jf Kw Style Hyo, Una Nin Weye Kuwashnda Wenzako, Mara Umebak Ofsn Wanaume Wanakusumbua, Leo Una Lingne, Limbuken Weee

About turn, kwa hatua za haraka haraka mbeleee tembea hip hop hip hop hip hop
 
Hahahahahaaaa muulize babu Asprin atakwambia, nilikutana na jamaa akawa anajaribu kujaza kishimo cha kati kijae basi kumwaga mara 5 jasholinamtoka, macho pima, anahemea mdomoni kama alikuwa anafukuzwa na simba hahahahahahahaaaa, halafu Kasie yuko gado anasubiria kichupa kijae, nusura jamaa roho imtoke hehehehheheheee
akabakia tuu water... water... water!!!!
Heheheheeh kishimo kipi hicho jamaa alishindwa kukijaza???
 
Hahahaha.... Utakufa nacho kijiba cha roho. Mimi na Apologise lady hatujafahamiana gulioni Katerero.

Kwa taarifa yako ananilelea kichanga changu ndani ya tumbo lake takatifu. Kazi ilifanyika mchana wakati mvua inanyesha. Lazima tutoe copy ya Cleopatra.

Mmh sikuwezi babu wee!
 
Last edited by a moderator:
Aliyekwamnia JF ni ndoo ya maji kuwa itajaa nani? we kama unasera mwaga huna wacha Kasie amwage yaliyomjkaa moyoni. Sina shoga wala shosti humu ndo namwaga yote yanayonitokea.

Nimekusoma!
 
Back
Top Bottom