Mniache kasie mie

Mniache kasie mie

Hahahahaha umenifurahisha sana kwa uamuzi wako.Endelea kuwa na babu ila ugonjwa wa moyo upo nje nje kwa hicho kizee maana kina wengi balaaa
Hahahaha.... Utakufa nacho kijiba cha roho. Mimi na Apologise lady hatujafahamiana gulioni Katerero.

Kwa taarifa yako ananilelea kichanga changu ndani ya tumbo lake takatifu. Kazi ilifanyika mchana wakati mvua inanyesha. Lazima tutoe copy ya Cleopatra.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha.... Utakufa nacho kijiba cha roho. Mimi na Apologise lady hatujafahamiana gulioni Katerero.

Kwa taarifa yako ananilelea kichanga changu ndani ya tumbo lake takatifu. Kazi ilifanyika mchana wakati mvua inanyesha. Lazima tutoe copy ya Cleopatra.

Bebii mbona unatoa siri tena, hujui watu wambeya wataanza kutufuatilia kama domo na Bosslady. hapo tu Honey Faith halali leo.
 
Kile kitoto cha migomigo, ki MO11 kina tufuatilia sana, ilibidi nikitulize kwanza.
Siku nyingine kimwagie maji yenye shombo la samaki. Staki kuona kiumbe mtu anamshobokea babyto wangu Apologise lady. Mwambie a-apologise kabla sijambadilisha jinsia afu kikojoleo chake nikihamishie usoni.
 
Heee!!!!!!! bebii utam TEVEZ?????????????
Basi wacha hasira, harudii tena.
 
JF bwana hakuishiwi na vituko, yaani madaudu wakufanyie wengine michambo akachambe JF. hahahaha, kwel dunian kuna vituko.

hao staff ninaowasema wako humu humu JF ndo maana nimekuja kuwasema hapa
 
Back
Top Bottom