Mniache kasie mie

Mniache kasie mie

Hivi mimi na wewe kimetokea nini katikati yetu??

Mi hata sikuelewi mwanaume wewe, sijui ndio uzee, nakuona unagalauka tu huku na huko kwa michepuko kama hunioni, we endelea tu yakikushinda huko ndio nikuone unarudi kunibembeleza.
 
Mi hata sikuelewi mwanaume wewe, sijui ndio uzee, nakuona unagalauka tu huku na huko kwa michepuko kama hunioni, we endelea tu yakikushinda huko ndio nikuone unarudi kunibembeleza.

Yameshanishinda mpenzi, hebu njoo pande hii nikuambukize mahaba.
 
Hivi ulishamuacha kumfatilia shem wangu???Au bado upo nae😀

Shem wako nishamuacha, Penzi la babu Asprin limenimaliza mie, shemeji yako Utafiti alikuwa mtoto sana kiasi nilikuwa kama namiliki serengeti boy, kwanza sikuona haja yakumuu kwa presha miss neddy
 
Basi kaa kimya wanga wasituharibie yetu mapenzi.

Nakusubiria PM tupange mikakati ya chakula cha usiku. Naamini utakuwa umeniandalia pishi maridadi leo. Nna njaa ya pishi lako tamu.

Hata ucwe na shaka bebii, nishafanya maandalizi ya kutosha, si wanijua kuwa sikosei bebiii.
 
Kasi Unajiuza Humu Jf Kw Style Hyo, Una Nin Weye Kuwashnda Wenzako, Mara Umebak Ofsn Wanaume Wanakusumbua, Leo Una Lingne, Limbuken Weee
 
Shem wako nishamuacha, Penzi la babu Asprin limenimaliza mie, shemeji yako Utafiti alikuwa mtoto sana kiasi nilikuwa kama namiliki serengeti boy, kwanza sikuona haja yakumuu kwa presha miss neddy

Hahahahaha umenifurahisha sana kwa uamuzi wako.Endelea kuwa na babu ila ugonjwa wa moyo upo nje nje kwa hicho kizee maana kina wengi balaaa
 
Back
Top Bottom