mambo yote DSTv na digitek.
msidharau dafu embe tunda la msimu
Ila Azam tv waweke bhasi local chanel zote
mambo yote DSTv na digitek.
msidharau dafu embe tunda la msimu
mimi niliona hata game ya bayern na raja casblnc,game zote za FA
Mbona HDMI cable hakuna?
mkuu ni chanel gani hiyo, afu ni jana tu au kila mara?
Zinauzwa shilingi 10,000 tu.Mbona HDMI cable hakuna?
ITV na Star Tv wanajitenga wenyewe,utakua wana wivu wa kibiashara
Hapa ndio chanzo ya kwanini tumefika hapa maana mtu akitenda jambo interesting kila mtu anasema anafaa uongozi kumbe angeachwa kulekule angeendelea kufanya makubwa zaidi kuliko kumpa uongozi
sitegemei kama channel ya tb joshua itakuwepo, he he hee! Si unajua tena tb joshua anapambana na mambo ya mapepo!
147,500/-
King'amuzi na dish, 120,000
malipo ya mwezi, 12,500
Installations, 15,000
ndugu kati ya azm na tb joshua nani ana mapepo?