Dengue
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 2,050
- 1,469
Hamna kitu anazidiwa na ving'amuzi vyote, hana ITV na EAT, baba wa king'amuzi/kisimbuzi ni DSTV
Wewe ndio huna kitu. Eti unasifia dstv,sifia vya ndani ya nchi yako. Hapa unatakiwa kuzungumzia visimbuzi vya Tz ambapo utaona Azam ndio baba lao.
Lewa na chako ndugu.