Ndiyo ubadilike.Usijidai umeshukuru somo wakati unaishabikia CCM.Hama huko,acha ulofa.Asante sana kwa somo
jengo la UMOJA WA ULAYA LIMEJENGWA KWA MUUNDO HUOHUO WA BABELI. NA KTK VITI VYA BUNGE LA ULAYA KITI NAMBA 666 HAKINA MKAAJI COZ HAJAJA BADO.
Hakuwa na mke?sasa we unafikiri huko juu ana kaa nani?
Kama unakubali mchawi anapaa hadi Nigeria kwa dk3, Haya mambo ni kiroho ukitumia mwili utaumia bureIla mimi bado najiuliza huko mbinguni ni wapi ki location yaani? Ni huko tunapotazama jua ama? Au ni nje ya ulimwenguu huu labda..
Maana Yesu Kristo alipokua akipaa kwenda mbinguni alipaa kwenda juu uelekeo wa jua kwa mujibu wa maandiko. Lakini zama hizi sayansi imeweza kutoka nje ya dunia na kuona umbali wa ma bilion ya km mbele, sasa hio mishale ya nimrodi ilirushwa kwa style ya namna gani mpaka kufika huko aliko Mungu?
Sambamba na hilo ikiwa wana sayansi wameweza kuona umbali ambao ukitaka kwenda itakuchukua miaka bilion kufika tena kwa speed ya mwanga, na mpaka hapo mbingu hawajaiona huenda iko mbele zaidi. Sasa Yesu aliepaa tuchukue alikua na speed ya mwanga mara 1000 huenda mpaka leo hajafika bado, zingatia mwanga husafiri km 300000 kwa sekunde?
Makazi ya Mungu ni Mbinguni jiografia yake ni juu yote juu sana. Huko juu hakuna kitu kinaitwa Gravitation force hizi ni scientific fiction tu, dunia ndio sakafu ya anga na anga ni paa la dunia, dunia sio sayani ni dunia na wala sio duara(hai make sense) ni tambarare, na huko kwenye paa lake ambalo mnaliita universe hakuna kitu kinaitwa sayari ni scientific fiction pia, huko kuna hewa, jua linalotembea, mwezi unaotembea na nyota zote zinazotembea.Kwani Mungu anaishi wapi? (Geographical Location). Je wangetakiwa kupanda huu mile ngapi? Hali ya hewa (baridi, upepo, hewa ya kuvuta vingewatosha? Je huko juu kwa kuzingatia nguvu ya mvutano wa vitu (Gravitation, G) na nguvu ya kuvutwa duniani (gravity, g) ukuta ungejengeka? Maana kuna mahali ambapo vitu vinagoma kushikana. Dunia IPO kwenye universe hii yenye sayari kadhaa, kama Mungu yupo universe zingine huko? na je, kama Mungu hana makazi ya kuonekana physically.
Binafsi nafikiri hata wangeachwa wasingeweza kukifikia kiti cha enzi cha Mungu.
Kwani Mungu anaishi wapi? (Geographical Location). Je wangetakiwa kupanda huu mile ngapi? Hali ya hewa (baridi, upepo, hewa ya kuvuta vingewatosha? Je huko juu kwa kuzingatia nguvu ya mvutano wa vitu (Gravitation, G) na nguvu ya kuvutwa duniani (gravity, g) ukuta ungejengeka? Maana kuna mahali ambapo vitu vinagoma kushikana. Dunia IPO kwenye universe hii yenye sayari kadhaa, kama Mungu yupo universe zingine huko? na je, kama Mungu hana makazi ya kuonekana physically.
Binafsi nafikiri hata wangeachwa wasingeweza kukifikia kiti cha enzi cha Mungu.
Mkuu hamna kitu kinaitwa jupiter cha kiuhalisi ni fiction za kisayansi tu, na jupiter ni muungu wa roma tu mkuu!hiyo mishale itakua kweli ya kiroho,we mshale upite kuanzia dunia mpaka Jupiter huko na kuendelea siyo mchezo hiyo nguvu iliyotumika
Bahati mbaya hata sisi huwa tunawaamini sana wanasayansi ila hawa sometimes ni waongo kupindukia mfano walijaribu lini huo umbali kuona unatumia miaka bilioni kadhaa!!Ila mimi bado najiuliza huko mbinguni ni wapi ki location yaani? Ni huko tunapotazama jua ama? Au ni nje ya ulimwenguu huu labda..
Maana Yesu Kristo alipokua akipaa kwenda mbinguni alipaa kwenda juu uelekeo wa jua kwa mujibu wa maandiko. Lakini zama hizi sayansi imeweza kutoka nje ya dunia na kuona umbali wa ma bilion ya km mbele, sasa hio mishale ya nimrodi ilirushwa kwa style ya namna gani mpaka kufika huko aliko Mungu?
Sambamba na hilo ikiwa wana sayansi wameweza kuona umbali ambao ukitaka kwenda itakuchukua miaka bilion kufika tena kwa speed ya mwanga, na mpaka hapo mbingu hawajaiona huenda iko mbele zaidi. Sasa Yesu aliepaa tuchukue alikua na speed ya mwanga mara 1000 huenda mpaka leo hajafika bado, zingatia mwanga husafiri km 300000 kwa sekunde?
Siku ukiacha kiherehere cha kuzifuatilia[emoji28][emoji28][emoji28]Hadith mtaziacha lini?
Mbingu ipo juu juu sana tu mkuu, issue za gallax ni fiction za kisayansi tu, dunia ni sakafu na anga ndio paa la dunia, wanasayansi wana porojo nyingi sana za kuvutia lakini habari nzima za how the universe works kitabu cha ENOCH kimeeleza vizuri zaidi ya uongo wa kisayansi.Namba 1 nimekubaliana nawe mkuu kwamba ni kiroho zaidi ndio maana baadhi ya vitu walivyokua walifanya walifika mbali zaidi.
Hii namba 2 nina mashaka kidogo labda ni vile ulivyosema mbingu ipo kiroho zaidi, maana kwa mujibu wa wanasayansi nje ya galaxy yetu yaani milkway si mbali sana pia kuna galaxy ilio karibu na yakwetu tena zinakaribia kuungana inaitwa madhani andromeda, kama kuna sehemu mbingu ipo si ingeonekana hata kivuli chake.
Lakini pia mbingu yalipo makao makuu ya Mungu alieumba ulimwengu ambao una galaxy nyingi sana milk way ni kama kipunje kidogo cha mchanga kwenye bahari kweli mbingu iwe karibu hivyo mkuu?
Au labda tunaweza kusema dodoma ni ndogo sana hapa tanzania lakini ndio makao makuu labda iwe hovyo.
Lakini mimi naona swala la mbingu ilopo ki location bado ni tata sana maana hapa tunapoangalia juu ya utosi wetu bado sidhani kama ni location ya mbingu ni dhana tuu tumekua nayo. Maana dunia inavuta vitu vyote chini na sayari nyingine inavuta kinyume hapo mbingu kuijua ilipo bado ni kitendawili kikuu
Labda nikubaliane na wewe kwa majibu yako yaliofuata kwa kuhitimisha mbingi iko kiroho zaidi, shukrani mkuu kwa jibu safi lenye kuleta challenge ya akili.
Lakini mpumbavu ni wewe uliyezifuatilia hatua kwa hatua.Hadith zako ni ujinga mtupu msabato wewe
Some hiki KITABU mkuu.Kina maelezo ya kina kuhusu ulichouliza tangu mwanzo wa uumbaji Hadi kwa huyo Nimrodi na HAYO mataifa mengine.View attachment jasher.html.pdfWakuu, mimi nilijua gharika iliangamiza watu wote duniani isipokua Nuhu na wenzie waliokua kwenye safina.
Sasa huyu Nimrod na wenzake walitokea wapi?
Pia mleta mada anasema Nimrod na wenzie walitaka kujenga mnara mrefu ili wajifanyie jina kwa majirani zao.
Hao majirani zao nao walitoka wapi?
Je, ni kweli kwamba gharika haikuangamiza dunia nzima?
Kuna vitabu vingine nje ya BIBLIA ambavyo vinaelezea matukio ya BIBLIA lakini kwa kina zaidi.Kuna wakati biblia inaacha maswali mengi kuliko majibu. Ukiwa mtu wa facts lazima utaona kuna tatizo mahala!
Anyway, tusubiri majibu mkuu!
Uko vizuri mkuu.Hivyo ndivyo na Mimi nilivyokuwa naelewa.Nimrod alikuwa mtoto wa cush na mjukuu wa Nuhu hivyo nimrod alitoka kwenye familia ya Nuhu
Kingine Nimrod alienda kuishi huko sumeria kumbuka Nuhu alikuwa na watoto watatu na wajukuu zaidi ya 30 hivyo anaposema MIJI mingine ilimaanisha mji ambao waliishi wajukuu wengine ma Nuhu tofauti na sumeria alipoishi Nimrod
Mfano mizraim aliishi misri, Canaan aliishi mto jordan n.k so mnara ulijengwa kuwaringishia hao ingawa wote ni familia ya Nuhu
Nafkiri ntakuwa nmekujibu vzuri kiasi kwa niaba ya mtoa mada
Hebu pitieni na hii wakuu (ZITTO JUNIOR NA HAMMAZ) kuhusu kifo Cha Nimrodi.Nimetumia kitabu Cha Jasher Kama source maana kinaendana na matukio ya Agano la kale kwa Kiasi kikubwa.Ndugu HAMMAZ yeye kaeleza kulingana na sources za kiislam Kama sijakosea(hapa Sina la kuongeza Wala kupunguza maana Sina uelewa Napo Sana kuhusu hicho kisa).Nimrod wa hiki kitabu cha Jasher ni yule wa mwanzo kabisa ambaye kwenye BIBLIA anazungumzwa kwa kifupi.Ahsante kwa darasa lako mkuu wangu Maalim Hammaz hivi hii encounter ndio ile inayoishia kwa Nimrod kuuawa na wadudu??? Maana kuna hadeeth moja nlisoma nafkiri ya Tabari ile.... Anaeleza kwamba baada ya Namruth kukutana na Abraham alimwambia kwamba ana nguvu na majeshi yenye uwezo kupigana na Allah then kama sikosei Abraham akamwambia Allah atakumaliza kwa silaha ndogo kabisa ambayo hukutegemea ndio hapo wakatoa nzige/nyuki ama wadudu wa kufanana wakamuingia Namruth Ibn Canaan puani mdomoni na masikioni wakapenya hadi kwenye viungo vya ndani na kummaliza uhai wake!!
Sijui ndio kisa hiki hiki kimoja au hii nayo tofauti
Kitendo cha wao kutokuwa na mashine, kinaonyesha zaidi jinsi ambavyo hawakuwa na akili kama kizazi cha leo.Dah walikuwa na akili mkubwa we jiulize hata majengo yao yamedumu zaidi ya miaka 10,000 si mchezo kabisa au angalia hata pyramids zile zimejengwa kwa sayansi kubwa sana ambayo kwa miaka ile hakuna machine kma za sasa unajiuliza waliwezaje !!!! Walikuwa na akili kubwa pia kuishi miaka mingi kuliwasaidia sababu wanafanya utafiti na wanasayansi wanacombine akili kwa muda mrefu yaani mfano Newton na enstein na hawakings wangeishi miaka 1000 unategemea nini hapo?? Lazma wangegundua mambo mazito zaidi
Kuhusu CERN wenyewe wanadai wanatumia sayansi kufanikisha hayo ila hawa kina nimrod uchawi wa voodooo ulihusika kidogo maana Mungu ni Roho hivyo kma unataka upambane naye lazima uwe kiroho sio kimwili kma hao CERN
Hawakuwa na mashine lakini walijenga Yale mapiramidi hapo ndo ujiulize ni Akili gani walikuwa wanazitumia??? Sio hawakuwa na akili ila walikuwa na akili za ziadaa na uwezo mkubwa...Kitendo cha wao kutokuwa na mashine, kinaonyesha zaidi jinsi ambavyo hawakuwa na akili kama kizazi cha leo.
Maisha na upeo wa kufikili wa mwanandamu unaletwa na changamoto za kimazingira, Jamii ya leo ina akili nyingi sababu mazingira yamewatengeneza hivyo.
Zamani walikuwa na hali ya unyama unyama
Mkuu hakuna mahala nimesema Mungu alipigwa mishale ila ni kwamba geti lilifunguka walirusha mishale that's all..... Alafu mkuu kwanini mkipewa simulizi za culture zingine mnaona wazimu ila ingeandikwa na Bible au Quran usingesema ni wazimu mfano Bible inaandika Mungu alipigana usiku usiku na Yakobo na Yakobo alishinda sasa kwanini hushangai mwanadamu kumrushia makonde mungu na kumpiga knock out ila unashangaa mtu kurusha mishale!!Sema Bangi hizi, nilikuwaje kuwaje nikawa naamini hizi story? Serious mnasoma story eti Mungu alipigwa mishare