Mnara wa Babeli na historia ya kutisha

Mnara wa Babeli na historia ya kutisha

Swali la kwanza ata mimi nasubiri majibu yake ila hilo la pili nahisi ukisoma hapo kwenye post ya kiongozi Zitto jr utaelewa kua hakukua na majirani bali ilikua ni kumtambia Mungu mwenyewe
Kuna wakati biblia inaacha maswali mengi kuliko majibu. Ukiwa mtu wa facts lazima utaona kuna tatizo mahala!

Anyway, tusubiri majibu mkuu!
 
Jengo la umoja wa Ulaya limejengwa kwa muundo huohuo wa Babeli. Na ktk viti vya bunge la Ulaya kiti namba 666 hakina mkaaji coz hajaja bado.
 
Mkuu Hongera kwa kuleta mada nzuri hivi ila kitu kimoja tunakiruka ni kuwa Nimrod hakujenga mnara mkubwa kma tunavyofikiria kwamba ulitaka ufike mawinguni la hasha alitengeneza pyramid ya kawaida tu kama zile za misri na ushahidi huo upo sana tu ila kma angekuwa amejenga mrefu zaidi ya pale hata msingi au mabaki yangekuwepo ila mpaka leo hakuna ushahidi wa uwepo wa mnara mrefuuuuuuu hivo kma bulj khalifa!!

Ila kinachosisitizwa ni kuwa Nimrod akishirikiana na mwanaye Mardon walikuwa na nguvu za kiroho kubwa sana na katika wakati wao ndio walitawala koo zote za shem ham na japhet maana yeye ndio alikuwa mrithi wa VAZI la Adam ambalo yeyote anayelivaa ndio anakuwa na nguvu za ajabu za kurithi toka kwa Adam na yye alilipata kupitia babaye Ham ambaye aliliiba kutoka kwa Nuhu baada ya gharika .... Hivyo walitaka kufika mbinguni kiroho zaidi kwa kutengeneza GETI la kuwafanya waende mbinguni..... So kikubwa hapa ni kwamba walifanya matambiko makubwa sana na kutumia sayansi ya hali ya juu ya kutengeneza GETI litakalowafanya wafike mbinguni na kumuua huyo Mungu na ndio maana geti lilipoanza kutokea walirusha mishale ambayo ilirudi na damu!!! na ndio Mungu hapo hapo akashuka na kuwatawanya ili wasiendelee na nia yao ya kufika mbinguni.

Hivyo tunapowaza mnara tuwaze kuwa walijenga kiroho ila kimwili ulikuwa mnara mkubwa ila wa kawaida tu kma ile tunayoona Misri au Azteca ila kikubwa hapa ni MATAMBIKO na SAYANSI waliyotumia ndio ilimshtua Mungu hadi akaona wana NIA (sio uwezo) wa kumfikia!!! Akaona awatawanye

Shukrani kwa mada nzuri mkuu
Asee mkubwa you made my day today...umeongea kitu kikubwa saana ambacho most of preachers huwa hawakiongei kwa ufasaha so let me know your educational level...kuna babu yangu ni proffesor katika historia za dini alishawahi kunifahamisha kitu kitu mpk nikakielewa kama ulivyodiriki kukiweka wazi...
 
Aisee watu wa zamani walikuwa advanced balaa...yaani nilivyokuwa na makosa huwa nawaza hata Mungu nitaenda kumuangaliaje siku akinitwaa ila wao waliamua wamfuate yeye wakamuuwe!!!hapana aisee hawa walikuwa mazombie sio watu.
 
jJengo la umoja wa Ulaya limejengwa kwa muundo huohuo wa Babeli. Na ktk viti vya bunge la Ulaya kiti namba 666 hakina mkaaji coz hajaja bado.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] serious mkuu
 
Shukrani sana wakuu kwa somo zuri mlilotupa hapa ila nilipenda kujua.....

Kama gharika lilikuja kusafisha wale waovu na kuwaacha wema waliokua kwenye Safina vipi roho kama hizi za wakina Nimrod zilitoka wapi?

Wakati yote haya yanafanyika Nuhu hakuwepo?
Kupitia mke wa HAM mkuu inasemekana alikuwa ukoo wa CAIN hivyo alibeba ile damu ya kishetani shetani na ndio maana licha ya nimrod tu hata wadogo zake kina amoni yebusi hivi amaleki aruba anaki n.k walikuwa ni majitu makatili sana hta kwenye biblia inaelezwa hivyo walikuwa na nguvu za ajabu na wababe haswaaaa

Hivyo naweza kusema roho hiyo ilitoka kwa uzao wa Cain ambao uliendelezwa kupitia HAM either kwa mke wake kuwa uzao wa cain ama mimba yake ya CANAAN ambaye alizaliwa ndani ya boti ilitokana na SHAMAEL !!!
 
Wakuu, mimi nilijua gharika iliangamiza watu wote duniani isipokua Nuhu na wenzie waliokua kwenye safina.

Sasa huyu Nimrod na wenzake walitokea wapi?

Pia mleta mada anasema Nimrod na wenzie walitaka kujenga mnara mrefu ili wajifanyie jina kwa majirani zao.

Hao majirani zao nao walitoka wapi?

Je, ni kweli kwamba gharika haikuangamiza dunia nzima?
Swali la kwanza ata mimi nasubiri majibu yake ila hilo la pili nahisi ukisoma hapo kwenye post ya kiongozi Zitto jr utaelewa kua hakukua na majirani bali ilikua ni kumtambia Mungu mwenyewe
Nimrod alikuwa mtoto wa cush na mjukuu wa Nuhu hivyo nimrod alitoka kwenye familia ya Nuhu

Kingine Nimrod alienda kuishi huko sumeria kumbuka Nuhu alikuwa na watoto watatu na wajukuu zaidi ya 30 hivyo anaposema MIJI mingine ilimaanisha mji ambao waliishi wajukuu wengine ma Nuhu tofauti na sumeria alipoishi Nimrod

Mfano mizraim aliishi misri, Canaan aliishi mto jordan n.k so mnara ulijengwa kuwaringishia hao ingawa wote ni familia ya Nuhu

Nafkiri ntakuwa nmekujibu vzuri kiasi kwa niaba ya mtoa mada
 
Kupitia mke wa HAM mkuu inasemekana alikuwa ukoo wa CAIN hivyo alibeba ile damu ya kishetani shetani na ndio maana licha ya nimrod tu hata wadogo zake kina amoni yebusi hivi amaleki aruba anaki n.k walikuwa ni majitu makatili sana hta kwenye biblia inaelezwa hivyo walikuwa na nguvu za ajabu na wababe haswaaaa

Hivyo naweza kusema roho hiyo ilitoka kwa uzao wa Cain ambao uliendelezwa kupitia HAM either kwa mke wake kuwa uzao wa cain ama mimba yake ya CANAAN ambaye alizaliwa ndani ya boti ilitokana na SHAMAEL !!!
Shukrani sana mkuu..
 
Mkuu Hongera kwa kuleta mada nzuri hivi ila kitu kimoja tunakiruka ni kuwa Nimrod hakujenga mnara mkubwa kma tunavyofikiria kwamba ulitaka ufike mawinguni la hasha alitengeneza pyramid ya kawaida tu kama zile za misri na ushahidi huo upo sana tu ila kma angekuwa amejenga mrefu zaidi ya pale hata msingi au mabaki yangekuwepo ila mpaka leo hakuna ushahidi wa uwepo wa mnara mrefuuuuuuu hivo kma bulj khalifa!!

Ila kinachosisitizwa ni kuwa Nimrod akishirikiana na mwanaye Mardon walikuwa na nguvu za kiroho kubwa sana na katika wakati wao ndio walitawala koo zote za shem ham na japhet maana yeye ndio alikuwa mrithi wa VAZI la Adam ambalo yeyote anayelivaa ndio anakuwa na nguvu za ajabu za kurithi toka kwa Adam na yye alilipata kupitia babaye Ham ambaye aliliiba kutoka kwa Nuhu baada ya gharika .... Hivyo walitaka kufika mbinguni kiroho zaidi kwa kutengeneza GETI la kuwafanya waende mbinguni..... So kikubwa hapa ni kwamba walifanya matambiko makubwa sana na kutumia sayansi ya hali ya juu ya kutengeneza GETI litakalowafanya wafike mbinguni na kumuua huyo Mungu na ndio maana geti lilipoanza kutokea walirusha mishale ambayo ilirudi na damu!!! na ndio Mungu hapo hapo akashuka na kuwatawanya ili wasiendelee na nia yao ya kufika mbinguni.

Hivyo tunapowaza mnara tuwaze kuwa walijenga kiroho ila kimwili ulikuwa mnara mkubwa ila wa kawaida tu kma ile tunayoona Misri au Azteca ila kikubwa hapa ni MATAMBIKO na SAYANSI waliyotumia ndio ilimshtua Mungu hadi akaona wana NIA (sio uwezo) wa kumfikia!!! Akaona awatawanye

Shukrani kwa mada nzuri mkuu
myth
 
Nimekusoma mkuu,

Hiyo point hapo juu, kwamba walikuwa wanalusha mishale na inaludi na damu, hii imekaaje mkuu
 
Myth ni ipi mkuu?? Mbona ushahidi wa huo mnara upo iliitwa El Ziggurat ipo huko Sumeria ya kale yaani.maeneo yote ya Mesopotamia kuanzia Eridu mpaka Akkad na Ur na Nimrod ushahidi wa uwepo wake upo kwenye listi ya wafalme wa sumeria ilioandikwa kwenye kitabu cha mawe na kipo kwenye makumbusho huko ufaransa yye aliitwa king Enmekar ambaye kihistoria alijenga mnara mkubwa sana ambao wageni wote walitoka maeneo mbalimbali duniani kuja kuuangalia na kuushangaa..... Sasa unaposema myths ni ipi hapo
 
Nimekusoma mkuu,

Hiyo point hapo juu, kwamba walikuwa wanalusha mishale na inaludi na damu,hii imekaaje mkuu
Mkuu nafkiri Mungu alitaka kuwadhihaki tu sababu haiwezekani damu ziwe za Mungu ilihali hana nyama kama sisi ila inawezekana alitaka kupima fikra zao kwamba kama wataona anatoka damu imiaanisha wamemuua Mungu watafanyeje ?? So alitaka kuona WALITAKA NINI HASA WAKISHAMUUA au KUMPINDUA ndio maana mishale yao ikarudi ikiwa na damu

Nafkiri walishangilia sana na wakaona wameshinda ila baadae wakaavurugwa na kufuatiwa na tetemeko kubwa lililovuruga mnara ule na baadae anguko la Nimrod huko mbele alipokuja kuuawa na Esau
 
Kwamba Nimrod alikuwa ni mpinga kristo huu ni uongo wa kiwango cha aina yake,wakati Nimrodi alikuwepo maelfu ya miaka kabla ya kristo.

Pia hakuna ushahidi wa huo mnara wa babel,
Nimrod alipata kuwa mtawala huko Akkadian,kama vile tu akina Hammurabi etc,
cha ajabu anatokea kwenye bible kama sijui mtoto wa mtu anaeitwa caanan,

wakati ukweli ni kuwa caanan ilikuwa ni jina la eneo kama mfano afika mashariki,sahara etc,
how came caanan linageuka linakuwa eti jina la mtoto wa Adam?

Yesu alisema ukweli kuwa kalamu ya waandishi imeifanya torati kuwa ni uongo,

na mfano ni pale walipochukua habari za mfalme Shalmaneser wa Asyria na kubuni mfalme suleman wakitumia inspiring toka kwa mfalme wa Asyria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom