Msaada BOQ Mnara wa Tank La Maji (Nalipia)

Mangi wa Rombo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
207
Reaction score
144
Habari!
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.

Natafuta fundi wa kunitengenezea orodha ya vifaa (Bill of Materials) au BOQ ikijumlisha gharama kwa ajili ya ujenzi wa mnara wa tank la maji kama inavoonekana kwenye picha hizi

Nitalipia kwa huduma hii sio bure! Nicheki DM au weka WhatsApp number tuwasiliane tufanye kazi!

Ahsante

N:B Pia kama kuna fundi anayeweza kujenga mnara huu na yupo Dar es Salaam, anaweza nicheki pia

Mnara1.jpg
Mnara2.jpg
Mnara7.jpg
Mnara4.jpg
Mnara6.jpg
Mnara9.jpg
Mnara10.png
Mnara11.png
Mnara12.png
 
Habari!
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.

Natafuta fundi wa kunitengenezea orodha ya vifaa (Bill of Materials) au BOQ ikijumlisha gharama kwa ajili ya ujenzi wa mnara wa tank la maji kama inavoonekana kwenye picha hizi

Nitalipia kwa huduma hii sio bure! Nicheki DM au weka WhatsApp number tuwasiliane tufanye kazi!

Ahsante

N:B Pia kama kuna fundi anayeweza kujenga mnara huu na yupo Dar es Salaam, anaweza nicheki pia

View attachment 3653450View attachment 3653452View attachment 3653453View attachment 3653455View attachment 3653456View attachment 3653458View attachment 3653459View attachment 3653461View attachment 3653462
Ground floor plan ni 3m x 3m au 6m x 3m?
 
Njoo nikuandalie BOQ Kwa elfu 50k peke yake

Kwa mahitaji ya Ujenzi na finishing karibu sana KELVIN HK BUILDER'S

Ujenzi kuanzia msingi hadi tunakabidhi funguo

Tiles installation
Epoxy resin
Plasta ya kiwango Bora
Tunapaua PAA za aina zote
Marekebisho ya ramani za aina zote na michanganuo ya ramani zote (UTALIPIA ELFU 20)
TUnakushauri kuhusu ujenzi na finishing Bure kabisa!

Site plan (RAMANI) tunatoa Bure...

Call : 0789005562

Nicheki Whatsapp 👇👇

Jiunge na group letu upate update kila siku

Attachments

  • 68061c269a69d5cd6fa7ffc30f746edc.jpg
    68061c269a69d5cd6fa7ffc30f746edc.jpg
    94 KB · Views: 6
  • 8dd01ac20cebe56cacae56926f77fbde.jpg
    8dd01ac20cebe56cacae56926f77fbde.jpg
    92.7 KB · Views: 6
  • 68061c269a69d5cd6fa7ffc30f746edc.jpg
    68061c269a69d5cd6fa7ffc30f746edc.jpg
    94 KB · Views: 6
  • 5d1b0ce46a3f5dd7fc9c1ffd7a37486d.jpg
    5d1b0ce46a3f5dd7fc9c1ffd7a37486d.jpg
    134.7 KB · Views: 5
  • 9f3ce4240cfafb058a34b8b99dfffb5c (1).jpg
    9f3ce4240cfafb058a34b8b99dfffb5c (1).jpg
    96 KB · Views: 6
Njoo nikuandalie BOQ Kwa elfu 50k peke yake

Kwa mahitaji ya Ujenzi na finishing karibu sana KELVIN HK BUILDER'S

Ujenzi kuanzia msingi hadi tunakabidhi funguo

Tiles installation
Epoxy resin
Plasta ya kiwango Bora
Tunapaua PAA za aina zote
Marekebisho ya ramani za aina zote na michanganuo ya ramani zote (UTALIPIA ELFU 20)
TUnakushauri kuhusu ujenzi na finishing Bure kabisa!

Site plan (RAMANI) tunatoa Bure...

Call : 0789005562

Nicheki Whatsapp 👇👇

Jiunge na group letu upate update kila siku

Attachments

  • 8a93dda30e4a58424d85452f6b0e3117.jpg
    8a93dda30e4a58424d85452f6b0e3117.jpg
    73.2 KB · Views: 5
  • 8dd01ac20cebe56cacae56926f77fbde.jpg
    8dd01ac20cebe56cacae56926f77fbde.jpg
    92.7 KB · Views: 6
  • 311e1f6fb82fe471e563d8ef1d10596b.jpg
    311e1f6fb82fe471e563d8ef1d10596b.jpg
    115.8 KB · Views: 6
  • 311e1f6fb82fe471e563d8ef1d10596b.jpg
    311e1f6fb82fe471e563d8ef1d10596b.jpg
    115.8 KB · Views: 3
  • 9f3ce4240cfafb058a34b8b99dfffb5c (1).jpg
    9f3ce4240cfafb058a34b8b99dfffb5c (1).jpg
    96 KB · Views: 6
Njoo nikuandalie BOQ Kwa elfu 50k peke yake

Kwa mahitaji ya Ujenzi na finishing karibu sana KELVIN HK BUILDER'S

Ujenzi kuanzia msingi hadi tunakabidhi funguo

Tiles installation
Epoxy resin
Plasta ya kiwango Bora
Tunapaua PAA za aina zote
Marekebisho ya ramani za aina zote na michanganuo ya ramani zote (UTALIPIA ELFU 20)
TUnakushauri kuhusu ujenzi na finishing Bure kabisa!

Site plan (RAMANI) tunatoa Bure...

Call : 0789005562

Nicheki Whatsapp 👇👇

Jiunge na group letu upate update kila siku

Nimekucheki whatsap
 
Habari!
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.

Natafuta fundi wa kunitengenezea orodha ya vifaa (Bill of Materials) au BOQ ikijumlisha gharama kwa ajili ya ujenzi wa mnara wa tank la maji kama inavoonekana kwenye picha hizi

Nitalipia kwa huduma hii sio bure! Nicheki DM au weka WhatsApp number tuwasiliane tufanye kazi!

Ahsante

N:B Pia kama kuna fundi anayeweza kujenga mnara huu na yupo Dar es Salaam, anaweza nicheki pia

View attachment 3653450View attachment 3653452View attachment 3653453View attachment 3653455View attachment 3653456View attachment 3653458View attachment 3653459View attachment 3653461View attachment 3653462
Kwa nini usijenge underground tank? Nafikiri design hii ni eye sore na inakula eneo la kiwanja. Mawazo yangu lakini...
 
Ni eye sore lakini kwa maji ya Dar haina mbadala wa kuaminika. Tank la chini au underground linahitaji pump.
Pump itakupa pressure nzuri kuliko mnara lakini inaongeza another point of failure. Kama kuna hitilafu ya umeme au pump yenyewe umebaki na ndoo na maji ya kuchota.
 
Probability ya pump kuzingua ni negligible. Nina pump zaidi ya miaka 15 sijabadili. Halafu unaweka tanki dogo kama lita 500 kwenye dari na lina overflow pipe ambayo inatoka nje. Kama hutaki kuweka kwenye dari, jengea nje. Hitilafu ya umeme sio issue sana kwani una backup ya lita 500. Hizo tank unazoweka zinadai pressure kubwa ya DAWASCO ili yaingie wakati underground tank hata kama pressure ndogo yataingia. Hivyo waweza kukosa maji pamoja na kwamba yanatoka. Faida ni kubwa kuliko gharama.
 
Kwa nini usijenge underground tank? Nafikiri design hii ni eye sore na inakula eneo la kiwanja. Mawazo yangu lakini...
Matank ya chini (underground tank) Yanagharama kubwa Tofauti na matank haya anayotaka kujenga! Ukiacha gharama za ujenzi kuwa kubwa lakini pia kuyatunza ni gharama nyingine na pia inahitajika pump ya kupandisha MAJI juu
 
Ahsanteni wote mlionicheki! Nimefanikiwa kupata BOQ na fundi pia! Ahsanteni! Nitawapa picha ujenzi ukikamilika!!!
 
Kwa nini usijenge underground tank? Nafikiri design hii ni eye sore na inakula eneo la kiwanja. Mawazo yangu lakini...
Sijawahi kufikiria juu ya hili. Nitalifanyia research kujua faida na hasara zake labda kwenye ujenzi mwingine nita consider hii option. Kwa sasa nilipendelea mnara kutokana na project yenyewe! Ni sehem najenga apartments na zitakuwa na ghorofa moja so nilishauriwa kuweka mnara just in case hata pump ikizingua unatumia gravity kupata maji unlike chini inabidi uwe na pump all the time
 
Matank ya chini (underground tank) Yanagharama kubwa Tofauti na matank haya anayotaka kujenga! Ukiacha gharama za ujenzi kuwa kubwa lakini pia kuyatunza ni gharama nyingine na pia inahitajika pump ya kupandisha MAJI juu
Hapo atakosa maji pamoja na kuwa maji yanatoka kwani pressure ya maji huwa ndogo. Gharama ya kujenga underground tank sio kubwa. Wewe unafikiri atatumia kiasi gani kujenga hilo tower?
 
Mkuu, hivi hiyo underground tank inakuaje kuaje? Yani Tank unazifukia chini au inakuaaje apoo
 
Back
Top Bottom