Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,536
- 4,533
Kwani Mungu anaishi wapi? (Geographical Location). Je wangetakiwa kupanda huu mile ngapi? Hali ya hewa (baridi, upepo, hewa ya kuvuta vingewatosha? Je huko juu kwa kuzingatia nguvu ya mvutano wa vitu (Gravitation, G) na nguvu ya kuvutwa duniani (gravity, g) ukuta ungejengeka? Maana kuna mahali ambapo vitu vinagoma kushikana. Dunia IPO kwenye universe hii yenye sayari kadhaa, kama Mungu yupo universe zingine huko? na je, kama Mungu hana makazi ya kuonekana physically.
Binafsi nafikiri hata wangeachwa wasingeweza kukifikia kiti cha enzi cha Mungu.
Binafsi nafikiri hata wangeachwa wasingeweza kukifikia kiti cha enzi cha Mungu.