Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

Nalo neno, lakini bikra hizo za mwendo kasi usiziamini sana, hizo zinauzwa na zinanunuliwa!

Watu wanaishi na mahawara zao kinyumba, lakini wewe ukitaka kumuoa utamkuta bikra!

Hata aliyezaa akitaka kukuchezea akili zako waweza kumkuta bikra na 'harusi ikasema', wee endelea kukariri mambo hivyo hivyo.
Sambaani zipo tele ,hakuna ujinga labda wageni ndio wameharibu ...Yaani wewe ongea na wazee hata vijijini vya mikoa yote zipo ...Zenji kumeharibiwa na wabara wengi kule ,sehemu ndogo na tabia za hovyo zinaenea kwa sana.
 
Guys ninaandika haraka haraka maana nampepea bwana harusi mtarajiwa amezimia baada ya kukataliwa kuoa binti mzuri wa kizanzibar,

Huyu jamaa baada ya kuposa na kulipa mahari yote akapata mualiko maalum wa kuonana na familia ya wakwe zake watarajiwa na kupata chakula cha mchana pamoja, nilimwambia kua akipewa samaki ale kiduchu tu ila chonde chonde asimgeuze,

Basi bwana na mie nilikua mmoja wa wapambe wa bwana harusi mtarajiwa kama mjuavyo tamaduni ni kua wanawake hukaa sehemu yao na wanaume hukaa sehemu yao lakini wakati tunaachana akakae upande wa wanaume nikamkumbusha tena "huku Zenji ukiwa ukweni samaki hagaezwi" akasema nisikonde "chill, i got this...." hayo ndio maneno ya mwisho kunambia kabla hajazimia 😭😭😭😭

Huyu bwana akapewa bonge la samaki unajua samaki wa kupaka weweeee, jamaa akapagawa akasahau onyo nililompa akaanza kumgegedua samaki upande wa kwanza ukaisha akamgeuza na kuendelea kumfakamia kwa fujo huku akijiramba vidole daah!🥺 hapo hapo baba wa bibi harusi akasimama kwa hasira na kuanza kumfokea sana kwanini kamgeuza yule samaki, akasema ndoa haipo tena mahari yake amtume mshenga wake akaifate kesho asubuhi sana na kuondoka huku akirusha rusha mikono, taharuki ikatokea jamaa tunamuuliza vipi hajajibu akadondoka na kuzimia......

Nitaendelea kuwapa updates ila ndio hivyo mkija Zanzibar kuoa chonde chonde msimgeuze samaki.
Kule wanageuzwa wanaume
 
Sambaani zipo tele ,hakuna ujinga labda wageni ndio wameharibu ...Yaani wewe ongea na wazee hata vijijini vya mikoa yote zipo ...Zenji kumeharibiwa na wabara wengi kule ,sehemu ndogo na tabia za hovyo zinaenea kwa sana.
 
Hata Tanga niliambiwa hivyo, hata hivyo huko Zenji kwa mambo ya kugeuza samaki si ndio kwenyewe, sema tu wengi hufanya kwa siri sana
Nipo Tanga,wapi wanafanya hayo mambo ilhali mi sijawahisikia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom