dah ata iyo kauli ya wamikoani uwa miyeyusho sana ,watu wenye iyo tabia aswa ni watoto wa dar wanapenda sana kuita watu ivyo wanahisi dar ni yao wakati wote wageni tu darAngalau wawaite wa mikoani 😄
Kabiiiiiiisa love. Wewe u mwanaume mzuri mambo za kugeuzana kwako hapana.Hapana mimi sigeuzi salama, you know me sweetheart...
Hizi ni stori za kusadikika , ni zike hekaya za vijiwe vya kahawa .Mimi nimezaliwa Pemba na bado naishi Pemba niliwahi kuskia kua izo stori zipo kisiwa kimoja kinaitwa Kojani , wanasema kua ukitaka kuoa wanakupa Samaki ule tu vile vile mpaka ummalize bila kumgeuza , wanasema ukimgeuza ni kua utakua na ishara za watu wa kaumu Luti.Nilikuwa nampango wa kuja kuongeza Mke wa nne huko Zanzibar, Kwa namna ninavyohusudu kula Samaki
Nahisi nitashindwa kuacha kumgeuza nikipewa kula
Hata ninyi wenzangu tuweni wakweli, utaachache kumgeuza Sato wakati wa kula?😜
Michezo hii hiiMhhh really!?
Kwahiyo Bazazi ukala ngwasuma?Kuna mmoja alinilamisha nimuoe huko Zenji mimi nikamuambia kabisa kwetu bara na sie tunautamaduni wetu "hatuoi hadi tuonje" na nikamuiza pia kwani wewe ni bikira?nipe guarantee
Basi tukaishia hapo tu....toto la kipemba laini.....hadi masaburi yake
Ila jamani ukoloni huu uko wa aina nyingi hadi wa kifikira
Hizi ni stori za kusadikika , ni zike hekaya za vijiwe vya kahawa .Mimi nimezaliwa Pemba na bado naishi Pemba niliwahi kuskia kua izo stori zipo kisiwa kimoja kinaitwa Kojani , wanasema kua ukitaka kuoa wanakupa Samaki ule tu vile vile mpaka ummalize bila kumgeuza , wanasema ukimgeuza ni kua utakua na ishara za watu wa kaumu Luti.
[/QUOTEAfadhali umetoa clarification kuhusu hilo, ilibaki kidogo nihairishe kwenda kuongeza Mke huko.Hizi ni stori za kusadikika , ni zike hekaya za vijiwe vya kahawa .Mimi nimezaliwa Pemba na bado naishi Pemba niliwahi kuskia kua izo stori zipo kisiwa kimoja kinaitwa Kojani , wanasema kua ukitaka kuoa wanakupa Samaki ule tu vile vile mpaka ummalize bila kumgeuza , wanasema ukimgeuza ni kua utakua na ishara za watu wa kaumu Luti.
Wacha niwatume washenga sasa 🤗
Ha ha niliweka kichwa tu 🤣🤣Kwahiyo Bazazi ukala ngwasuma?