Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

kweli mkuu kwa tafiti zangu kwa malaya tu wa tanga kati ya 10 lazima kuna 8 wanaiyo michezo, kama anabisha anitafute tukathibitishe tuingie field kufanya reasearch mara ya pili
Na moja ya kiashiria kuwa ni michezo yao ni dau lao kuwa dogo kulinganisha na dau la malaya wa mikoa mingine wanaotoa huduma hiyo hiyo.

Akibisha huyu ni shabiki tu hajui uhalisia wa huko Tanga kwao.
 
Guys ninaandika haraka haraka maana nampepea bwana harusi mtarajiwa amezimia baada ya kukataliwa kuoa binti mzuri wa kizanzibar,

Huyu jamaa baada ya kuposa na kulipa mahari yote akapata mualiko maalum wa kuonana na familia ya wakwe zake watarajiwa na kupata chakula cha mchana pamoja, nilimwambia kua akipewa samaki ale kiduchu tu ila chonde chonde asimgeuze,

Basi bwana na mie nilikua mmoja wa wapambe wa bwana harusi mtarajiwa kama mjuavyo tamaduni ni kua wanawake hukaa sehemu yao na wanaume hukaa sehemu yao lakini wakati tunaachana akakae upande wa wanaume nikamkumbusha tena "huku Zenji ukiwa ukweni samaki hagaezwi" akasema nisikonde "chill, i got this...." hayo ndio maneno ya mwisho kunambia kabla hajazimia 😭😭😭😭

Huyu bwana akapewa bonge la samaki unajua samaki wa kupaka weweeee, jamaa akapagawa akasahau onyo nililompa akaanza kumgegedua samaki upande wa kwanza ukaisha akamgeuza na kuendelea kumfakamia kwa fujo huku akijiramba vidole daah!🥺 hapo hapo baba wa bibi harusi akasimama kwa hasira na kuanza kumfokea sana kwanini kamgeuza yule samaki, akasema ndoa haipo tena mahari yake amtume mshenga wake akaifate kesho asubuhi sana na kuondoka huku akirusha rusha mikono, taharuki ikatokea jamaa tunamuuliza vipi hajajibu akadondoka na kuzimia......

Nitaendelea kuwapa updates ila ndio hivyo mkija Zanzibar kuoa chonde chonde msimgeuze samaki.
Samaki huyu huyu au jamaa alitaka kung'oa bikoni ya mwali ukweni
 
Kuna mmoja alinilamisha nimuoe huko Zenji mimi nikamuambia kabisa kwetu bara na sie tunautamaduni wetu "hatuoi hadi tuonje" na nikamuiza pia kwani wewe ni bikira?nipe guarantee
Basi tukaishia hapo tu....toto la kipemba laini.....hadi masaburi yake

Ila jamani ukoloni huu uko wa aina nyingi hadi wa kifikira
 
Kuna mmoja alinilamisha nimuoe huko Zenji mimi nikamuambia kabisa kwetu bara na sie tunautamaduni wetu "hatuoi hadi tuonje" na nikamuiza pia kwani wewe ni bikira?nipe guarantee
Basi tukaishia hapo tu....toto la kipemba laini.....hadi masaburi yake

Ila jamani ukoloni huu uko wa aina nyingi hadi wa kifikira
Haukuonja?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom