Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

Zinaa imekuwa rahisi kwa sababu ya ujinga ,ndoa ni process kuliko kumfanya single mother...Vijana msiende kuoa ni kazi ngumu kweli ,labda binti awe simple .

Jamaa wanamtumia magettoni ,sasa wewe nenda uone hayo masharti....Kwa sasa hata Gauni wanataka la laki sita ili wafanane na wenzao ....Ukiona dharau tu ondoka kwani ni kwenu huko.

Kuna dogo alikuwa kaziniwa sana mpaka kafika miaka 30 ila hana mtoto , inawezekana kachoropoa mimba ..Jamaa kaenda kumposa a demu anajulikana ni kicheche ni vile katulia kwa vile umri umeenda ...Duh! Hayo masharti aliyopewa na mwanamke anataka harusi kubwa mtaa mzima wajue ,gauni la laki 7 ,mahari na mambo mengine yaani sherehe kubwa ...Atoe huduma za mwanamke kipind cha uchumba na harusi kapewa kalenda miezi miwili na nusu mbele ... Oneni ujinga wa watu ,bora kuwazini hawa katika mazingira haya.


Anayetaka kuoa anapewa mlolongo mrefu ,nikitaka kuoa naingia kwa wasambaa wenzangu sio washamba ,hawana shobo na pesa za mtu ..Unapewa jiko ,kitu bikra siku moja hakuna mlolongo wala utapeli wa mshenga
Na kwa kuwa wewe mwenyewe ni fundi nguo basi unamshonea gauni simple kabisa, hamna kwere 🤣 😂 🤣!
 
Hamna ni kejeli zenu tu wa wabara ,tutaendelea kugombana kwa vile nyie ni wazushi
Wafunzeni dada zenu waache tabia ya ufuska, nyie wala msigombane na sisi. Mkuu hili swala ningekuwa sina uhakika nalo wala nisingeliongelea.

Lichukulie tu serious ili uwasaidie hao wanawake wa Tanga.
 
Wafunzeni dada zenu waache tabia ya ufuska, nyie wala msigombane na sisi. Mkuu hili swala ningekuwa sina uhakika nalo wala nisingeliongelea.

Lichukulie tu serious ili uwasaidie hao wanawake wa Tanga.
Hapana , hizo tabia mmeleta nyie wabara ..SIwatetei ila ni ukweli , naishi Tanga niambie mkoa wako ulipo then nikupe data
 
Kuna KITU kilinishangaza SANA NDOA za utotoni yes NDOA za utotoni HUKU zimeshamiri. KIPIND napga KAZ stone town NILIKUA KILA nikimuibukia BINTI namuona na mtoto SA kwa akili ZANGU nikajua wadogo zao holaaaa BADAE nikawa NAAMBIWA na wenyeji we HUYO ni mwanane SI MDOGO wake nilishangaa SANA. NIKAGUNDUA kwa Nini WENGI hukaa makwao.

Wanakuza BADO wadogo SANA kubeba majukum ya kifamilia NDO maana NDOA hazidum pia wanapenda KWAO SANA KNA muda MPAKA unajiuliza HUYU bint kaolewa ILA KILA SIKU KWAO JE mumewe anapikiwa na nani?

Kuhusu ubaguxi SI KWELI LABDA zamani ILA mi HUKU nilisha OMBA kuo wazanzibar kama watano sikukataliwa KISA Mubara ILA Mimi mwenyewe NAHISI nihitaji kujipanga wazazi WAO walinikubalia kiroho safi na tunaishia kama NDUGU huwezi amini HADI SAA ZINGINE unateleza kwa Ganda la ndizi kupitia kitonga cha ukweni


Kwishaaaa


BRO alex on la beats yoow........ ..........
 
Wewe kuwepo Tanga zaidi ya miaka 25 hakuondoi huo ukweli. Wanawake wa Tanga hio michezo wanaipenda sana.
kweli mkuu kwa tafiti zangu kwa malaya tu wa tanga kati ya 10 lazima kuna 8 wanaiyo michezo, kama anabisha anitafute tukathibitishe tuingie field kufanya reasearch mara ya pili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom