Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

Nilikuwa nampango wa kuja kuongeza Mke wa nne huko Zanzibar, Kwa namna ninavyohusudu kula Samaki

Nahisi nitashindwa kuacha kumgeuza nikipewa kula

Hata ninyi wenzangu tuweni wakweli, utaachache kumgeuza Sato wakati wa kula?😜
Zanzibar wana mlolongo usiende ,ujinga ni mwingi sana huko hata bure sioi , Zanzibar na wachaga wamezidi ...Mke anaenda kwao kwa ratiba za mila zao sio ruhusa yako ..

Zanzibar utapewa mlolongo na kama ukiwa kijana wa kawaida ,watakudharau sana ...Yaani usiende hata siku moja ,alishakuja mzenji nimemkataa kweupe sitaki upumbavu nina kwetu sambaani huko.

Aliniambia ,eti niende kujitambulisha na nikae huko kwao wanichungue na mtu kanipenda mwenyewe ,nikamwambia '' tafuta wajinga wenzio ukawachunguze '' hakuamini mpaka leo ananiheshima ,kaolewa na mzenji mwenzie ila ananitafuta.
 
Mmmmmh MBONA mi nipo ZANZIBAR halafu hayo mambo huwa siyaoni nacho kiona Mimi ni wanaliwa kama KAWAIDA bila NDOA ni ujanja WA MTU washambaa wanalizwa SANA ILA wahuni unafunua TU kiroho safi bila bughuza yyte WAKUU.

sijui LABDA Kuna JAMBO tumefichwa halafu BINTI akizingua SI unamtafuta mwingne HIVI BADO KNA Mubara mjinga HIVI WAKAT madem wanatukubali kichiz washamba huwa wanaturudisha nyuma any way sijadharau, binadamu tna tofautiana.

Kwishaaaaaa

Bro Alex on da beats yooow
 
Zanzibar wana mlolongo usiende ,ujinga ni mwingi sana huko hata bure sioi , Zanzibar na wachaga wamezidi ...Mke anaenda kwao kwa ratiba za mila zao sio ruhusa yako ..

Zanzibar utapewa mlolongo na kama ukiwa kijana wa kawaida ,watakudharau sana ...Yaani usiende hata siku moja ,alishakuja mzenji nimemkataa kweupe sitaki upumbavu nina kwetu sambaani huko.

Aliniambia ,eti niende kujitambulisha na nikae huko kwao wanichungue na mtu kanipenda mwenyewe ,nikamwambia '' tafuta wajinga wenzio ukawachunguze '' hakuamini mpaka leo ananiheshima ,kaolewa na mzenji mwenzie ila ananitafuta.
Kwa huo Ujinga wao, hata Mimi nisingemuoa huyo binti

Nimeshaghairi kuoa huko kabisa, yaani hadi Samaki hawataki tule tukimgeuza.

Si itakuwa Matumizi mabaya ya mboga hayo 😜
 
Zinaa imekuwa rahisi kwa sababu ya ujinga ,ndoa ni process kuliko kumfanya single mother...Vijana msiende kuoa ni kazi ngumu kweli ,labda binti awe simple .

Jamaa wanamtumia magettoni ,sasa wewe nenda uone hayo masharti....Kwa sasa hata Gauni wanataka la laki sita ili wafanane na wenzao ....Ukiona dharau tu ondoka kwani ni kwenu huko.

Kuna dogo alikuwa kaziniwa sana mpaka kafika miaka 30 ila hana mtoto , inawezekana kachoropoa mimba ..Jamaa kaenda kumposa a demu anajulikana ni kicheche ni vile katulia kwa vile umri umeenda ...Duh! Hayo masharti aliyopewa na mwanamke anataka harusi kubwa mtaa mzima wajue ,gauni la laki 7 ,mahari na mambo mengine yaani sherehe kubwa ...Atoe huduma za mwanamke kipind cha uchumba na harusi kapewa kalenda miezi miwili na nusu mbele ... Oneni ujinga wa watu ,bora kuwazini hawa katika mazingira haya.

Anayetaka kuoa anapewa mlolongo mrefu ,nikitaka kuoa naingia kwa wasambaa wenzangu sio washamba ,hawana shobo na pesa za mtu ..Unapewa jiko ,kitu bikra siku moja hakuna mlolongo wala utapeli wa mshenga
Nalo neno, lakini bikra hizo za mwendo kasi usiziamini sana, hizo zinauzwa na zinanunuliwa!

Watu wanaishi na mahawara zao kinyumba, lakini wewe ukitaka kumuoa utamkuta bikra!

Hata aliyezaa akitaka kukuchezea akili zako waweza kumkuta bikra na 'harusi ikasema', wee endelea kukariri mambo hivyo hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom