Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

Nalo neno, lakini bikra hizo za mwendo kasi usiziamini sana, hizo zinauzwa na zinanunuliwa!

Watu wanaishi na mahawara zao kinyumba, lakini wewe ukitaka kumuoa utamkuta bikra!

Hata aliyezaa akitaka kukuchezea akili zako waweza kumkuta bikra na 'harusi ikasema', wee endelea kukariri mambo hivyo hivyo.
Hajui huyo, karne hii bikra ipo dukani hata elfu 10 haifiki, tena anaulizwa unataka bikra yenye damu au mnato lakini ngumu🙌🏻
 
Guys ninaandika haraka haraka maana nampepea bwana harusi mtarajiwa amezimia baada ya kukataliwa kuoa binti mzuri wa kizanzibar,

Huyu jamaa baada ya kuposa na kulipa mahari yote akapata mualiko maalum wa kuonana na familia ya wakwe zake watarajiwa na kupata chakula cha mchana pamoja, nilimwambia kua akipewa samaki ale kiduchu tu ila chonde chonde asimgeuze,

Basi bwana na mie nilikua mmoja wa wapambe wa bwana harusi mtarajiwa kama mjuavyo tamaduni ni kua wanawake hukaa sehemu yao na wanaume hukaa sehemu yao lakini wakati tunaachana akakae upande wa wanaume nikamkumbusha tena "huku Zenji ukiwa ukweni samaki hagaezwi" akasema nisikonde "chill, i got this...." hayo ndio maneno ya mwisho kunambia kabla hajazimia 😭😭😭😭

Huyu bwana akapewa bonge la samaki unajua samaki wa kupaka weweeee, jamaa akapagawa akasahau onyo nililompa akaanza kumgegedua samaki upande wa kwanza ukaisha akamgeuza na kuendelea kumfakamia kwa fujo huku akijiramba vidole daah!🥺 hapo hapo baba wa bibi harusi akasimama kwa hasira na kuanza kumfokea sana kwanini kamgeuza yule samaki, akasema ndoa haipo tena mahari yake amtume mshenga wake akaifate kesho asubuhi sana na kuondoka huku akirusha rusha mikono, taharuki ikatokea jamaa tunamuuliza vipi hajajibu akadondoka na kuzimia......

Nitaendelea kuwapa updates ila ndio hivyo mkija Zanzibar kuoa chonde chonde msimgeuze samaki.
Mgombea wao bado tupo naye au amebwaga manyanga ?
 
Mambo ya kuzimia KISA umeambiwa usimuoe MTU Hilo limeni kera SANA. NILI taka kumu oa pisi MOJA hapa ZANZIBAR nikaambiwa ninunue kabati kitanda na godoro. Nikahoji mi ninavo JE hivo namnunulia nani ilihali mi na YEYE tna enda kuishi pamoja nikajibiwa ni VYA mwanamke, nika ona tayari ubinafsi detected. Mi na we tunaenda kuishi pamoja mali zetu WOTE SA NAAMBIWA ETI hivo ni VYA mwanamke TU nika ona isiwe kesi nikakunja VYANGU kama nipo kumbe SIPO huyooooooo

Kwishaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Guys ninaandika haraka haraka maana nampepea bwana harusi mtarajiwa amezimia baada ya kukataliwa kuoa binti mzuri wa kizanzibar,

Huyu jamaa baada ya kuposa na kulipa mahari yote akapata mualiko maalum wa kuonana na familia ya wakwe zake watarajiwa na kupata chakula cha mchana pamoja, nilimwambia kua akipewa samaki ale kiduchu tu ila chonde chonde asimgeuze,

Basi bwana na mie nilikua mmoja wa wapambe wa bwana harusi mtarajiwa kama mjuavyo tamaduni ni kua wanawake hukaa sehemu yao na wanaume hukaa sehemu yao lakini wakati tunaachana akakae upande wa wanaume nikamkumbusha tena "huku Zenji ukiwa ukweni samaki hagaezwi" akasema nisikonde "chill, i got this...." hayo ndio maneno ya mwisho kunambia kabla hajazimia 😭😭😭😭

Huyu bwana akapewa bonge la samaki unajua samaki wa kupaka weweeee, jamaa akapagawa akasahau onyo nililompa akaanza kumgegedua samaki upande wa kwanza ukaisha akamgeuza na kuendelea kumfakamia kwa fujo huku akijiramba vidole daah!🥺 hapo hapo baba wa bibi harusi akasimama kwa hasira na kuanza kumfokea sana kwanini kamgeuza yule samaki, akasema ndoa haipo tena mahari yake amtume mshenga wake akaifate kesho asubuhi sana na kuondoka huku akirusha rusha mikono, taharuki ikatokea jamaa tunamuuliza vipi hajajibu akadondoka na kuzimia......

Nitaendelea kuwapa updates ila ndio hivyo mkija Zanzibar kuoa chonde chonde msimgeuze samaki.
Hao ndo wanaohamasisha tigo. Ujinga ujinga tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom