Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

JF RAHA SANA, WANAOAMINI HAKUNA UCHAWI NAO WANAOGOPA KULOGWA, NIMESHAWAFUATA WATU KARIBIA KUMI HAPA PM TUKUTANE WANIPE SAMPULI LAKINI WAMEPIGA KIMYA.

Wengine wameishia kunitukana.
1000171072.jpg

ALIENIAMBIA NIKACHUKUE SAMPULI CHALINZE NAPANGA SIKU YA KWENDA ANANITUKANA.
 
Uchawi mara nyingi unatumika kihalifu; kuua, kudhuru, kupata mali kihalifu, kulinda wahalifu n.k
Unalinda wezi wasipigwe risasi, akina Lissu wanafanywa vilema na risasi.

comrade_kipepe unachangamsha genge tu na kucheza na hisia za watu kwenye anga hizo, hakuna cha uchawi wala nini.
Kuna sehem hapo juu nimeandika huu uzi sio wa kubishana, kama hauwez kufuata nlichokwambia baki na unavyoamini. MARA HAKUNA UCHAWI, MARA UCHAWI UNATUMIKA KUFANYIA UHALIFU, HII NI MIXER YA AINA YAKE
 
Kwa hiyo na ujuzi wote huo hamjafanikiwa kupata kimojawapo kutoka Kwa yule mama Ili nchi itulie?
 
Tukutane sasa unipe hivyo vtu, wewe si hauna imani potofu? Tukutane nakukata nywele mwenyewe na kucha, usije ukanipa vya mtu mwingine
Sasa hapo utakuwa umethibitisha?

Hivi kitu huthibitishwa kwa kutumia nini ili kijulikane kipo?
 
Sasa hapo utakuwa umethibitisha?

Hivi kitu huthibitishwa kwa kutumia nini ili kijulikane kipo?
Ukishanipa hivyo vitu mimi naenda kivifanyia kazi kukuloga, naweza nikakuua kwa maslahi yangu binafsi, au nikakupa ugonjwa tuu ambao hautobiki hospital, kama upo tayr tukutane? WEWE SI HAUAMINI UCHAWI? KITU AMBACHO HAKIPO HAKIWEZI KUKUDHURU WEWE TUKUTANE
 
Uchawi upo.

Hoja ya kusema kwa kuwa hujaona uchawi kwenye mazingira yako basi uchawi hamna sio sahihi.

Watu wanarogana sana tu.
Watu wanaruka usiku na ungo.
Watu wanachukuliwa misukule.
Watu wanauliwa kimazingara.

Nenda Tanga kwa wazigua au Pemba na uibe kitu cha mtu.
Alaf uone matokeo.

Kama ni habar unazisikiaga tu basi Na nataman sana siku moja Kiranga uone dhahiri kwa macho yako au udhurike ww binafsi kwa uchawi.
Na useme sasa Tawile ili jambo hili litokee huko mbelen.
 
Kwanini mnataka tufanye mabaya ndio utu thibitishie kwanini msiutumie kwa manufaa, suala la uchawi ni ujinga tu ndugu
 
Kwanini mnataka tufanye mabaya ndio utu thibitishie kwanini msiutumie kwa manufaa, suala la uchawi ni ujinga tu ndugu

Nenda peleka kucha na nywele kwa comrade_kipepe .
Sio lazima ufanye ubaya.

Hata ukienda Pemba na utangaze kuwa hauamini uchawi na kama kuna mtu ana weza kukuloga akuloge.

Na uone matokeo.

Mnajua mnasemea tu hapa kwa kuwa hamjawah shuhudia.

Uchawi hata Biblia na Quran zimeandika.

Kuna uchaw mweupe na kuna uchawi mweusi.
Kuna watu wanautumia huo mweupe kwa maendeleo, kinga nk. Au unadhan Waganga wanatumia nn?
Ni uchawi huo huo ila kwa manufaa.

Mababu zetu waliweza kutumia jeshi la nyuki kupigana na wakoloni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom