Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,988
- 4,423
Je ninyi wachawi mna Mpango Gani kuhusu October 29
Maana hatujaona tamko lenu
Maana hatujaona tamko lenu
Mababu zetu wale walioishi miaka 150 na 200 iliyopita walidhani mambo mengi ni uchawi.Uchawi upo.
Hoja ya kusema kwa kuwa hujaona uchawi kwenye mazingira yako basi uchawi hamna sio sahihi.
Watu wanarogana sana tu.
Watu wanaruka usiku na ungo.
Watu wanachukuliwa misukule.
Watu wanauliwa kimazingara.
Nenda Tanga kwa wazigua au Pemba na uibe kitu cha mtu.
Alaf uone matokeo.
Kama ni habar unazisikiaga tu basi Na nataman sana siku moja Kiranga uone dhahiri kwa macho yako au udhurike ww binafsi kwa uchawi.
Na useme sasa Tawile ili jambo hili litokee huko mbelen.
Mkuu,Ujinga tu na Imani potofu.
My good brother Kiranga ametoa fursa ya $5M hamna mtu aliyejitokeza means what hivyo vingine ndio tutaamini??
Kwanini mababu zetu walifanywa watu, vibaraka, wa wakoloni je uchawi wao uliwasaidia nini kama sio ujinga tu
Ana stress za kukosa kazi masaa 24 utamkuta kule jukwaa la majobless kwanza Hana adabu nilimwambia HAITOKAA apate kazi sababu alimtukana matusi ya nguoni mshana ..Muoga balaa, nimemfuata pm nimemwambia siku ya kwenda kuchukua sampuli kanitukana balaa, halafu akija hapa anapiga kelele hakuna uchawi, wakati yeye mwenyewe anaogopa kulogwa
Mtu aanagopa kulogwa ndio ataenda kuandamana.?..mi nasema kizazi kama Cha gen z ya Kenya Bado hakijazaliwa Tanzania
Hakuna atakayekupa mkuu...hao wanaotukana kwanza unakuta humo ndani kwao kuna vibuyu vya kichawi...wengine Wana mahirizi Hadi kwenye mapumbu...Balaaa, halafu weng sana nimewafuata pm tukutane nichukue zaga wananikimbia, wengine wananitukana
We unaogopa nini kuja kuchukua hivyo vitu kiuchawi? Kwa nini nikuletee njoo uvichukue kiuchawi nimekuruhusu.Unapangia jinsi ya kufanya kazi?? Wewe kama kitu unaamini hakipo unaogopa nini ?
Kwahiyo nikifa nimekufa kwa ugonjwa au uchawi?Ukishanipa hivyo vitu mimi naenda kivifanyia kazi kukuloga, naweza nikakuua kwa maslahi yangu binafsi, au nikakupa ugonjwa tuu ambao hautobiki hospital, kama upo tayr tukutane? WEWE SI HAUAMINI UCHAWI? KITU AMBACHO HAKIPO HAKIWEZI KUKUDHURU WEWE TUKUTANE
Uamuzi wa namna ya kukuthibitishia niachie mimi ndio najua nitafanya nini, mbona tena kama unanipangia cha kufanya? Wewe ni kunipa nilivyoviomba halafu subiri, hazipiti week mbili utakuja mwenyewe hapa kusema uchawi upoKwahiyo nikifa nimekufa kwa ugonjwa au uchawi?
Jibu swali uchawi na ugonjwa kipi kinaua?Uamuzi wa namna ya kukuthibitishia niachie mimi ndio najua nitafanya nini, mbona tena kama unanipangia cha kufanya? Wewe ni kunipa nilivyoviomba halafu subiri, hazipiti week mbili utakuja mwenyewe hapa kusema uchawi upo
Hapa huwezi ona mtu tukisema hivi vitu havipo exist watu wanaona tunakosea ila ukijaribu kutumia logic kwenye haya masuala wachawi wa mchongo kina comrade_kipepe na wenzake huwaoni.Mkuu,
Sasa hivi kuna nyibgine ya $50 million ya kumkamata Nicolas Maduro rais wa Venezuela.
Wachawi wako wapi?
Mroge yule Bibi kesho aanguke jukwaani km kweli unaweza kurogaHUU UZI SIO KWA AJILI YA KUBISHANA, NJOO TUKUTANE TUFANYE KAZI, KAMA UPO MBALI USILETE UBISHANI WA KIJINGA
Inawezekana hakuna uchawi ila kipo kinachodhaniwa ni uchawi.Uchawi upo kwa wenye Imani potofu tu vinginevyo uchawi haupo
Shida ya watu wengi kufikiri uchawi ni issue ya kurogana tu.Kama uchawi ungekuwepo mngeanza kuwaroga CCM kwasababu kila mtu hawapendi lakini wanapeta.
Turogeeni Mchengerwa na Mwigulu kwa kuanzia then mmalizie na Mkenda.
Mimi nafikiri hata ugonjwa unaweza kuwa sababu tu ya kifo na si kwamba ugonjwa kama ugonjwa ndio unauwa, kwa sababu wapo wenye kupata magonjwa na wakapona hawakufa. Sasa uchawi nao unaweza kusababisha ugonjwa ambayo ugonjwa huo ukawa sababu ya kifo.Jibu swali uchawi na ugonjwa kipi kinaua?
Sio inawezekena, uchawi haupo hizo dhana ni upuuzi mtupuInawezekana hakuna uchawi ila kipo kinachodhaniwa ni uchawi.