Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Nenda peleka kucha na nywele kwa comrade_kipepe .
Sio lazima ufanye ubaya.

Hata ukienda Pemba na utangaze kuwa hauamini uchawi na kama kuna mtu ana weza kukuloga akuloge.

Na uone matokeo.

Mnajua mnasemea tu hapa kwa kuwa hamjawah shuhudia.

Uchawi hata Biblia na Quran zimeandika.

Kuna uchaw mweupe na kuna uchawi mweusi.
Kuna watu wanautumia huo mweupe kwa maendeleo, kinga nk. Au unadhan Waganga wanatumia nn?
Ni uchawi huo huo ila kwa manufaa.

Mababu zetu waliweza kutumia jeshi la nyuki kupigana na wakoloni.
Wanaongea sana, nikiwafuata PM tukutane wanipe sampuli za kufanyia huo utafiti wananitukana
 
Nenda peleka kucha na nywele kwa comrade_kipepe .
Sio lazima ufanye ubaya.

Hata ukienda Pemba na utangaze kuwa hauamini uchawi na kama kuna mtu ana weza kukuloga akuloge.

Na uone matokeo.

Mnajua mnasemea tu hapa kwa kuwa hamjawah shuhudia.

Uchawi hata Biblia na Quran zimeandika.

Kuna uchaw mweupe na kuna uchawi mweusi.
Kuna watu wanautumia huo mweupe kwa maendeleo, kinga nk. Au unadhan Waganga wanatumia nn?
Ni uchawi huo huo ila kwa manufaa.

Mababu zetu waliweza kutumia jeshi la nyuki kupigana na wakoloni.
Ujinga tu na Imani potofu.

My good brother Kiranga ametoa fursa ya $5M hamna mtu aliyejitokeza means what hivyo vingine ndio tutaamini??

Kwanini mababu zetu walifanywa watu, vibaraka, wa wakoloni je uchawi wao uliwasaidia nini kama sio ujinga tu
 
Nini kitatokea hujasema, sema nini kitafanyika tukitumie kama kipimo cha zoezi letu. Halafu mimi najitolea kukuletea vya kwangu. Ukitoa jibu uje jion leo karibu na Hotel ya Blue Saphie Vingunguti nikupatie
Eti nini kitatoke..ushaingia woga 😂😂😂 kama wewe dumbe la mbegu mwachie kucha, Shari, mavuzi yako, nywele..halafu endelea kunywa bia kwa raha zako
 
Acha uongo basi, kumbe unatafuta kiki nilijua una userious. Onesha hizo pm
1000171072.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom