Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,480
- 867,240
HUU UZI SIO KWA AJILI YA KUBISHANA, NJOO TUKUTANE TUFANYE KAZI, KAMA UPO MBALI USILETE UBISHANI WA KIJINGA
HUU UZI SIO KWA AJILI YA KUBISHANA, NJOO TUKUTANE TUFANYE KAZI, KAMA UPO MBALI USILETE UBISHANI WA KIJINGA
Tafuta nyembe zako then peleka kucha izo.Uchawi wako hauna nguvu hadi mkutane? Kama una nguvu ungepata hivyo vitu kishirikina. Hiyo tayari ni failure.
Mtu gani mwenye akili timamu akubali wembe na mkasi asiojua vimetoka wapi akubali vitumike kwake? Ningekwambia tumia akili ila ni dhahiri huna akili ndo maana unaamini huu uzwazwa.
🖕Usiandike tena chochote huu uzi haukuhusu KWA SASA, UTAKUHUSU SIKU UKIFIKA DAR
Tafuta nyembe zako then peleka kucha izo.
Sasa unadhuru vipi mtu ambae hauna shida nae.
Au unadhani na wachawi wanaroga tu yeyote.
Uchawi upo.
Unataka uboo?
Fuataaelekezo, njoo pmHamna akili.
Huo uchawi wenu hauna nguvu ya kupata nywele kishirikina hadi mletewe? Nonsense.
Hawafuati nilichowaambia wanaandika sana, sijui ndio uogaTafuta nyembe zako then peleka kucha izo.
Sasa unadhuru vipi mtu ambae hauna shida nae.
Au unadhani na wachawi wanaroga tu yeyote.
Uchawi upo.
Nataka waje pm hakuna hata mmoja aliekujaMtume Muhammad alirogwa na yesu alikua anafanya miujiza.
Sasa unapinga vipi kama uchawi hakuna.
Ukihitajika kweli zinapatikana tu, Na haibadilishi fact ya kwamba uchawi upo.Hamna akili.
Huo uchawi wenu hauna nguvu ya kupata nywele kishirikina hadi mletewe? Nonsense.
Uhalisia unajulikana na hata wao nina uhakika wana jua kwamba uchawi upo.Nataka waje pm hakuna hata mmoja aliekuja
Kikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.
Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)
Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.
AU NJOO TU HIVYOHIVYO UTAKANYA CHINI NIBEBE UNYAYO.
Naona watu mnabishana sana humu ndani.
Sitaki maneno mengi NIPO TAYARI KUTHIBITISHA UCHAWI UPO KWA WASIOAMINI.
#MO29
[/QUO
Kwanini usitumie uchawi kuvipata hivy vitu??
Peleka hapo kwenye transporter ya DON CARGO MBEYA mjini muulizie jamaa anaitwa AYUBU.Nipo Mbeya nitumieni nauli
Ukihitajika kweli zinapatikana tu, Na haibadilishi fact ya kwamba uchawi upo.
Kukubali uchawi upo haumaanishi kwamba wewe sio civilized hapana.
Dini zote zinakubali uchawi upo na una aswa ujilinde na uchawi kwa nguvu za mungu.
Pia mababu zetu walikua wanaamini kwamba kuna nguvu ipo kwenye mibuyu, Mapango nk.
Nunua wembe DUKANI njoo nao wewe, yani sasa inakuaje kitu ambacho hakipo unakipangia namna ya kufanya kaz?Uchawi wako hauna nguvu hadi mkutane? Kama una nguvu ungepata hivyo vitu kishirikina. Hiyo tayari ni failure.
Mtu gani mwenye akili timamu akubali wembe na mkasi asiojua vimetoka wapi akubali vitumike kwake? Ningekwambia tumia akili ila ni dhahiri huna akili ndo maana unaamini huu uzwazwa.
Sasa kama wewe mtekaji unakusanya DNA za watu tutajuaje?Kikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.
Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)
Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.
AU NJOO TU HIVYOHIVYO UTAKANYA CHINI NIBEBE UNYAYO.
Naona watu mnabishana sana humu ndani.
Sitaki maneno mengi NIPO TAYARI KUTHIBITISHA UCHAWI UPO KWA WASIOAMINI.
#MO29
NIlitaka nishangae, wewe lazima ujue kua uchawi upo maana CCM ndio wengi wanapata ubunge Kwa kulogaKama kuna mkristo au muislamu anasema uchaw haupo huyo ni taahira pro max hajui anachoamini ni nini