Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Jibu swali sasa hapo ndio umejibu?

Unaleta blah blah unashindwa kuthibitisha kitu unachosema kipo wakati hakipo

Ww hadi upepo unasema hauko.
Kwamba tuthibitishe. 😁😁😁😁.

Sasa unafikiri kuna kitu naweza nikasema ukanielewa?.
 
Kikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.

Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)

Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.

AU NJOO TU HIVYOHIVYO UTAKANYAGA CHINI NIBEBE UNYAYO.

Naona watu mnabishana sana humu ndani.

Sitaki maneno mengi NIPO TAYARI KUTHIBITISHA UCHAWI UPO KWA WASIOAMINI.

#MO29



SHEYTWANI AMEINGIA KATIKA DUKA LA DHAHABU CCTV KAMERA IMEMUONA
 

Who is the Torenza Passport woman and why is the JFK Airport video going viral? Explained.​

A viral video showing a woman at JFK presenting a passport from the nonexistent country ‘Torenza’ has sparked theories of AI-generated misinformation.​

A bizarre video from John F Kennedy International Airport has taken the internet by storm, showing a woman confidently presenting a passport from ‘Torenza’, a country that doesn't exist on any map or official record. The clip, which surfaced earlier this week, and has racked up millions of views on TikTok and Instagram, depicts the traveler arriving from Tokyo and calmly explaining Torenza's location in the Caucasus region during a stunned immigration interview.

1761681097587.png


Video ya ajabu kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa John F Kennedy imevutia mtandao kwa shangwe, ikimwonyesha mwanamke akiwasilisha pasipoti kutoka ‘Torenza’ kwa ujasiri, nchi ambayo haipo kwenye ramani yoyote au rekodi rasmi. Kipande hicho, ambacho kilionekana mapema wiki hii, na kimekusanya mamilioni ya watazamaji kwenye TikTok na Instagram, kinaonyesha msafiri akiwasili kutoka Tokyo na kuelezea kwa utulivu eneo la Torenza katika eneo la Caucasus wakati wa mahojiano ya uhamiaji yaliyoshangaza.
 
Sasa asilimia kubwa ya watu wanaobisha hakuna uchawi ni kutokana na mazingira yao waliyokulia hawajawahi kupatwa na majanga mazito na yakakosa solution yake.
Sasa hayo uliyoyashuhudia wewe ni machache sana yako maajabu mengi sana utakutana nayo ukitembea vijijini ndanindani huko hasahasa maeneo ya usukumani na baadhi ya mikoa ya pwani.
Ndugu acha tu...uchawi upo anae bisha atoe sample jamaa amfanyie.

Maarifa ampe hitaji la moyo wake...maana kusikia kwa kenge mpaka pua itoke damu
 
Mimi ni Faustine Jackson Mafwele, nimezaliwa 1978, nina miaka 47
Haya niroge sasa nikuweke kwenye listi ya kuwindwa....

 
Jibu swali sasa hapo ndio umejibu?

Unaleta blah blah unashindwa kuthibitisha kitu unachosema kipo wakati hakipo
Sasa nitajibu mara ngapi maana kila nikijibu baadaye unarudia tena swali hilo hilo ndio maana nakuuliza una umri gani sababu naona umekuwa mzito kuelewa kitu cha kawaida kabisa.
 
Wangekuwa wamesoma sana basi wangetuelimisha kwa elimu waliyonayo.
Eti wanasayansi! Hawataki theory wanataka proof! Mtu umezaliwa kila kitu umekikuta, ulichoanza kujifunza kabla ya vingine unataka tukiamini kama wewe, kila kitu umekikuta hivyo wote tunajifunza au tunaelimishana!

We learn and unlearn things bwana!
 
Sasa nitajibu mara ngapi maana kila nikijibu baadaye unarudia tena swali hilo hilo ndio maana nakuuliza una umri gani sababu naona umekuwa mzito kuelewa kitu cha kawaida kabisa.
Toka tunaanza ushasema huwezi kuthibitisha uchawi ila washindwa kukubali kuwa haupo sasa kitu kitakuwepoje bila uthibitisho wa kuwepo kwake

Kama uchawi upo thibitisha tufunge mjadala
 
Eti wanasayansi! Hawataki theory wanataka proof! Mtu umezaliwa kila kitu umekikuta, ulichoanza kujifunza kabla ya vingine unataka tukiamini kama wewe, kila kitu umekikuta hivyo wote tunajifunza au tunaelimishana!

We learn and unlearn things bwana!
Shida yenyewe hiyo sayansi hawaijui ni mashabiki tu, yani mtu uelewa wake ni kwamba hakuna uchawi kisa tu hakuna uthibitisho wa kisayansi haelewi kwamba sayansi ina mipaka yake kutokana na misingi yake ndio maana kuna mambo mengi tu ambayo zamani yalipingwa ila baadaye yakaja kukubalika kwa ushahidi wa kisayansi baada ya kupatikana teknolojia ya kuweza kuyathibitisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom