Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Mpaka utakapokubali uchawi upo ndio utakapochomoka kwenye hiyo shida, MPAKA UKUBALI. WEWE MANENO YANINI??? NJOO PM KAMA UPO DAR TUKUTANE NICHUKUE VITENDEA KAZI, MAMBO YA RAILA YANATOKA WAPI? UNAOGOPA NINI UTAKUFA NA HAUAMINI UCHAWI?
Mpaka nije kwako ili uthibitishe it means sina uhakika, na sababu ninajali muda (time management) kupoteza muda kwa hii project ni matumizi mabaya ya rasilimali muda...

Wewe tumia ujuzi wako kuloga maadui zetu watatu (umasikini, Ujinga na maradhi) na sio kuongeza Maadui kwa kupalilia Ujinga
 
Unataka umwone mtu kisha umdhuru physically kisha useme tayari uchawi umefanya kazi.
Nimejitolea mie uniroge . Tumia uchawi wako kukusanya sample zako. Otherwise ni utapeli tu.
🤣🤣🤣🤣 UOGA WAKO UMEZIDI, NJOO TUKUTANIE KITUO CHA POLISI AU NJOO HATA NA WENZAKO WENGI KWA USALAMA, AU NJOO TUKUTANIE KWENYE KITUO CHA MWENDOKASI KUNA WATU WENGI USALAMA UPO, UCHAWI HAUKUTOI DAMU MZEE, UNABAKI KAMA ULIVYO LAKINI MAJIBU UTAYAPATA
 
mchwi ni kama team yenye mshambuliaji kiungo na beki mi nataka tuingie batle nakupa ivyo vitu unavyotaka wewe alafu nakupa siku moja kuthibitisha ukichemka kuniroga wewe unanipa vyako kama nilivyokupa mimi alafu tuone mimi naeamini uchawi hakuna bali ni sanaa ya gizani tu na ww unaeamini ulozi nani atakaelima shamba la yanga kule kigamboni. itakuwa vizuri kweye makabidhiano awepo mzee mwenzangu Mshana Jr
 
Mpaka nije kwako ili uthibitishe it means sina uhakika, na sababu ninajali muda (time management) kupoteza muda kwa hii project ni matumizi mabaya ya rasilimali muda...

Wewe tumia ujuzi wako kuloga maadui zetu watatu (umasikini, Ujinga na maradhi) na sio kuongeza Maadui kwa kupalilia Ujinga
Huji kwangu, tunakutania mahali au niambie wewe ulipo kama ni dar NAKUFUATA MIMI, kukata kucha, Nywele na kunipa JINA LAKO na LA MAMAYAKO MZAZI, haichukui HATA DAKIKA 5.
 
WEWE SI UNAMINI HAKUNA UCHAWI???

SASA MBONA UNANIPA DEADLINE ( UNAJUA UCHAWI UNAFANYAJE KAZI)

WEWE NIPE HIVYO VITU HALAFU SUBIRI, USIWE NA SHAKA NA KITU AMBACHO HAKIPO, YANI USIJALI🤣, KITU AMBACHO HAKIPO NAWEZA KUONDOKA NA HIVYO VITU NIKAKAA NAVYO HATA MWAKA MZIMA NA USIDHURIKE, MBONA UNANIPANGIA NAMNA YA KUKUTHIBITISHIA??
mchwi ni kama team yenye mshambuliaji kiungo na beki mi nataka tuingie batle nakupa ivyo vitu unavyotaka wewe alafu nakupa siku moja kuthibitisha ukichemka kuniroga wewe unanipa vyako kama nilivyokupa mimi alafu tuone mimi naeamini uchawi hakuna bali ni sanaa ya gizani tu na ww unaeamini ulozi nani atakaelima shamba l yanga kule kigamboni.
 
WEWE SI UNAMINI HAKUNA UCHAWI???

SASA MBONA UNANIPA DEADLINE ( UNAJUA UCHAWI UNAFANYAJE KAZI)

WEWE NIPE HIVYO VITU HALAFU SUBIRI, USIWE NA SHAKA NA KITU AMBACHO HAKIPO, YANI USIJALI🤣, KITU AMBACHO HAKIPO NAWEZA KUONDOKA NA HIVYO VITU NIKAKAA NAVYO HATA MWAKA MZIMA NA USIDHURIKE, MBONA UNANIPANGIA NAMNA YA KUKUTHIBITISHIA??
uo uchawi kama unaufanya wewe siku moja inatosha kabisa kufanya kaz labda kama unataka kumpelekea babu yako huko kwenu namanyele wewe kama huwezi siku moja nipe vitu vyako mkuu siku moja tu uone sanaa inavyokulimisha shamba la mkaratusi makambako.
 
1000171070.jpg

Ndio maana hata CCM wanatuburuza tuu, HATUPO SERIOUS NA MAMBO.

Mbaga Jr

Pm hujaiona.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom