Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Kikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.

Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)

Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.

AU NJOO TU HIVYOHIVYO UTAKANYA CHINI NIBEBE UNYAYO.

Naona watu mnabishana sana humu ndani.

Sitaki maneno mengi NIPO TAYARI KUTHIBITISHA UCHAWI UPO KWA WASIOAMINI.

#MO29
Kama uchawi fanyeni manuva sa100 asigombee Urais
 
Sasa kama wewe mtekaji unakusanya DNA za watu tutajuaje?

Kama una uchawi kweli utume hapa JF.

Ukishapata DNA ya mtu hiyo ni biology na chemistry tena, si uchawi.
Sasa wewe hauamini kitu kua kipo, HALAFU UNAKIPANGIA NAMNA YA KUFANYA KAZI KWA NAMNA YA DNA, BASI TUKUTANE UKANYAGE CHINI MIMI NITACHUKUA UNYAYO TUU, UTANIPA NA JINA LAKO NA LA MAMAYAKO MZAZI NA PICHA YAKO, HAPO VIPI?
 
Mkuu,

Mimi sikutani na watu kijingajinga.

Kwanza tutakutana wapi mimi nipo New York City wewe uko wapi sijui Tanzania huko?

Yani unataka nivunje kazi zangu nije kukutana na wewe ili uthibitishe uchawi?

Kama wewe mtekaji unataka kuteka watu je?

Tuma uchawi wako hapa kama huwezi sihitaji unithibitishie lolote.
 
Kikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.

Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)

Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.

AU NJOO TU HIVYOHIVYO UTAKANYA CHINI NIBEBE UNYAYO.

Naona watu mnabishana sana humu ndani.

Sitaki maneno mengi NIPO TAYARI KUTHIBITISHA UCHAWI UPO KWA WASIOAMINI.

#MO29
Niloge hapa hapa kwa kutumia maandishi yangu na username
 
Upumbavu mtupu. Hakuna uchawi.
wasukumu ndio wenye competition na watu kutoka Sumbawanga halafu leo unawakaa ndugu zako, da 🙂 mwambie mtoa mada atoe maelezo yaliyinyooka ili watu wafuate muongozo wa nini anacho taka kufanya...
 
Mkuu,

Mimi sikutani na watu kijingajinga.

Kwanza tutakutana wapi mimi nipo New York City wewe uko wapi sijui Tanzania huko?

Yani unataka nivunje kazi zangu nije kukutana na wewe ili uthibitishe uchawi?

Kama wewe mtekaji unataka kuteka watu je?

Tuma uchawi wako hapa kama huwezi sihitaji unithibitishie lolote.
Tulia sasa, usiandike tena kitu, subiri wenye fikra kamazako walio bongo watakuwakilisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom