Mnaopanga kuandamana tena

Kabla ya hayo maandamao mnapigwa lockdown. Fanya utaratibu kakope kwa mangi. Kukiwasha au kukinukisha hili halikwepeki.
Haiwezekani wauwe ndugu watupotezee.
Kila mtu kajeruhiwa awali..na Kila mtu anawish yasitokee Tena Yale mauwaji. Mimi sitamani wadogo zangu
 
Kushauri akili changa ni kazi sana.sitamani yatokee Yale ya wali
 
Kweli kabisa tunapita pagumu kama taifa na mtu mmoja mmoja , kuna wengine mpaka kurudi kawaida si leo wala kesho ! Bado hakuja pambazuka vizuri wanataka kuliamsha tena?
 
Unajidanganya sana chawa watu watakuwa wengi zaidi na walivyokua mwanzo endeleeni kushupaza shingo
 
Siku hizi kumbe dola laki 3 = na milioni 700 za kitanzania??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…