MMU hot talk

MMU hot talk

angelita as per your say.....ulifanya sex ukiwa 17, ni nini hasa kilikushawishi ama kukupelekea ukafanya hivo? And if you don't mind....share with us atleast a little bit kwa kile unachokikumbuka, siku hiyo ilikuwaje mpaka ukajikuta uko kwa bed? (The story behind the scene)

Na huyo mtu uliyeanza nae alikuwa ni mkubwa au ni rika lako? How conscious were you?

Na alitokewa na mwenyewe au alikuwadiwa?
 
Last edited by a moderator:
mke wa pili ni sunna. assume ww ndio mke mkubwa je ungeridhila kuolewa mke mwenzako?

Dini yake inaruhusu ndomana mkewe ameridhia ni kutokuwa tayari..
Kama dini inaruhusu naridhia.
 
Namfahamu na bahati nzuri anatambua uwepo wangu mana nimwaka wa3 sasa niko na mumewe. Nakwakuwa dini yao inaruhusu mke zaidi ya 1 alitoa ruksa mumewe kuhalalisha ila mimi sipo tayari. Kama mwanamke najisikia vibaya ila ndio ishatokea.

Heshima yake kwa mkewe haijashuka, anamuheshimu kama mwanzo, ikiwa pamoja na matunzo tena wanapata mara3 zaidi ya nipatacho Mimi.

This is very interesting

I can imagine the look on his face the day u will get married to someone else.
 
Huyu mume wa Mtu tulivyoanza sikujua kama ana mke alikuja kuniambia katikati.
Niliumia roho kiasi chake lakini nikaangalia mazuri aliyonitendea imenibidi niendelee naye life is not fair.

Je mshajijua mupo wangapi maana unaruhusutandao.

na baada ya kugundua ana mke kwa nn usiachane nae? inaelekea upo after money (utani) na jamaa anazo ndio mana umeng'ang'ania
 
Huoni ukikubali kuwa mke wa pili utainjoy na kupata haki sawa na bi mkubwa na pia utakuwa umehalalisha hata mbele ya mungu na kumpunguzia hukumu ya kufanya zinaa huyo mume wa mtu.au humuogopi mungu mwenzetu
 
Mmmmmh mkuu hapa hapana, wanaume sivyo tulivyo. utaukua ukweli akiongeza mke wa tatu.

Haahaaaaaaa! We hujamuelewa dogo, yeye hapo yupo kimaslahi! Anazuga zuga ile aboreshewe maisha. Si umesikia yupo early 20s probably 21 or 22 even 23 yupo chuo, hana hasaraaaa! Mambo yake yakikaa level anakisanua watajuana mtu mzima na mkewe. Mjini hapaaa!

Hayupo kifuture au kutaka apigwe pini la ndoa aaaaah! Ye shalo tinna tinna tu. Mzee anahudumia kina Grafani11 wanapewa promotion huku na invitation to treaty anytime any day! Hahahaaaa! MJINI MIPANGO!
 
This is very interesting

I can imagine the look on his face the day u will get married to someone else.

Hahahaaaaaaa! SUCH IS LIFE! Seriously Mzee mzima nae anajua tu kuwa possibility ya kukimiwa ni kubwa sanaaa rohoni. Sema anapata hasara gani, wakati ashachachua damu kwa damu changa? Kutaka kuoa sasa hio tamaa!
 
Haahaaaaaaa! We hujamuelewa dogo, yeye hapo yupo kimaslahi! Anazuga zuga ile aboreshewe maisha. Si umesikia yupo early 20s probably 21 or 22 even 23 yupo chuo, hana hasaraaaa! Mambo yake yakikaa level anakisanua watajuana mtu mzima na mkewe. Mjini hapaaa!

Hayupo kifuture au kutaka apigwe pini la ndoa aaaaah! Ye shalo tinna tinna tu. Mzee anahudumia kina Grafani11 wanapewa promotion huku na invitation to treaty anytime any day! Hahahaaaa! MJINI MIPANGO!

Anataka aambiwe direct Badala ya Kusoma kwa picha

But This is a future disaster

Mzee wa Watu kama hana contingency plan mbona atakula na wa kwao.

Watakuja kumpiga albadili huyu bibie aisee
 
Nikurekebishe dini inaruhusu ktk kuoa lkn sio ktk kuzini

True! Na mimi nilikuwa namjibu T bag swali lake kuwa je bi mkubwa atakubali shosti aolewe mke wa pili? Ndo nikamjibu hivo asikubali vipi sasa wakati dini imeruhusu?
 
angelita as per your say.....ulifanya sex ukiwa 17, ni nini hasa kilikushawishi ama kukupelekea ukafanya hivo? And if you don't mind....share with us atleast a little bit kwa kile unachokikumbuka, siku hiyo ilikuwaje mpaka ukajikuta uko kwa bed? (The story behind the scene)

Na huyo mtu uliyeanza alikuwa ni mkubwa au ni rika lako? How conscious were you?

Nikijana wa kiarabu ambaya tulikuwa tunakaa mtaa1, tulikuwa tunakutana kila siku asubuhi tulivyokuwa tunaenda shule yeye akiwa form5 wakati Mimi Niko form4 shule zetu zilikuwa zimepakana. Tukazoeana tukapendana haswa, siku hiyo nilimtembelea kwao hisia zikatuzidia, ila sikujuta wala sijutii alikuwa mtu sahihi kutunukiwa zawadi ile adimu. Uhusiano wetu ulivunjwa na mama yangu baada ya kuzifuma picha, kadi na maua niliyokuwa nimeficha chini ya godoro.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaa! SUCH IS LIFE! Seriously Mzee mzima nae anajua tu kuwa possibility ya kukimiwa ni kubwa sanaaa rohoni. Sema anapata hasara gani, wakati ashachachua damu kwa damu changa? Kutaka kuoa sasa hio tamaa!

Tatizo mzee kachonga mzinga na bibie anaonyesha ushirikiano kiasi kwamba possibly mzee anahisi ipo siku Shule ikiisha atakaa kibra na kukubali kuwa mke wa pili.

Sidhani kama bibie kaweka pande zote za karata mezani ili mzee ajue kuwa it's just for fun and it will never go beyond that
 
Anataka aambiwe direct Badala ya Kusoma kwa picha

But This is a future disaster

Mzee wa Watu kama hana contingency plan mbona atakula na wa kwao.

Watakuja kumpiga albadili huyu bibie aisee

Sijui ni yule aliyekuwa anacheza ndombolo pale mjengoni lol . masikini mzee wa watu!!!
 
Anataka aambiwe direct Badala ya Kusoma kwa picha

But This is a future disaster

Mzee wa Watu kama hana contingency plan mbona atakula na wa kwao.

Watakuja kumpiga albadili huyu bibie aisee

Vizee kama hivi kuvikatia tella mbona easy tu! Unavifrustrate mpaka kuachana inakuwa idea yake mzee sasa, tena unajifanya inakuuma kuachwa kumbe MJINI MIPANGO!

Dawa yao mkilala unachat tu usiku mzima, akikwambia nakuja unatoka, unaomba hela kwa fujooo, kanakukatia mawasiliano chenyeweeeee!
 
Je mshajijua mupo wangapi maana unaruhusutandao.

na baada ya kugundua ana mke kwa nn usiachane nae? inaelekea upo after money (utani) na jamaa anazo ndio mana umeng'ang'ania

Mkuu maji ushayavulia nguo lazima uyaoge.
Hahahahaaaaaa inaweza kuwa sababu pia.
 
Vizee kama hivi kuvikatia tella mbona easy tu! Unavifrustrate mpaka kuachana inakuwa idea yake mzee sasa, tena unajifanya inakuuma kuachwa kumbe MJINI MIPANGO!

Dawa yao mkilala unachat tu usiku mzima, akikwambia nakuja unatoka, unaomba hela kwa fujooo, kanakukatia mawasiliano chenyeweeeee!

angelita chukua formula hiyo
 
Hahahahaaaa I have never doubted ur strategies in this arena.
 
Nikijana wa kiarabu ambaya tulikuwa tunakaa mtaa1, tulikuwa tunakutana kila siku asubuhi tulivyokuwa tunaenda shule yeye akiwa form5 wakati Mimi Niko form4 shule zetu zilikuwa zimepakana. Tukazoeana tukapendana haswa, siku hiyo nilimtembelea kwao hisia zikatuzidia, ila sikujuta wala sijutii alikuwa mtu sahihi kutunukiwa zawadi ile adimu. Uhusiano wetu ulivunjwa na mama yangu baada ya kuzifuma picha, kadi nam maua niliyokuwa nimeficha chini ya godoro.
mh kwa hiyo huyo mwarabu ndio aliyekuwa ni wa kwanza kufungua mlango na ilkuwaje mkajikuta mpo kwa bed au alikuwa mzuka kwa ninavyojua mlidhamiria haswa mpaka mkaenda huko kwa bed hebu tujuze vizuri bwana
 
Back
Top Bottom