Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
GIRL YOU IS BAD!!!!!!!!!!!!! Okay kumbe bado hatujaruhusiwa! Excuse mwaaaaaaah!
Kama nakuona kidole kilivyokaa tayari tayari.Hebu subiria kwanza kabla sijakuandika noise maker
GIRL YOU IS BAD!!!!!!!!!!!!! Okay kumbe bado hatujaruhusiwa! Excuse mwaaaaaaah!
Qn 12. Humu JF who do you have the
hotties for? A name please! Why?
Hypothetically speaking who will you
have a one night stand with, tuachane
na mjadala wa character yake, just the
nasties! Walau Top 3
network inasumbua sana huku mpitimbi
........Upo Wilaya ya Masasi?
hahahhah lol so competition ilivyoongezeka nawe ukabadili uelekeo huyo grafani11 ana nini cha ziada acha iwe my homework Qn 13. We uko Team Gani humu?
Hahaaaa! Kidding! Unaamini
mahusiano ya JF? Nini mtazamo
Sio nimewahi ninatoka nae hata sasa na nafurahia kuwa nae, hanigandi, ananithamini napata vyote nitakavyo, ananipenda na anapenda kuwa na mimi yaani tunapendana bahati mbaya ameshaoa.
Naregret kwanini hakuniona Mimi kabla ili tuenjoy life kwa Uhuru life can be unfair wakati mwingine.
(Anayejiona mtakatifu ndo anirushie jiwe, usinihukumu kwasababu tu tunatenda dhambi kitofauti, dhambi ni dhambi tu)
Zamani nilikuwa namuhusudu watu8 (nilishamuona live msiniulize wapi) badaye dushe lake likawa over rated kila mtu humu ndani watu8 appetite ikaisha.
Sasa hivi kuna kitu kinaitwa grafani11 naona lara 1 anamshobokea nimeshituka kuna ulaji hapa na mimi nabanana hapo hapo, kwanza yuko na Matola wote awashike yeye nani????
grafani11 wakati na siku yeyote just holla......!
Qn 12. Humu JF who do you have the
hotties for? A name please! Why?
Hypothetically speaking who will you
have a one night stand with, tuachane
na mjadala wa character yake, just the
nasties! Walau Top 3
mkuu lugha hii
mkuu lugha hii
Mbona maswali yanzidi kuwa marahisi...aulizwe kama anatumia 0713 basi
Qn 14. Nini siri yako kubwa ya
mafaniko katika relationship zako?
Unawashauri nini wadada wa humu
labda.
behave...........
To hell
Aaanzishe interview zake za ki CAMROON awalike wageni zake mabasha afu ndo awaulize maswali kama hayo WATAMJIBU KWA VITENDO!swali la Nokia83 lijibiwe