MMU hot talk

MMU hot talk

Zamani nilikuwa namuhusudu watu8 (nilishamuona live msiniulize wapi) badaye dushe lake likawa over rated kila mtu humu ndani watu8 appetite ikaisha.

Sasa hivi kuna kitu kinaitwa grafani11 naona lara 1 anamshobokea nimeshituka kuna ulaji hapa na mimi nabanana hapo hapo, kwanza yuko na Matola wote awashike yeye nani????
grafani11 wakati na siku yeyote just holla......!
Mamito usihofu lara 1 ni dada yangu tu...
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa!

Sipendi kabisa watu wanaojifanya wanajua watu wakati hawajui chohcote.

Ila mimi nakujua komredi. Lazima tulishagongana kwenye UDA au kuchungulia Sikinde wakipiga pale SILENT INN Mwenge. Hatujawahi gongana NEW CHOX cinema au kwenye CHAI MAHARAGE?

Hahahaha acha nami nijifanye najua watu bhana inaweza ninenepeshea CV yangu hapa JF intelijensi.
 
Kumbe tulikuwa tunaonana pool side na seven floor? Bila kusahau kwa King ki na Kamanyola bila jasho na yale mambo yetu ya Kim & boys kwenye Yo rap bonanza.
 
Hahahahah aisee we mtu umenikumbusha mbali sana. Pool side ilikuwa balaa... dah!!
 
Pale bwana James Dandu ndio ametoka Sweden alikuwa na show yake na enzi zile sekta ya kunyuka pamba ilikuwa ni adimu sana na sijui Watanzania walikuwa hawaruhusiwi kwenda China, Thailand, Singapore kuleta pamba?

Kwakweli huyu jamaa alitunyuka kisawasawa na pamba zake za mtoni mpaka kina Deo mshigeni na kile kidemu kilikuwa co host mwenzanke Itv mimacho iliwatoka kama mjusi na kademu kakaanza kujirahisisha kwa James Dandu.

I see we are veterans now!
 
Kwani Junior pamoja na kusubiri kote si bado una nanihii na kina nanihii huko wakati ukisubiri wako aachike ndo uweke ndani?
Embu tueleze record yako kwenye haya makitu! Uliandika barua ngapi ukiwa shule ya msingi(kama umezaliwa wakati wa smart phone sijibu nitakuuliza lingine)

kuninii ni lazima lakini nazingatia sana age-mate wangu, siwez toka na watu nnaowazido sana au walionizid kupitiliza.... sa at last utapokuja kuoa mtu ambaye kishachezea madushe ya wazee kipindi hicho hilo ni balaa lingine!!! yani bora uvurugwe na vijana wenzio lakino sio hawa wababa tena wenye ndoa.... kama sa hizi tu unatoka na mme wa mtu huko badae si ndo utafanya mengi machafu
 
aliokuzidi au uliomzidi sana ni age difference gani??? 2/3 or hata 10yrs?
 
Pale bwana James Dandu ndio ametoka Sweden alikuwa na show yake na enzi zile sekta ya kunyuka pamba ilikuwa ni adimu sana na sijui Watanzania walikuwa hawaruhusiwi kwenda China, Thailand, Singapore kuleta pamba?

Kwakweli huyu jamaa alitunyuka kisawasawa na pamba zake za mtoni mpaka kina Deo mshigeni na kile kidemu kilikuwa co host mwenzanke Itv mimacho iliwatoka kama mjusi na kademu kakaanza kujirahisisha kwa James Dandu.

I see we are veterans now!

Hahahah mtoto wa dandu alitutesa mbaya. demu wa Deo nakumbuka alikuwa Flora Nducha. Deo alikuwa jirani yangu nwenge.... wakati anapata kazi radio Tumaini mtaani mabinti walikuwa wanamshobokea mbaya. Alivohamia Radio One enzi hizo na kina Mike Mhagama na Sunday Shomari pale Maryland Bar
Mwenge wakiagiza kinywaji wanajikut washalipiwa!!

Kifo cha Dandu kilistua watu... nadhani kilipata coverage kama cha Kanumba.

Siku hizi madogi wanatunyukabna Fiesta zao.
 
Nadhani Deo mshigeni nimemchanganya na Sunday Shomari, kuna demu alikuwa co-host na Sunday Shomari ndio nimemsahau jina wakati ule anajishauwa na vidog style zake zenye opp.

Nadhani mzee mwenzangu unaikumbuka hii style ya opp.
 
kama amenizidi basi isizidi mitatu...
kama mi kumzidi ni chini ya 8 au 9... zaidi ya hapo kidogo ni exceptional!!!

we bado kijana.....subiri ufike umri wangu ndio utajua kumzidi mtu zaidi ya 10 sio ajabu.
 
Nadhani Deo mshigeni nimemchanganya na Sunday Shomari, kuna demu alikuwa co-host na Sunday Shomari ndio nimemsahau jina wakati ule anajishauwa na vidog style zake zenye opp.

Nadhani mzee mwenzangu unaikumbuka hii style ya opp.

Yeah atakuwa Sunday Shomari.

Hahahah enzi za OPP wacha kabisa. mjini palikuwa hapatoshi. watangazaji ndo walikuwa macelebrity bongo. Enzi hizo TV tunaenda kuangalia chuo cha posta kijitonyama. TV nakumbuka ilianza CTN kabla ya ITV.
 
haya unayoyazungumza yananifanya na mimi nigundue kumbe babu kama wewe!!!
 
Yeah atakuwa Sunday Shomari.

Hahahah enzi za OPP wacha kabisa. mjini palikuwa hapatoshi. watangazaji ndo walikuwa macelebrity bongo. Enzi hizo TV tunaenda kuangalia chuo cha posta kijitonyama. TV nakumbuka ilianza CTN kabla ya ITV.

Mimi mshuwa alianza ubepari kitambo tu, Tv nyumbani ilikuwepo ila station ilikuwa ni Tv Zanzibar peke yake Tanganyika hatukuwa hata na kituo kimoja, kwahiyo home kulikuwa kumejaa Library ya mikanda ya vhs kibao.

Sheikh Yahya naye hakuwa nyuma alijizolea ujiko kwa wapenzi wa kuangalia mpira.
 
Back
Top Bottom