Mimi mshuwa alianza ubepari kitambo tu, Tv nyumbani ilikuwepo ila station ilikuwa ni Tv Zanzibar peke yake Tanganyika hatukuwa hata na kituo kimoja, kwahiyo home kulikuwa kumejaa Library ya mikanda ya vhs kibao.
Sheikh Yahya naye hakuwa nyuma alijizolea ujiko kwa wapenzi wa kuangalia mpira.
haya unayoyazungumza yananifanya na mimi nigundue kumbe babu kama wewe!!!
hahaaaaa!!!hamna bwana
binafsi nimemkubali NYUMBA KUBWA jina linasadifu yaliyomo
ameonyesha dhahiri msimamo wake bila kuyumbayumba
Hahahahah sisi TV kwa mara ya kwanza ilitinga home mwaka 1994. ilikuwa inch 14 black and white. kwa mbele tulikuwa tunaweka kioo cha rangi ili tufaidi tofauti ya rangi!!!
Hahahahha nakumbuka wkt ITV ndo wanaanza tangazo pendwa lilikuwa SALAMA CONDOM CHAGUO LA KISASA.
Ila mimi nakujua komredi. Lazima tulishagongana kwenye UDA au kuchungulia Sikinde wakipiga pale SILENT INN Mwenge. Hatujawahi gongana NEW CHOX cinema au kwenye CHAI MAHARAGE?
Hahahaha acha nami nijifanye najua watu bhana inaweza ninenepeshea CV yangu hapa JF intelijensi.
Yeah inawezekana.... kina Romario na crying baby Bebeto. Ile Brazil ilikuwa mwisho wa maarifa. AFCON nawakumbuka enzi hizo kina Roger Mila, Kunde, Makanaky.... et elNadhani World Cup iliyofanyika Marekani mwaka 1994 ilimfanya mshuwa wako kunuwa tv ambapo tournament ile Romario na Bebeto wa Brazil walishine vilivyo bila kumsahau Robert Bagio.
Je tamthilia ya Tausi ya kina Mzee Mombasa mliiwahi au mlikutia vituko vya Masakuu na Otorong'ongo tu?
Hapo zamani mambo yalikuwa poa kinyume kabisa na sasa.
Nadhani World Cup iliyofanyika Marekani mwaka 1994 ilimfanya mshuwa wako kunuwa tv ambapo tournament ile Romario na Bebeto wa Brazil walishine vilivyo bila kumsahau Robert Bagio.
Yeah inawezekana.... kina Romario na crying baby Bebeto. Ile Brazil ilikuwa mwisho wa maarifa. AFCON nawakumbuka enzi hizo kina Roger Mila, Kunde, Makanaky.... et el
Kudadadeki. Tausi ndege wanguuuu.... hii makitu ilichangia sana mimi kuwahi kurudi home. jamaa walikuwa creative. mpaka sasa sijaona tamthilia iliyofikia level hiyo. Hata kina Bishanga walijitahidi sana enzi hizo.
Kuna nyingine ilikuwa inaitwa Egoli ya Sauzi wacha kabisa. sio huu uchafu usioisha wa Isidingo.
Komredi hata mi nahisi nakujua sana wewe:usa2:!
Ila kuhusu Silent Inn umenikumbusha mbali sana aisee. Nakumbuka ilipofunguliwa ile mwaka 1983 nilikuwa napenda sana kwenda kula pilau pale. Halafu Jumamosi na Jumapili nilikuwa naenda kuangalia ngoma za Muungano Cultural Troupe na ile mijoka yao.
Fast forward mwaka 1987 nikaanza kazi ya ubaunsa hapo hapo Silent (kitaani tulikuwa tunaiita Sailentini). Mwaka huo huo wakaja Tabu Ley na Mbilia Bel wakapiga bonge moja la show hapo na mi ndo nilikuwa kama head baunsa.
Fast Forward miaka kumi baadaye (1997), akaja tajiri mmoja wa Kihaya (jina nimemsahau) akapanunua (kama sikosei) halafu akapafanyia bonge moja la ukarabati na baadaye ndo ile bendi ya Diamond Sound ikaanza kupiga muziki pale. Ila wakati huu nilikuwa nishakuja kubeba maboksi baada ya kuona ubaunsa haulipi bongo. Lakini kila niliporudi likizo Silent ndo kilikuwa kiwanja changu.
Kuhusu New Chox pale, mi nahisi lazima tuliwahi kugongana hapo hususan kwenye moja ya zile movie za Emanuelle. Unazikumbuka hizo Komredi? Enzi hizo matangazo ya movie yanawekwa magazetini na mimi nilikuwa napenda sana movie za X. Na kwa jinsi wewe Komredi unavyopenda kuwakagua mabinti humu basi sina shaka lolote kabisa kuwa tumewahi kugongana hapo New Chox, Avalon, Empire, Empress, na hata Drive-In pale.
Halafu Chai Maharage nimezipanda sana mimi. Ruti la Mwenge-Ubungo zilikuwa kibao tu. Kuna wakati fulani hivi nilikuwa napenda sana kwenda kupata supu ya utumbo kwenye ule mgahawa wa Tarakea (pale Mwenge barabara ya Sam Nujoma karibu na yale maduka ya vifaa vya ujenzi). Huu mgahawa mpaka leo bado upo aisee na juzi juzi tu hapa nilienda nikapata mbuzi katoliki hapo. Kuna shori mmoja hivi anaitwa Manka nilikuwa namfukuziaga kipindi fulani.
Komredi leo umenikumbusha mbali sana aisee. Ila ndo hivyo bana...nami nakujua sana wewe. Hahahahaaaaa.
Nyani Ngabu yule Muhaya anaitwa Joseph Rwegasira ila baadaye akaingia dili za ulokole na New Silent inn ikageuzwa kuwa hekalu la bwana na siyo pambio la shetani tena.Yeah inawezekana.... kina Romario na crying baby Bebeto. Ile Brazil ilikuwa mwisho wa maarifa. AFCON nawakumbuka enzi hizo kina Roger Mila, Kunde, Makanaky.... et el
Kudadadeki. Tausi ndege wanguuuu.... hii makitu ilichangia sana mimi kuwahi kurudi home. jamaa walikuwa creative. mpaka sasa sijaona tamthilia iliyofikia level hiyo. Hata kina Bishanga walijitahidi sana enzi hizo.
Kuna nyingine ilikuwa inaitwa Egoli ya Sauzi wacha kabisa. sio huu uchafu usioisha wa Isidingo.
Ebana eeh ile World Cup ilikuwa bab kubwa.
Romario na Bebeto walikuwa ni moto wa kuotea mbali. Kipa alikuwa Taffarel. Bila kuwasahau akina Ricardo Rocha, Mauro Silva, Dunga, Branco, Rai, Aldair, Cafu, Marcio Santos, Ronaldo (akiwa na miaka 18 tu) na wengineo.
Nakumbuka kwenye mechi yao dhidi ya Uholanzi Bebeto alipofunga goli akaenda pembeni kushangilia na wenzake kwa staili ya kumbeba mtoto mchanga.
Baadaye nikaja kujua kumbe siku ile Bebeto na mkewe walikuwa wamepata mtoto wa kiume ambaye naye sasa hivi anacheza soka ya kulipwa huko Brazil.
Icheki hiyo clip hapa.....
Komredi itabidi nasi tuanzishe #TeamVibabuVyaJF ili tuwe na nguvu pindi tunaponyanyapaliwa humu na hivi vitoto vya dotcom.
Yeah inawezekana.... kina Romario na crying baby Bebeto. Ile Brazil ilikuwa mwisho wa maarifa. AFCON nawakumbuka enzi hizo kina Roger Mila, Kunde, Makanaky.... et el
Kudadadeki. Tausi ndege wanguuuu.... hii makitu ilichangia sana mimi kuwahi kurudi home. jamaa walikuwa creative. mpaka sasa sijaona tamthilia iliyofikia level hiyo. Hata kina Bishanga walijitahidi sana enzi hizo.
Kuna nyingine ilikuwa inaitwa Egoli ya Sauzi wacha kabisa. sio huu uchafu usioisha wa Isidingo.
Comrade hatujawahi kukutana Railway Gerezani kuangalia ngumi enzi hizo sijui kina Titus Simba wanatamba? Hatujawahi kukutana uwanja wa Taifa enzi za kina Peter Tino?
Ndo nshakuambia mi nakujua sana tu LOL
Hahahah..shkamooni
Hii ndio mechi Baggio alikosa penalt kwenye fainali?
Ebana eeh ile World Cup ilikuwa bab kubwa.
Romario na Bebeto walikuwa ni moto wa kuotea mbali. Kipa alikuwa Taffarel. Bila kuwasahau akina Ricardo Rocha, Mauro Silva, Dunga, Branco, Rai, Aldair, Cafu, Marcio Santos, Ronaldo (akiwa na miaka 18 tu) na wengineo.
Nakumbuka kwenye mechi yao dhidi ya Uholanzi Bebeto alipofunga goli akaenda pembeni kushangilia na wenzake kwa staili ya kumbeba mtoto mchanga.
Baadaye nikaja kujua kumbe siku ile Bebeto na mkewe walikuwa wamepata mtoto wa kiume ambaye naye sasa hivi anacheza soka ya kulipwa huko Brazil.
Icheki hiyo clip hapa.....
Umesahau sunset beach na the bold and the bautfull ......!Yeah inawezekana.... kina Romario na crying baby Bebeto. Ile Brazil ilikuwa mwisho wa maarifa. AFCON nawakumbuka enzi hizo kina Roger Mila, Kunde, Makanaky.... et el