MMU hot talk

MMU hot talk

We umezaliwa tisini na ngapi?

Unajuwa leo nilikuwa nasoma local news paper za sports kuna huyu kipa wa Simba na ndio alikaa golini kwenye big match Manyika Peter mtoto wa kipa wa zamani wa Yanga Peter Manyika kwenye particular zake amezaliwa 1996.

Something linging loud in my head.
 
Huyo dogo watu kama sisi anatakiwa atuamkie 'sh'kamoo baba'.
 
Baggio alikosa penalt mwaka 1994 kwenye fainali hii ya bebeto ilikuwa mwaka 1998!

Bebeto kushangilia kumbeba mtoto ilikuwa ni robo fainali ya World Cup USA 1994.

Au we unazungumzia Bebeto katika fainali zipi?
 
Huyo dogo watu kama sisi anatakiwa atuamkie 'sh'kamoo baba'.

You're absolutely righ, ndio uone changamoto za maisha zilivyosabisha tukachelewa ( baadhi) kujenga familia mapema mtoto/watoto inapendeza wanapata barehe na kugraduate kwenye fani tofauti ukiwa na nguvu zako.

Huyu kijana kwakweli akikutana na Team vibabu ni kusema shikamoo baba fullstop hakuna habari ya kuitana Anko au kaka mkubwa.
 
Bebeto kushangilia kumbeba mtoto ilikuwa ni robo fainali ya World Cup USA 1994.

Au we unazungumzia Bebeto katika fainali zipi?
Zilizofanyika Ufaransa kwenye robo fainali kati ya Brazil na Uholanzi

Brazil walipita kwa matuta,kwenye dakika 90 na zile za nyongoza walitoka suluhu 1-1

Goli la Brazil akifunga Ronaldo de Lima akipokea pasi kutoka kwa Rivaldo,goli la Uholanzi alifunga Patrick Kluvert,magoli yote yalifungwa kipindi cha pili!
 
Isije akawa anajicomfuse na Bebeto wa Atlanta kwenye Olimpic walivyotolewa nishai na kina Nwanko Kanu
 
Yeah uko sahihi kwenye hilo.

Awali nilidhani labda unazungumzia ule ushangiliaji wake.
 
Isije akawa anajicomfuse na Bebeto wa Atlanta kwenye Olimpic walivyotolewa nishai na kina Nwanko Kanu

Dah ile timu ya Naijeria ilikuwa kali sana. Nawakumbuka Daniel Amokachi, Victor Ikpeba, Taribo West, Celestine Babayaro, Sunday Oliseh, Mobi Oparaku, Tijani Babangida na wengineo.

Isingekuwa kulewa sifa jamaa walikuwa na potential sana.
 
kuninii ni lazima lakini nazingatia sana age-mate wangu, siwez toka na watu nnaowazido sana au walionizid kupitiliza.... sa at last utapokuja kuoa mtu ambaye kishachezea madushe ya wazee kipindi hicho hilo ni balaa lingine!!! yani bora uvurugwe na vijana wenzio lakino sio hawa wababa tena wenye ndoa.... kama sa hizi tu unatoka na mme wa mtu huko badae si ndo utafanya mengi machafu

Sijui jinsia yako na hata ningeijua si kitu sana lakini wacha nikupe darasa mdogo wangu...asikudanganye mtu suala la umri lisikupe shda hata kidogo...umri ni tarakimu tu muhimu ni kuangalia pale moyo wako ulipokaa...uliza kaka na dada zako humu ni bundi wangapi wamewabusu/wamebusiwa nao kabla hawajapata matulizo yao...
 
Dah ile timu ya Naijeria ilikuwa kali sana. Nawakumbuka Daniel Amokachi, Victor Ikpeba, Taribo West, Celestine Babayaro, Sunday Oliseh, Mobi Oparaku, Tijani Babangida na wengineo.

Isingekuwa kulewa sifa jamaa walikuwa na potential sana.

Kulikuwa na mtu anaitwa Garba Lawal na Austine Okocha acha kabisa hawa watu!
 
Nani anakumbuka lile jisongo la Wenge Musica BCBG - Ndombolo ya Solo?

Jamaa walitamba sana na hiyo staili yao ya ndombolo.

Nakumbuka pale kwa Macheni (Migomigo) kuna kipindi nilikuwa napenda sana kwenda kula bata wikendi.

Basi DJ akitwanga ndombolo ya solo wachuchu walikuwa wanamwaga radhi vibaya mno.
 
Ni Augustine "Jay Jay" Okocha.

Jamaa alikuwa mbaya sana kwenye chenga. Kuna kipindi wakati anachezea Eintracht Frankfurt alimramba chenga mchezaji mmoja hivi hadi huyo jamaa akateguka mguu.
 
Nani anakumbuka lile jisongo la Wenge Musica BCBG - Ndombolo ya Solo?

Jamaa walitamba sana na hiyo staili yao ya ndombolo.

Nakumbuka pale kwa Macheni (Migomigo) kuna kipindi nilikuwa napenda sana kwenda kula bata wikendi.

Basi DJ akitwanga ndombolo ya solo wachuchu walikuwa wanamwaga radhi vibaya mno.

acha kamba wewe...mitaa hio yetu huwezi kugusa wewe....unapajua deluxe bar?
 
Back
Top Bottom