LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,510
Sawa kabisa ulishafika 24/25 ni mda sahihi wakuwa na watu serious...
Umeshachuma visent vyako kiwanja unacho mkoko unaooo(wasitake kukua umevipataje lol) naaa una kazi yako aaaa kabisaaaa unapata single mwenzako mnaunganisha status mnakuwa engaged mna spend life kama kuoana sawa hata msipooana kuwa na mtu kujulikana wewe ni mmliki halali si mbaya....
Mimi nimekuelewa sana.....
Maisha haya ni target bana......
Na hakuna formula....japo watu wanalazimisha formula...
Dada Amu...huo ni uuzaji P.ussy one on one...kwanini hawakubali kwamba wanafanyabiashara kama wengine?...kwanini wanakua hypocritical ivo?Ukimuita "muuza k" anapaniki kinoma wakati ni true...m.aafaka man up,sell that coochie get money,yanini kujifaragua?