Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Kumbe hujashika siku nyingi? Mi hata kuishika sijawahiMy wii upo?mwenzangu sijachika milioni siku nyingi ndio maana nashangaa
Kumbe hujashika siku nyingi? Mi hata kuishika sijawahiMy wii upo?mwenzangu sijachika milioni siku nyingi ndio maana nashangaa
Nina miaka sijashika milioni ndio maana nashangaa.Hongera lakini
We nae unapotea sana et
Mi nimesema tu...mana nimezoea hiyo ni tabia ya kihaya wala sijawahi kujua we ni kabila gani
Aaaaaaaaaah! Tumbooo umejikwaa kwenye waya huo apo bana!
Naona ghafla tu kimyaaaaaaaaa!
Asante kwa kuzipata salamu zangu.Huku hukutakiwa kupita kabisa Phlagiey salamu zako zimenifikia nikaja mbio mbio. Kuna mtu aliazima ID yangu.
Kweli lazima nikubari uzee unabisha hodi maana hata nikiwa na ((million ni kama buku)) tu, anayekataa umri hiyo kazi namuachia Le Mutuz.
Asante kwa kuzipata salamu zangu.
Kuhusu kupita hapa najihisi kama nimejikwaa lakini nimejikwalia mahala pazuri maana baada ya kusimama na kujikung'uta vumbi kuangalia mbele yangu nikaona mbulungutu la pesa, hivyo kujikwaa kwangu kuna faida. Mkaa bure siyo sawa na mtembea bure, japo nimejikwaa lakini nimetoka na kitu hapa.
Usijali sana tuko pamoja, kila jambo linawakati wake, cha msingi ni kukimbizana na muda usikuache mbali maana ya leo siyo ya jana, na kinacho kwenda kinarudi kwa mtindo mwingine ni vyema kuchunguza mapito yako hasa kwa mwenye imani kama yangu ya alieko juu mngoje chini, ukiamini ipi siku atadondoka, lakini somo litakuwa gumu kwa mwenye imani ya alieko juu mfuate huko huko iwe kwa shari ama kwaheri.
Nimeandika mengi kidogo lakini yapo machache ya kuzingatia haya hapa;
- Zingatia Muda
- Chunguza mapito
- Furaha yaweza kukupa chozi ila chozi haliwezi kukupa furaha.
Kumbe hujashika siku nyingi? Mi hata kuishika sijawahi
Miaka kadhaa hujashika million na wala hujawahi kufikiria kujinyonga? Kama ni kweli una roho ngumu kweli.
Adui muombee njaa atanyosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa..!!Milioni na uhai wangu vina connection gani?Kukosa milioni sio mwisho wa maisha na wewe hapo una milioni si ajabu unatamani hata kesho ufe kwa stress ulizonazo ila mie naenjoy tu na kidogo nilicho nacho
Nina miaka sijashika milioni ndio maana nashangaa.Hongera lakini
Haha!! haya bana usije kuniwinda ukanichoma beto la paja kisa nimekufananisha....LOLHahahaaa afu ww acha kunichokoza ujue
hebu chungulia M-pesa yako....