Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,493
- 108,831
Milioni na uhai wangu vina connection gani?Kukosa milioni sio mwisho wa maisha na wewe hapo una milioni si ajabu unatamani hata kesho ufe kwa stress ulizonazo ila mie naenjoy tu na kidogo nilicho nacho
Adui muombee njaa atanyosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa..!!
Haha!! haya bana usije kuniwinda ukanichoma beto la paja kisa nimekufananisha....LOL
ZIKILIWA ZETU JAMANI! Hamna mwenye ubia wa ya mwenzie! NYIE MNAOLIWA MTAANI MMEPATA NINI? WHERE IS YOUR HAPPY ENDING? Hahaaaa
Don't take me serious utajiumiza bure, kila jambo lina wakati wake na hata umri unamata pia.
Wakati nikiwa nikiwa kwenye umri wa late 20's nilikuwa na usongo sana na maisha ili nimiliki pesa nyingi, Babu yangu ni dealer wa mafuta nilikuwa nikikaa naye bar tunapiga kiraji aliniuliza nimtajie Tajili yeyote ambaye ni self made ambaye ana umri wangu.
Nilishindwa kumpa jibu maana matajili wote wanaanzia 40-50 kwenda juu.
Back to ur point inawezekana wewe pia bado ni mdogo upo kwenye umri wa mapito mengi lakini utakuja kuwa vile ungependa uwe.
Network itakuwa busy utaipata connetion muda simrefu itakapo kuwa sawa.Sijapata connection na ulichosema
Siwezi kuumia kwa maneno yako hata siku moja as long as naamini kila mtu na riziki yake.Na naamini siku ipo na mie nitamiliki mamilioni ya pesa.By the way hizo milioni unamiliki kutoka pia na background yako so ndio maana imekua possible kwako ila naamini kuna siku nitakiwa bilionea halafu nitakuajiri na hizo milioni zako.......lol(just kidding)usije nishushia mvua ya maneno
Ni kweli nakuunga mkono asilimia 100, most of them humu ndani wamepitia hapo then wamekuja kuolewa na wametulia, la muhimu ni kumwambia aache mapema na ajiandalie maisha yake mapema kabla hajatumika sana na huyo mbaba, pia naona wanamshambulia sana kama woote tuliomo humu ndani ni watakatifu, mm siyo kama natetea tabia yake, au naipenda lakini ninachotaka kusema ni kwamba afadhali kawa mkweli kwetu so tuli ndani ya ndoa tumfundishe kuwa afanyalo si jema na abadilikaje na si kumcrash adhiifu yeye ndiye aliyeanza.Naona mada imekuwa personal attacks.
Kimsingi angelita anaishi maisha ya umri wake ila si sahihi.
Na so called granny mumuwache kama kukuambia mmeshammwambia kasisikia ikifika kipindi mwenyewe ataamua atatulia na vizuri kuna sehemu alisema itafika kipindi Mungu atampa wa kwake ataolewa.
Hizo personal attacks sijazipenda.
Mweheee ata cjakuelewa
Unamjuwa vizuri huyo jamaa au ndoa yako unataka kuiweka majaribuni?
Miaka kadhaa hujashika million na wala hujawahi kufikiria kujinyonga? Kama ni kweli una roho ngumu kweli.
......Kumbe wasomaji tupo wengi ila mimi sipandishwagi hasira kwa maandishi.MM naendelea kusoma nipo pg 38 maana Mh!!! humu ukiwa na hasira unaweza ukapiga sreen yako kibao ukidhani unampiga mtu, ukapata hasara. Naomba kwa wale wenye hasira za karibu tuwe wote kwenye kusoma tu tuwaacha wachangiaji ambao hawana hasira. L0h!
it doesnt matter as long as yupo okay to stick his neck out for his grounds! Kisichotakiwa ni unafiki na uzandiki wa kujifanya mwema, huna dhambi wakati umeoza hatari! Its all about confidence ya kuconfess!
Matola ! Matola, tazama kiganja chako cha mkono, hata vidole vimepishana, kama Mungu amekujalia wee ushike mamilioni si wote, na usishangae kuna wengine hata laki moja hajawahi kushika, iwe milioni si atawehuka.
hahahah..confidence ya kuconfess au confidence ya kuadvocate...??!!
hahahaaaaaaaaaaaa! Still on my neck! Well i planned na wewe kushinda humu pia:a s wink:
Hawajui kuwa confession namba moja ni kutumia jina halisi...
As far as kila mtu ana fake ID kila mtu ana chance ya kuwa fake...
Wanaumiza vichwa sana kufanya guess work...
Badala ya ku stick kwenye substance ya debate...
Niaje NK....
Nawe leo umekua kibibi eeeh?
Una miaka 49?