MMU hot talk

MMU hot talk

bestito natamani sana nionane nawe ana kwa ana kwani unanipa furaha kwa comments zako
Hahaaaa! Aanze kumnywesha mumewe kidogo kidogo. Because in reality ndo alimkosea! Mambo mengine gaya ataenda jela, au atakodiwa watu wambakue afu any we sumu aache watoto wake wanateseka buree all because she couldn't handle a little defeat! Trying to challenge her fate. SHE SHOULD BEAR HER FATE PERIOD!
we hushangai jinsi gani mbingu zimekutupa waume za watu wooote duniani bi Dada akutane na mumeo tu, na mumeo nae ampende, wapendane, DONT YOU THINK ITS TOO MUCH COINCIDENCE FOR ONE MARRIAGE? LOL!
Maybe there is an unforeseen evil force coming to get you, it won't rest till you are in ruins. AND IT IS WINNING ALREADY! YOU IS GOIN DOWN FOR GOOD! SOO SAD! SUCH IS LIFE! Be bravr n bear your fate sister.
 
angelita, kama dini yako inaruhusu mke mmoja Il hali wewe unaingilia ndoa ya mtu, huoni kama humtendei haki mwanamke mwenzako?

Hata kama ningekataa Mimi angetafuta mwingine bado haisaidii kitu, maisha hayako sawa wakati mwingine, kama mwanamke pia najua inaumiza.
 
Last edited by a moderator:
Hata mm hua naonywa na kusikia,sikuhukumu ila nakwambia ukwel.Ulitaka nikusifie kutembea na mme wa mtu? Kama sehemu ya jamii naamin kuwa kukueleza ukwel ni jambo jema,mana wanaume ni wengi tu.Pia usi assume kila mtu anauovu wa type yako na ww ukapata tiket ya kudestroy familia ya mtu kisa et jamaa muislam.

Aliyekwambia nadestroy familia ya mtu nani???? Nyie ndo mnaojifanya watakatifu nyuma ya keyboard I know what m doing bora Mimi nimeongea ukweli wangu ili wengine wapate somo kupitia hadithi yangu.
 
Nadhani sentensi yangu umeielewa tofauti na nlivyomaanisha MankaM when am talking of 'others ' namaanisha mke wa huyo jamaa unayetembea nae na si baba mama shangazi wala jirani

Nimekuelewa vizur mkuu sana yan... ila nilichomaanisha ni kwamba wakati wew una seak happiness kwa mwenzio yeye hana habar na wew.. sema tu haijakutokea ila sio kwamba mtu unadhamiria kumuumiza mwenzio
 
Last edited by a moderator:
Wadada wa cku hizi unatembea na mume wa mtu halaf ur proud of it...njaa kitu kibaya sana.
 
Nitamchagua mtu mwingi ambaye hajao kwasababu dini yangu inaruhusu mke mmoja tu.
Na huyu niliyenaye siwezi kuolewa nae kwasababu dini tofauti na pia ana mke tayari.

Kawaida mwanamke ni mfuasi wa mwanaume hivyo hana dini maalum, waweza kuwa mke wapili maana hutakuwa na wivu kwa sababu mke mkubwa amekuzoea.

Swali langu: unampenda dhati au hupo naye kwa ajili ya kutimiza haja zako?
 
Khantwe

Mimi ni msomaji mzuri wa biblia naijua kuliko ufikiriavyo, biblia haijakataza ndoa za mitala ila dini ndo zinakataza.
Nakuoa au kuolewa mitala sio dhambi rudi kasome vizuri agano la kale hadithi ya baba wa Imani Ibrahimu aliowa wake wangapi, nasio huyo tu mfalme Daudi vipi kuhusu mfalme Suleiman Mwenye hekima kuliko wote???? Wako wengi sana hao niwachache tu
Tunaishi kwakufuata dini sio biblia.
Afu bado sina dhambi nalisamehewa hata kabla sijazaliwa (Yohana 14) dhambi zangu zilijulikana kabla misingi ya dunia kuumbwa ndomana mwanae wa pekee alikufa kwa ajili yangu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaahaaaaaaaaaaa!THE ALPHA MALE IN YOU IS SO VISIBLE!
I APPLAUD FOR THE COMPLIMENT...
Mi sijamblame the wife hata kidogo, ALL I DID WAS POINT OUT HER MERCYFULL SITUATION! COME ON! BAD THINGS HAPPEN TO GOOD PEOPLE ALL THE TIME AND THERE IS NOTHING YOU CAN DO ABOUT IT TO HELP THEM! Just watch, and be sorry maybe! Or gloat a little!
I SEEE....THIS AINT A NATURAL DISASTER TO SAY ITS BEYOND MANKIND CONTROL...

THE WIFE IS GOING DOWN ALREADY WITH OR WITHOUT MY PITY AND SYMPATHY! The question is who will she be taking down with her?
rather than being Hitler`s Deutschland and initiate the war..act like U.N and avoid it...

Will she be brave to accept her fate and go down alone, QUIETLY!? Or will she put a fight to challange her fate and take her kids down with her. Like i said its the matter of FATE, MISFORTUNE, BAD LUCK, KARMA, NO BODY EVEN THE MISTRESS CAN SAVE THE WIFE! She is a lost course!

now you are into this superstitious ideologies of thinking beyond the universe...stop that..
 
Mmmhhh hiyo wishes ni kama nimekwambia natoka na mume wa mtu loo!!! Excuse me

Hapana miss. Sijadhani kitu, ni mjadala ulifikia mwisho ndo maana nikasema good luck. Siwezi kukuhukumu MankaM coz hata mie nina yangu yamejaa debe hapa..ni kukbushana tu..
 
Last edited by a moderator:
Wadada wa cku hizi unatembea na mume wa mtu halaf ur proud of it...njaa kitu kibaya sana.

Hahahaaaaaaaaaaa! Nani kakwambia ni njaaa! WE FEEL SORRY FOR THE POOR, SAD, MISERABLE HUBBY DEAREST, LOCKED IN THE CELLS OF VOWS, COMMITMENT, UNHAPINESS ETERNALY, WITH THE SO NOT WOMAN OF THEIR LIVES. tHESE MEN DESRVE A SECOND CHANCE DONT YOU THINK? Like be happy ONCE AGAIN? After all we only live once! THE SISTERS ARE JUST TRYING TO HELP THIS MERCILESS HELPLESS SOUL! Just trying to help!
 
Back
Top Bottom