ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,381
- 118,810
Hata kama ningekataa Mimi angetafuta mwingine bado haisaidii kitu, maisha hayako sawa wakati mwingine, kama mwanamke pia najua inaumiza.
Then there must be an alternative miss angelita. Kama kweli unaumia, na nimependa uwezo wako wa kuwa wazi kwenye jamii...lakini kama unaona mwenzako nae anaumia, japo hawezi kukuambia..there's always another alternative..!
Last edited by a moderator: