Mmepotea ghafla, mmeenda wapi?

Mmepotea ghafla, mmeenda wapi?

Kiswahili sasa hivi ni kigumu, kila neno lazima ulitolee maana kabla ya kusema mengi.

Ulikuwa kwenye chuma mboga? Sitii neno.

Nyie kizazi hiki mwafaudu?!

Kongosho acha kupotosha maneno au nisusie sredi zako.
Chagua mwenyewe.
 
Mambo waaa! Kuna nafasi ya ukatibu mukhtasi...tuma maombi...

Lizzy wa JF
S.L.P 31 PM
JF

Yah : maombi ya kazi

Ndugu rais wa wabeba mabox , naomba nafasi ya kazi ya katibu mukhtasi katika jumuiya yenu ya wabeba mabox. Naahidi kufanya kazi yangu kikamilifu na kwa uaminifu. Nitakua msikilizaji mzuri na kufuata maagizo ntakayopewa bila kusahau kufuata matakwa yako.

Naomba ufikirie maombi yangu tena na tena mpaka utakapokubali kunipa hiyo nafasi. Nakuahidi kwamba hutojuta kuniajiri.

Wako mtiifu,
Lizzy
 
Hujaweka sifa zako kama elimu, uzoefu wa kazi, n.k. Na pia tunataka majina matatu ya references.
 
ha ha ha, usisuse bwana. Sikuwepo nchini kwa muda sasa najifunza kidogo kidigo

Kongosho acha kupotosha maneno au nisusie sredi zako.
Chagua mwenyewe.
 
Wengi wanatumia PCs za maofisini. Wakirudi majumbani wenye visimu vyenye intaneti unaweza ukabahatisha kuwaona hapa na pale kama netiweki haisumbui. Kama neti inasumbua basi itabidi uwasubirie hadi kesho yake wakitinga tena ofisini.

Ila kwa akina kama sisi wabeba maboksi tuko online 24/7 365/366. Teh teh teh...ngoja ninyamaze nsije nikaambiwa najidai bure....ingawa nimesema ukweli lol

AROOO... we unataka matusi aise:doh:
 
Kiswahili sasa hivi ni kigumu, kila neno lazima ulitolee maana kabla ya kusema mengi.

Ulikuwa kwenye chuma mboga? Sitii neno.

Nyie kizazi hiki mwafaudu?!

Lızzy alınıomba nıkune etı yeye anawashwa so hawezı kukalıa!
 
Duh! Kweli dunia ni ya mviringo, na ukilala wenzio wanaendelea na kutengeneza pesa.
Hamlali jamani?
 
Duh! Kweli dunia ni ya mviringo, na ukilala wenzio wanaendelea na kutengeneza pesa.
Hamlali jamani?
Haya kongosho..muda wa kazi umefika! Funga upesi hiyo page ya JF
 
kazi yangu ni kuhesabu wenye vipara hapa posta. Na cm yangu ya kitochi kwa raha zangu jf sifungi

Haya kongosho..muda wa kazi umefika! Funga upesi hiyo page ya JF
 
he he he, bibie hilo lako hilo. Umeshindwa tafuta blanket chapa mtu?

Unaniangusha, hadi uweke midoli. Hebu nenda hapo ngere ngere kambi ya jeshi sasa hivi utapata.

wengine tunalala na mito na midoli, usiku usingizi ukikata unaamua uingie tu jf.
 
Mwache binti asome, unamtingisha bure na maneno yako ya wakubwa. She is only 16.

Lızzy alınıomba nıkune etı yeye anawashwa so hawezı kukalıa!
 
Haya... wale wanaotegemea computer za maofisini mpo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom