Kazini hawawapimi alcohol content?
kumbe ww ni profesheno testa? Natafuta mtu wa part time, nna kiwanda changu pale Tandale soko la nafaka.
Heee! Zinduna..nilikuwa nakusubiria, kumbe bado upo macho?Mie nilienda Madrasa!
Nimerudi, sasa mbona sikuoni!?
nani kapotea?
Kumbe bado upo macho! Kwa bed unaingia saa ngap?Hujambo baba Koku?
Kumbe bado upo macho! Kwa bed unaingia saa ngap?
Heee! Zinduna..nilikuwa nakusubiria, kumbe bado upo macho?
Wengi wanatumia PCs za maofisini. Wakirudi majumbani wenye visimu vyenye intaneti unaweza ukabahatisha kuwaona hapa na pale kama netiweki haisumbui. Kama neti inasumbua basi itabidi uwasubirie hadi kesho yake wakitinga tena ofisini.
Ila kwa akina kama sisi wabeba maboksi tuko online 24/7 365/366. Teh teh teh...ngoja ninyamaze nsije nikaambiwa najidai bure....ingawa nimesema ukweli lol
Kongosha karibu tusonge ugali. . . mi nilikua nachuma mboga ndo wenzangu wanachambua hapa.
We rais wa wabeba box mambo?