Kipindi kile cha Mange nilijua sasa nchi inaenda kupinduliwa..kudadadeki barabara hata watu hamsini hawakuonekana.Serikali haiondolewi kwa maandamqano ya wiki moja.
Tatizo la bongo, kila mtu anataka mabadiliko lakino anataka kuona wengine wanayapambania huku yeye akiwa amekenua mineno tu ana-twiti huku ameshika chupa ya wine. Stupid
Endelea kuteseka tu! Samia anaongoza vizuri na Watanzania tumeridhika!Kama nchi imemshinda aachie wanaume waendeshe.... sio kurembua macho tu
Aysee, we jamaa unapenda visasi sana. Hufai kuiongoza hata familia yako.Yeah!!! Machinga uhai wao una maana kubwa sana kuliko uhai wa Viongozi, wanachama, wapenzi na mashabiki wa Chadema ambao wanabambikiwa kesi na hata baadhi kuuawa. Itakuwa vizuri kama polisi kama wanne hivi wauawe na machinga halafu tuone nini kitafuata.
Well said Mwanakijiji, watu wanasema eti wamachinga waondoke, ukiwauliza waende wapi hatuna majibu
Tukiwauliza serikali imetenga sehemu gani ili wamachinga wakafanye hughuli zao wapate rizki hatuna majibu!
Usafi wa miji hawezi kuwa na priority kuliko matumbo ya watu!
Kawimbo kanaleta hamasa, kidogo kidogo kitaeleweka.
Wamepangiwa wapi ?Labda fafanua vizuri anauawaje?
Maana kinachoendelea ni wanapangiwa maeneo ya kufanya biashara? Wewe unaonaje?
Wamepangiwa wapi ?Machinga wakubali kuondoka waelekee maeneo waliyopangiwa fullstop
Waliohama bila shida wamepangiwa wapi?Wamepangiwa wapi ?
Oh jehovah [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Labda yupo ulaya..
Kwanza tumsengenye kabla ya kujadili mada..[emoji23]
Mku hili jeshi lisilo na kamandaHili linaweza kutokea...tusipokuwa waangalifu tunatengeneza adui asiyekuwepo. Kuua nzi kwa gobole si uhodari na kuua sisimizi kwa bomu si ushujaa. Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha vijana wafike kwenye gema la kukata tamaa taifa litalipaaa.. tulifikirie vizuri...
Kafikaje hapa..?Oh jehovah [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Wanapangwa hawafukuzwi, bahati nzuri uchumi saizi unafunguka sio sawa na enzi za Dhalimu biashara haziendi,ajira hakuna,huku TRA na magenge ya kina Sabaya wanapora fedha ..Hili linaweza kutokea...tusipokuwa waangalifu tunatengeneza adui asiyekuwepo. Kuua nzi kwa gobole si uhodari na kuua sisimizi kwa bomu si ushujaa. Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha vijana wafike kwenye gema la kukata tamaa taifa litalipaaa.. tulifikirie vizuri...
We makamasi kaa kimya.Dogo siku hizi una posti na kuchangiaga kiudhaaaifuuuuu.
Wewe umesema wanapangiwa maeneo, ndiyo nimeuliza wamepangiwa wapi ?Waliohama bila shida wamepangiwa wapi?
Nenda mtaa wa Samora Posta uone kama wapo!
Ngoja nisiwaite jina ambalo sio lao (Hawa wafanyabiashara kiholela), hawauliwi leo kwa kuwahamamisha na kuwataka kufanya kazi sehemu amabazo sio hatarishi kwao na kwa jamii husika...
Wamekuwa wakiuliwa polepole kwa kukosekana alternatives, Wamekuwa wakiuliwa polepole kwa kukosa suluhisho kwa watunga sera kuchukua shortcut na kuwatupia mzigo wale watakaokuja baadae...
Kwahio tupo katika Crossroads tuendelee kulea kidonda huku kinazidi kuoza ili kesho tukate mguu, au tutumbue usaha na kutibu kidonda leo ili huenda kesho tuokoe mguu wetu ...
As kuacha business as usual na kuendelea kuwazalisha wachuuzi will come a time ambapo we can never go back as it used to be (itakuwa too late)
Have you ever thought hawa wachuuzi wakiugua siku moja kesho yao itakuwaje ? Je uzeeni hawana hata pension watakuwa wageni wa nani ? (Kwa Fikra hizo ndio Utetezi sio kuwaacha wakifanya kazi kwenye Mitalo, sijui Kipindupindi kikija au wakigongwa lawama iende kwa nani)
We makamasi kaa kimya.
ππππSerikali haiondolewi kwa maandamqano ya wiki moja.
Tatizo la bongo, kila mtu anataka mabadiliko lakino anataka kuona wengine wanayapambania huku yeye akiwa amekenua mineno tu ana-twiti huku ameshika chupa ya wine. Stupid