Mbinu za kufanya hazifanani zinabadilika kulingana na mazingira unayo ishi na mtu mwenyewe.....kwamfano mie mwaka 2007 mshahara wangu ulikua TGs D nilikua na pokea 280,000, nilitumia hera hiyo kuakisha naongeza kipato kabla ya kuacha kazi, na Baada ya miaka miwili niliacha ajira nilivo ona niko stable angalau 40% kwa risk analysis. Now niko ok. Na chojivunia naweza ku afford kulipia watoto angu ( 3) ada katika shule nzuri za private pamoja na usafiri. Hii "mediocre" elimu bure ya JPM nimenusurika kuteketeza watoto angu kielimu.