Mliowahi kubadili kazi, naombeni ushaur!!!!

try to save upate million sita then njoo Botswana au Namibia upige kaz
 
au nunua bodaboda boxer kwa 2.3milion umpe kijana kwa mkataba ndani ya mwaka utapata zaidi ya 4 million plus capital intensive uliowekeza ya 2.3 million
 
Tatizo kila ninachopanga naona kila kinapotaka kuendelea ninajikuta ninakosa muda wa kukisimamia kwani muda mwingi ninakuwa kazini
Tafuta kijana hata wa kumlipa 80,000 kwa mwezi, muanzishie shughuri wewe unampokea jioni na kupiga kazi, mwisho wa siku utajikuta umetoka. usione kutoa hicho kiasi, kwani huwezi kupokea bila kutoa.
 
Mbinu za kufanya hazifanani zinabadilika kulingana na mazingira unayo ishi na mtu mwenyewe.....kwamfano mie mwaka 2007 mshahara wangu ulikua TGs D nilikua na pokea 280,000, nilitumia hera hiyo kuakisha naongeza kipato kabla ya kuacha kazi, na Baada ya miaka miwili niliacha ajira nilivo ona niko stable angalau 40% kwa risk analysis. Now niko ok. Na chojivunia naweza ku afford kulipia watoto angu ( 3) ada katika shule nzuri za private pamoja na usafiri. Hii "mediocre" elimu bure ya JPM nimenusurika kuteketeza watoto angu kielimu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuteketeza watoto umenusurika mkuu
 
weka mipango yako vizur before yu decide to quite the job....badae usije anza kujirahumu
 
Nimeishi maisha hayo, nayafahamu. Nikuulize swali, una maana gani kusema mambo hayasogei? Nini malengo yako maishani? Do u enjoy yo job? Je, unafikiria ni kipato kiasi gani kitakuridhisha? una ABCs za ujasiliamali?(I mean practically) ukinijibu nitachangia vyema!!
 
Tafuta kijana hata wa kumlipa 80,000 kwa mwezi, muanzishie shughuri wewe unampokea jioni na kupiga kazi, mwisho wa siku utajikuta umetoka. usione kutoa hicho kiasi, kwani huwezi kupokea bila kutoa.
Asante kwa ushauri mzuri!Nitaufanyia kazi ingawa vijana wameshaniliza mara kadhaa!!
 
Mbinu za kufanya hazifanani zinabadilika kulingana na mazingira unayo ishi na mtu mwenyewe.....kwamfano mie mwaka 2007 mshahara wangu ulikua TGs D nilikua na pokea 280,000, nilitumia hera hiyo kuakisha naongeza kipato kabla ya kuacha kazi, na Baada ya miaka miwili niliacha ajira nilivo ona niko stable angalau 40% kwa risk analysis. Now niko ok. Na chojivunia naweza ku afford kulipia watoto angu ( 3) ada katika shule nzuri za private pamoja na usafiri. Hii "mediocre" elimu bure ya JPM nimenusurika kuteketeza watoto angu kielimu.
Asante kwa ushauri
 
N vzr ukaanza huo ujasiriamali ukiwa kazn halaf baadae ndo u quit mambo yakiwa poa, mana hapo unabet. Kuna watakao kuambia waliacha wakafanikiwa kumbe waliacha kazi ya kuchimba makaburi wakahamia kwenda kuomb tenda za kulia misibani.
Ushaambiwa hana muda na huwezi kushika mawili yote kwa pamoja lazima moja lifeli so unaamua kusuka au kunyoa
 
pesa haijawai tosha kabisa,, chukua mawazo ya wadau alafu changanya na zako
 
Asante kwa ushauri!Sasa ninaweza kufanyaje nijiongezee kipato kwa pesa hiyo?
Tafuta mda ukae peke yako ata Sikh nzima tafuta wazo kila MTU anakuwa na wazo zuri na bora akitumia akili yak vzr
 
Mawazo ninayo yanayohusu ujasiriamali tatizo muda!Nilitoa mfano mwanzoni kuwa nilienda kumtembelea rafiki yangu ambaye aliishia kidato cha 4 kule kijijini kwake,yeye ana kuku 250 tu wa kienyeji na n'gombe wawili wa maziwa kwa mwezi kulingana na daftari lake kiwango cha chini anachopata ni sh.1,800,000/=Yaani pesa hiyo anaipata bila stress yoyote kama vile kodi mara tra oh nini!!!!Yeye na mkewe wamekubali kujitumikisha!Mimi na digrii yangu nalipwa 480,000/=
 
Nimeishi maisha hayo, nayafahamu. Nikuulize swali, una maana gani kusema mambo hayasogei? Nini malengo yako maishani? Do u enjoy yo job? Je, unafikiria ni kipato kiasi gani kitakuridhisha? una ABCs za ujasiliamali?(I mean practically) ukinijibu nitachangia vyema!!
Mimi ni mtoto wa mkulima!Baba yangu aliacha kazi serikalini kabla sijaanza darasa la kwanza!Alichofanya nikutununulia mashamba ya kulima mipunga.Mimi nimesomeshwa na kilimo hadi kidato cha sita!Sasa hivi nimeajiriwa lakini mwisho wa mwezi ninashindwa hadi kumsaidia mama yangu mzazi ambaye amezeeka pesa ya kunua nyanya!Ninajifariji tu kwa hizi bima za afya nilizopewa kazini!Kingine kinachoniumiza vijana wenzangu niliowaaacha kidato cha nne wameshatoka kimaisha!!!
 
try to save upate million sita then njoo Botswana au Namibia upige kaz
Yaani nisikufiche kwa matumizi yalivyo labda hiyo pesa nitaifikisha baada ya kustaafu!!HUO NDIYO UKWELI INGAWA UNAUMA!KUMBUKA NINA WATOTO WAWILI NA MKE NA KIWANJA KIMOJA AMBACHO NIMEKIPATA BAADA YA KUCHUKUA MKOPO!!!
 
Mawazo ninayo yanayohusu ujasiriamali tatizo muda!Nilitoa mfano mwanzoni kuwa nilienda kumtembelea rafiki yangu ambaye aliishia kidato cha 4 kule kijijini kwake,yeye ana kuku 250 tu wa kienyeji na n'gombe wawili wa maziwa kwa mwezi kulingana na daftari lake kiwango cha chini anachopata ni sh.1,800,000/=Yaani pesa hiyo anaipata bila stress yoyote kama vile kodi mara tra oh nini!!!!Yeye na mkewe wamekubali kujitumikisha!Mimi na digrii yangu nalipwa 480,000/=
Pole mkuu tafuta biashara umuajiri mtu
 
Back
Top Bottom