Mimi ni mfanyakazi katika kampuni moja ambapo mshahara wangu ni sh.480,000/=kabla ya makato NSSF!
Sasa ni mwaka wa nane naona kama sisongi mbele kimaisha isipokuwa nimefanikiwa kuoa na kuanzisha familia na kumsomesha mdogo wangu chuo cha afya ngazi ya cheti.
Ni mwaka sasa ninafanya kazi ya kuajiriwa lakini nafsi hainipi kabisa!! Akili zinanisonga sana niwe mjasiliamali kwani huku ninaona ninapoteza muda wangu hasa nikigawanya kiasi ninachopata nikilinganisha na muda!!
Elimu yangu ni chuo kikuu!!