ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 925
- 1,962
huo ni mpango mkakati hayupo peke yake.. na wote vifua vipana.Namhurumia sanaa
huo ni mpango mkakati hayupo peke yake.. na wote vifua vipana.Namhurumia sanaa
But whyNamhurumia sanaa
Mbona walivamia kwa dada yake? Wangekuwa wanajua yuko wapi wangeenda huko? Na Polepole siyo mjinga bila kujua haya....huyo ni kama kirusi, wanaweza wakawa na access ya kumpata ila wakauchuna kwanza kujua godfather wake ni nani.. hiyo ni kama honeypot 🍯
huyu ndio niguse ninuke sio yule alie guswa akanuka
Mi sijui kama ana kosa au hana ila nazungumza kwa uzoefu wa mambo wanayofanyiwa watu wa aina hiiBut why
Kosa lake nn kwani?
Hana kosa lolote. Ila kwa hii serikali ya kihuni, huhitaji kuwa na kosa ili wakuadhibu hata kukua.But why
Kosa lake nn kwani?
Ahh okayMi sijui kama ana kosa au hana ila nazungumza kwa uzoefu wa mambo wanayofanyiwa watu wa aina hii
Hauoni walivyo mrudisha kwa kasi na kusitisha mpango wa kwenda kwa mama yake na Pole Pole ?Mbona walivamia kwa dada yake? Wangekuwa wanajua yuko wapi wangeenda huko? Na Polepole siyo mjinga bila kujua haya....
Kweli.Ahh okay
Ht ye naamini Alikuwa anajua Kila kitu hajakurupuka
Hivyo basi walijua alipo? Wanaweza kujua lakini wakashindwa la kufanya... inategema timu ipi ina nguvu zaidi.Hauoni walivyo mrudisha kwa kasi na kusitisha mpango wa kwenda kwa mama yake na Pole Pole ?
Wale huwezi fananisha na polepole Ambae Yuko kwenye system kitambo na anawajua hao wahuni vzr tu ,ndo maana hajulikani alipoKweli.
Hata akina Mdude na Soka woote hawakukurupuka walijua wanachokifanya na wameishia walikoishia. Nimtakie kola lakheri.
Popole ni kama bomu.. huo ujasiri na anacho fanya kina backup kubwa .. hapo ndio kuvizianaHivyo basi walijua alipo? Wanaweza kujua lakini wakashindwa la kufanya... inategema timu ipi ina nguvu zaidi.
Vyovyote vile ila aje hapo mwanga ukiwepo,siyo hayo mambo ya kuibuka mida ya wanga kama fungo!Akija utasema aje tena asubuhi
Nchi iko mahali pabaya sana. Hakuna sababu ya kumfanya mtu fulani aishi kama mkimbizi ndani ya mipaka ya nchi yake wakati hajavunja sheria yoyote. It’s lawlessness. Pure and simple!Simple, ulijua unatafutwa keep low profile, tumia VPN, usitumie namba yako kumpigia mtu, badili namba, usipigie nao ndugu na jamaa maana nao watakuwa wanafuatiliwa iji wajue Sasa unatumia namba Gani, mawasiliano tumia signal, telegram au hata Whatsapp, maana bongo bhana sana hawana teknolojia ya kuacses, labda Facebook.
Camouflage sura yako kwa kofia, barakoa, au hata namna nyingine, Slow slow anaweza hata kufika nje ya ikulu na kupiga picha au video na asijulikane, Kisha anaondoka kwenda eneo lake salama alilochagua kujificha na kuishi Kisha anapost
Nyumbani kwa Rip Komakoma?Pole pole yupo Mwananyamala Komakoma
Kumbe ile sanamu bado ipo, basi kumbe ule ushauri wa Mbunge aliyesema tubadili Tuweke sanamu ya Nasiibu haukufuatwa.Posta, Yuko mbele ya Ile mnara wa askari
😂😂😂 Peleka pendekezo mzeeKumbe ile sanamu bado ipo, basi kumbe ule ushauri wa Mbunge aliyesema tubadili Tuweke sanamu ya Nasiibu haukufuatwa.
AI imekuja na janga jingine kwa watanzania. Hata kwenye ukweli, tulivyo wabishi tutakuwa tunasema ni AI. Na mbaya zaidi kwenye tech tuko nyuma sana hivyo kila kitu kitaitwa AI!
With AI anything is possible
Hadi
Sasa huwezi kutofautisha AI
na halisi mkuu?