secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,385
- 46,686
hahahah, bora nyinyi ambao mnakula bandama, huku watu wanakula hadi pua ya nguruwe.Like bandama hv
hahahah, bora nyinyi ambao mnakula bandama, huku watu wanakula hadi pua ya nguruwe.Like bandama hv
Pua ya nguruwe tamu sanahahahah, bora nyinyi ambao mnakula bandama, huku watu wanakula hadi pua ya nguruwe.
Pia tunakula mbawa za bata mzinga.Pua ya nguruwe tamu sana
Hahahaha nimekumbuka masikio ya nguruwe yalivyo matamuPia tunakula mbawa za bata mzinga.
DmUmenipatia mchumba
Ulishawahi kula?😎Hahahaha nimekumbuka masikio ya nguruwe yalivyo matamu
UlimpeaHamna hata response😃, anyway mi ngoja nikujibu nilipata mtu na tulielewana vyema tu shida ikaja kwenye dini. Alitaka nibadili dini nimfate yeye hapo nikamwambia tufanye ya serikalin akakataa akisema itampa shida maana haitambuliki ikabd tuishie pale, ila ni mwanaume bora sana
Si ulinikataaUmenipatia mchumba
Mzee alikuwa butcherman wa nguruwe mazeeUlishawahi kula?😎
Hahaha 😂, mlikuwa mnauza pork, siyo?Mzee alikuwa butcherman wa nguruwe mazee
Ohooo unachemsha maji yachemka kabisa afu sehemu ya kumchunia mnaiweka safi thenHahaha 😂, mlikuwa mnauza pork, siyo?
Utamu ulioje mkuu😋.Ohooo unachemsha maji yachemka kabisa afu sehemu ya kumchunia mnaiweka safi then
Mnamfunga vzr, anakula shoka moja matata tuu, akilala chini sasa mnamwagia maji mnatoa manyoya Yale vzr, mnamwagia maji anakuwa safi,
Mnaanza kazi ya kuchinja! Huku beseni la mafuta likiwa jikoni kupokea oder huku wengine wakitaka mchemsho, huku ndizi zikimenywa kwa mchemsho na kukaangwa,
Nimekula sana chair mududu
Aseeeh pole sana mkuu, mdudu ni mtamu sana, sanaUtamu ulioje mkuu😋.
Kuna watu huwa hawana utaalamu wa kukwangua vinyweleo vizuri na hicho kilisabumisha jamaa yangu kupaliwa na nyama ya mdudu.
Kumbe nywele zilikuwa hazijatolewa vizuri 😂.
Dah pole ila siulisema hunitakiii sina shepuuSi ulinikataa
Shape tenaDah pole ila siulisema hunitakiii sina shepuu
😳Hahahaha!
Habari za J’pili mkuu.
Sihitaji mchumba JF mkuu.
Mambo ya kufanya na kujifunza JF ni mengi kuliko hilo la mchumba😁
Thanks🙏🏽.
NdioooShape tena
Nakupenda ulivyo chibongeNdiooo