Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,456
- 25,384
Nakupatiaje kama sijajua kama uko Singo au dabodeckUmenipatia mchumba
Nakupatiaje kama sijajua kama uko Singo au dabodeckUmenipatia mchumba
Nampenda yeye na hiyo dini yakeNimeshangaa kidogo, ati dini unampenda yenye, dini yake na waumini wote kwenye hiyo dini yake
Hahaha kudadadeki
Jumapil iko Bomba Sana rafiki
Mchumba ndio huyo nisha kupatia acha uoga binti😁
Tuwe wa kweli, kwa sasa wapi utapata mchumba au mchepuko hata changu bila kutumia mtandao? Au unafikiri kuomba omba namba za simu?Kwakweli naishukuru sana jf na love konekt kwa ujumla, la sivyo ningekua kwetu hadi sasa.
Hata mimi nimeshangaa na nitaendelea kumshangaa new galHujampenda, yani nimuache mtu nnaempenda kabisa kisa dini?
Ntampenda yeye na hiyo dini yake.....
Wanataka nini?makaveli10 kuja hapa uwape inspiration vijana
Kwa hiyo nyie hamjitambui mpaka mtambuliwe na mtu aliyevaa kobaz?Hamna hata response😃, anyway mi ngoja nikujibu nilipata mtu na tulielewana vyema tu shida ikaja kwenye dini. Alitaka nibadili dini nimfate yeye hapo nikamwambia tufanye ya serikalin akakataa akisema itampa shida maana haitambuliki ikabd tuishie pale, ila ni mwanaume bora sana
Ata julikana.Jambo la kumshukuru Mungu🙏🏽.
Yupi tena?
Unataka niolewe mara mbili? Hiyo itaitwa ndoa ya mitara ama pitara? 😁😁
Ningeshangaa sana 😎Humu itakua kuonjana onjana tu
KwambaNingeshangaa sana 😎
Usipite huku 😅Kwamba
Napita kwingi tu sema pengine nakaushaga tuUsipite huku 😅
Hahaha sawaNapita kwingi tu sema pengine nakaushaga tu
Ndiyo mkuu.Mkuu hiyo dp ina relate na wewe kwa namna yoyote?
Kubali nilete ushuhudaHamna hata response😃, anyway mi ngoja nikujibu nilipata mtu na tulielewana vyema tu shida ikaja kwenye dini. Alitaka nibadili dini nimfate yeye hapo nikamwambia tufanye ya serikalin akakataa akisema itampa shida maana haitambuliki ikabd tuishie pale, ila ni mwanaume bora sana
Nikubali nnKubali nilete ushuhuda