secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,777
- 47,672
Hahaha 😂🤣😂.Mbona secretarybird alinambia huku ni madume tupo hakuna manzi
Nilimwoa bibie Mshangazi dot com na tuna enjoy maisha.
Hahaha 😂🤣😂.Mbona secretarybird alinambia huku ni madume tupo hakuna manzi
Aliilii lii liii liiii hHahaha 😂🤣😂.
Nilimwoa bibie Mshangazi dot com na tuna enjoy maisha.
Mkuu ni raha tupu ujue! Hahaha 😂🤣Aliilii lii liii liiii h
Niache mzee 😂Mkuu ni raha tupu ujue! Hahaha 😂🤣
Hakika nakueleza😎.Niache mzee 😂
Mkuu, una uhakika mimi ni wa kike?Mkuu acha utani, bodaboda wa kike?
Ngoja nirudi kulala 😂Hakika nakueleza😎.
Nilichelewa wapi jameni.
Hahaha 😂😂Ngoja nirudi kulala 😂
HahahhahaHahaha 😂😂
Raha mustarehe sana.Hahahhaha
Kituo kinachofuata ni bombomRaha mustarehe sana.
Kiwalanu, siyo?Kituo kinachofuata ni bombom
kwakweliHujampenda, yani nimuache mtu nnaempenda kabisa kisa dini?
Ntampenda yeye na hiyo dini yake.....
Kiwalani, ni mwanNyamala hukoKiwalanu, siyo?
Hahaha 😂😂.Kiwalani, ni mwanNyamala huko
Ndoa iliyofungwa serikalini haitambuliki na nani?Hamna hata response😃, anyway mi ngoja nikujibu nilipata mtu na tulielewana vyema tu shida ikaja kwenye dini. Alitaka nibadili dini nimfate yeye hapo nikamwambia tufanye ya serikalin akakataa akisema itampa shida maana haitambuliki ikabd tuishie pale, ila ni mwanaume bora sana
Njoo unywe supu ya mapupuHahaha 😂😂.
Ngoja nije huku nikitoka huku kwa bwana Zakayo ili ramani niielewe vema.
Mapupu ni nini?Njoo unywe supu ya mapupu
Halafu ndoa Yao imedumu kinyamaTumuulize Evelyn Salt ambaye alipata mume humu
Like bandama hvMapupu ni nini?