Mliooa mnastahili pongezi

Hahaaaa, RRONDO bhanaa.... Nawewe pia jpili njema
 
Mkuu hujui kuwa mke ni zaidi ya ndugu kwako, kwanini unahesabu zaidi mali, Mbona ukioa mke anakukabidhi maisha yake. Nahisi maisha ya mke na muda wake vina thamani kuliko mali unazozitaja.
na maisha yangu namkabidhi nani!?..siku hizi hakuna ndoa mapenzi kuna ndoa mali
 
Hapo kila MTU na destiny yake tupo pamoja sana
 
Mtoto atapelekwa shule na mnyanya yake
kumbuka kamuti ya mshale wa hakasimami usije sema hatukukwambia
 
Wakati wa Bwana ukifika ndo huwa na maamuzi sahihi.

Muwe na jumapili tulivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…