Uchoyo unamzidi anapondaga sana kuoa atajijuyap inaelekea jamaa ana kauchoyo kana mla kwa ndani? labda ana mali na alipata kwa msoto mkali .ndo ubaya wa kuwa tajiri kabla ya kuoa
tumekujadili vipi mkuu? kwani tunajua mali zako?Jamani nimevaa uhusika ili tujadili mada, jadilini mada sio mtu.
Uchoyo unamzidi anapondaga sana kuoa atajiju
uoga wa majukumu ndo ubinafsi wenyewe huo yaani huwezi jitoa kwa ajili ya wengineKwanini ubinafsi na sio uoga wa majukumu?
Sina mpango wa kuoa janamke Leo wala kesho.. Mtoto ninae...
Nikipandwa nyege mijanamke ipo ya kumwaga, ya kila aina, hasa hapa Chuo nachofundisha tubinti twa kupoza ugwadu tumejaa Tele...
unanikomoa mimi au kisangara chako zidombe tu maisha ndo hayaUbinafsi na uoga ni vitu viwili tofauti.uoga wa majukumu ndo ubinafsi wenyewe huo yaani huwezi jitoa kwa ajili ya wengine
upo single ?Mimi ambaye nimeshakuwa kotekote, naelewa sana.
Been there, done that.
That firsthand experience is ginormously valuable.
Didnt know that u were married before.
fishing!!!...ukiwa na maana gani sister Sky?Hivi hizi bundle mnazoingilia JF hamfanyii fishing humu?
MmhWewe miss acha kunizingua. Kuishi na mke si sawa na unavyoishi mwenyewe. Wengi ndoa zinawashinda kwassababu wanataka waishi ndoani kama mabachela.
Kukabidhi Mali zako kwa mwanamke asiye ndugu yako kauli ya kibinafsiKwanini ubinafsi na sio uoga wa majukumu?
upo single ?
Habari za Jumapili.
Napenda kutoa pongezi kwa wwanaume wenzangu mliooa. Kuamua kuoa si jambo rahisi hasa ukifikiria unakabidhi UHURU na MALI ZAKO kwa mtu ambae huna undugu nae!!
Mawazo kama haya huwa yananijia Jumapili ambayo ni siku ninayofurahia sana wiki nzima. Jumapili njema jamani mimi nasikiliza Easy Sunday Clouds Fm huku nikisoma kitabu taratibu.
lazima kuna aina fulani ya stress itakuwa inakusonga....hao rafik zako wanachangia sana ww kuwa na mtazamo huu kwenye swala la kuoa,Im nearly there....marafiki zangu 75% divorced, 25% iliobaki hawana tofauti na mimi, sommetimes mimi nawahi nyumbani kuliko wao, wana mademu wengi kuliko mimi!
Na hio furaha kujus kuna wanaokutegemea sio kila mtu, wengine ni kero ndio maana kuna wanaokimbia familia.
At last someone know where i'm coming from.You didn’t?
Mbona hilo nilishalisema mara nyingi tu humu...labda hukuona tu.
Kwa kweli kwa mtu aliyezoea kuwa mwenyewe tu [single] halafu aje aachane na hiyo hali na sasa awe na mtu mwingine karibu yake muda wote, ina present culture shock kubwa sana.
In a way, I’m more like you in the sense that I like and I enjoy being alone many times.
Hii personality trait ni bonge la changamoto linapokuja suala la ndoa.
Binafsi sijajua namna ya kui overcome hiyo challenge. Hence my conclusion that marriage ain’t for everyone.
naomba nafasi basi unaonekana wewe unanifaa you know why?